Mastaa wabongo ambao hawaivi au kupikwa chombo kimoja wapangwa meza moja ya wageni waalikwa ikulu Chamwino Dodoma kwenye sherehe za kuweka mchanga.
Je, nafsi zao wanaongea nini?
Rais Magufuli leo akiwa na Biblia amehubiri katika tamasha la muziki wa Injili linalofanyika Kawe jijini Dsm.
Rais Magufuli ameongea kwa njia ya mtandao na amesema watanzania tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutuepusha na Corona na kadhalika kuliingiza taifa letu katika uchumi wa kati...
Habari Wakuu za Wakati huu? Natumaini wazima wa Afya.
Okey, Mimi bwana katika Wanamuziki ninaowakubali ana Mmoja wapo ni huyu Bwana Oliver Ng'oma, huyu jamaa tumuache tu,
Nikiwa nipo home nikikumbuka huwa lazima niplay list ya nyimbo zake ni nzuri kwa kuziskiliza harafu za taratibu sana...
KATIKA miaka ya 1960 na 1970 mpaka 1980, karibu kila eneo la jiji la Dar es Salaam kulikuwa na makundi ya muziki. Wakati huo muziki ulifanywa kwa vikundi tofauti na sasa ambapo msanii anaweza kuwa peke yake katika kutunga, kurekodi na hata kufanya kazi yake jukwaani. Muziki wa dansi uligawanyika...
Ukubwa wa janga la Corona umeilazimu serikali kutangaza kusitisha shughuli zenye mikusanyiko ya watu ikiwemo shughuli za muziki. Katika historia yangu kama mwanamuziki, hii itakuwa mara ya tatu kwa muziki kusimamishwa nchini kwa amri ya serikali.
Mara ya kwanza ilikuwa ni mwaka 1984, wakati huo...
Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s
Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu kinachonifanya niikumbuke ile video ndani kulikuwa na muigiza wa kike enzi hizo:Sandra
Sasa ningependa...
Nyie wasanii mnaofanya muziki mzuri, endeleeni hivyo hivyo.
Hapa Bongo kuna mashabiki wanyimbo za matusi, na mashabiki wa muziki mzuri.
Kwakua sasa hivi watu wanapenda muimbe kusifu ngono na pombe tu, msiwasikilize watu wachache walionyimwa hekima.
Tuko pamoja, tutawasapoti tu.
Muziki hauna...
Naomba nisiwe Mnafiki YouTube sio kipimo cha muziki Mzuri.
Naona watu kila siku wanalilia views kuliko kurequest ngoma kweny TV na radio .
Nyimbo ikifanikiwa kupenya kwenye radio za bongo na nje , pia na Television hapo hata sisi tusiokuwa na smart phone nyimbo Tutailewa ...na msanii atapata...
Wakati Bongo Fleva inakuwa, producers wengi walikuwa wakali na kila mmoja alikuwa na radha yake kwenye muziki, ukisikia ngoma mpya tu unajua huyu ni flani, kila mtu alikuwa na jina lake na hata wasanii wake, na kila mmoja alitengeneza msanii na kumfikisha kwenye peak.
Kwangu hwa ndio walikuwa...
Wakuu huyu jamaa ni kipaji japo now kapotea kabisa hasikiki, mnaokumbuka majina ya nyimbo zake wekeni hapa tujikumbushe utamu wa nyimbo za huyu jamaa.
Tupieni hapa zote alizoshirikishwa na zile alizoomba akiwa kwenye muungano wa bendi mbalimbali.
Karibuni wakuu
Nimejadili sababu za kibiashara na za kisayansi ya akili na saikolojia ya binadamu. Pamoja na ombi hili naomba kukiri nimeanzisha thread hii kutokana na mjadala nilio taja awali.
Nimejaribu pia kugusia kwanini wanafunzi kule Mbeya walichoma moto shule sababu ya kuzuiwa kutumia simu shuleni...
Mwenye uzoefu wa muziki wa bongo flavor especially ambaye anajua jinsi makampuni ya ku-promote muziki wa bongo flavor yanavyofanya kazi hasa na wasanii wanaoibukia.
Naomba uzoefu hatua kwa hatua kuanzia kwenye kuingia mikataba na Hawa wasanii Hadi kurekodi, kufanya promotion na split ya mapato...
Habari viongozi,
Jana nimetoka kumsikia mtoto aliyezaliwa kwenye miaka ya 2004 (15) akiimba wimbo wa Kilimanjaro Band uitwao Boko.
Sasa najiuliza hawa vijana, wanawezaje kuimba nyimbo ambazo kipindi zinatamba wao hawakuwepo?
Au hizi nyimbo zinarithishwa kama zinavyorithishwa genetic...
Mara chache kukuta mwanamke anayependa music from Congo
But some of them have an interest,
Bolingo
1.Nzele- Madilu
2.Bandeko- Madulu
3.Ton Ton -Madilu
4.Sydiegi-Madilu
5.Associe - Fally Pupa
6.Faulta de Jon -Koffi
7.Papaa- Ngwasuma
8.Loi- Koffi
I real like Congo Music
Wakati homa ya mchezo wa Watani wa Jadi, Simba na Yanga ikiendelea kupanda huku zikiwa zimebaki saa chache, Mashabiki na Wachezaji wa timu hizo wameendelea kutambiana kuibuka na ushindi
Simba ambayo itakuwa mwenyeji, itaikaribisha Yanga katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania...
Kuna hii tabia imezuka siku za hivi karibuni japo ilikuepo pia zamani. Tabia yenyewe ni hii ya maharusi kuingia ukumbini huku wakicheza muziki kwa step ili "kuchangamsha" shughuli.
Kichekesho ni pale unapokuta mmoja wapo wa maharusi hasa mwanaume sio mtu wa muziki na hajui kabisa kucheza...
Kama wewe ni mwanamuziki au ni mpigaji wa chombo chote cha mziki iwe gitaa, kinanda, saxophone, drums, flute, marimba,tarumbeta, na vingine vingi karibu tupeane uzofu wa masuala yote yahusuyo muziki kwa ujumla wake , vifaa vipya vya muziki , upigaji mzuri, wa kisasa na wakitaaluma,
Karibuni...
Takribani mwezi au wiki mbili tatu mfululizo, Clouds Fm wamekuwa wakiendesha mjadala redioni unaoangazia mambo kadha wa kadha ya game ya muziki wa Bongo Fleva, tangu kuasisiwa kwake.
Mijadala hii, iliyopewa jina la Bongo Fleva Round table, inayofanyika jumamosi kwenye kipindi cha Bongo Fleva...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.