Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani,
Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI.
Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo...
Wakuu huyu mdogo wangu anakipaji cha Kimarekani afanyeje aweze kuingia U.S. kuimba Muziki wa namna hii.
Kama una marafiki ni producers huko US, au American Got Talent, au Wasanii wakubwa US, nisaidieni contacts zao wakuu.
Najua kuna wengine wapo US uko saivi.
Duniani leo karibu kila aina ya muziki utakuta watu weusi wana mkono wao. Kama hawakuanzisha basi walichangia pakubwa kuanzishwa kwake. Na sehemu kubwa ni wamarekani weusi.
1.Raggae, huu mziki ni kama ni wa watu weusi tu. Wameanzisha na wanauendeleza.
2. Jazz, huu wa watu weusi.
3. Hip hop...
Hii ni baada ya masharti ya hovyo ya Sheria za Basata za kuruhusu wimbo upigwe redioni ama uonyeshwe kwenye TV .
Ney amesema atatunga na ataimbia mitaani na ikiwezekana atasambaza mtaa kwa mtaa mwenyewe .
Habari za muda huu wadau?
Siku ya leo ya mapumziko (Muungano) nimeamua kupitia na kusikiliza baadhi ya nyimbo za nguli wa muziki Oliver N’Goma ( sasa marehemu) moja ya nyimbo zake nazozipenda ni hii “Bane” iliyoachiwa rasmi mwaka 1990 na inapatikana kwenye album yake ya kwanza yenye jina hilo...
Habari za jioni wanajamii. Bila Shaka safari ya Harmonize kwenye muziki nje ya WCB imepamba Moto. Hype iliyoonekana kwenye wimbo wake wa attitude bila Shaka imeonyesha nguvu yake kwa hapa bongo. Hype za namna hii kiukweli alikuwa anaweza kuzitengeneza diamond tu. Kwa Sasa Harmonize amefuzu na...
Akiwa katika live interview na radio namba moja kwa sasa WASAFI FM, Ray amefunguka yafuatayo
" Wakati ananikandamiza (Hamonaizi) na kuchochea kwa kusema nimekosea sikuwa najua Chuki yake inatoka wapi . Lakini imekuja kunishangaza sana kuja kuona kumbe yeye ndio anafanya mabaya zaidi ya aliyokua...
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwanini wasanii wetu maarufu hapa Tanzania huwezi kupata taarifa zao kwenye mitandao kama Wikipedia ili angalau ujue historia zao.
Ni ajabu kwamba hata wanamuziki wetu wakongwe huwezi kupata taarifa zao zote hasa kwenye mtandao maarufu wa Wikipedia. Mitandao...
Kwa mapenzi mema namshauri Konde boy aache kutumia poda, ajifunze kwa kaka zake waliopotea kwa kuendekeza poda.
Management yake msimuogope boss wenu msaidieni kabla gari haijawaka, ikiwaka hakuna sober house itayomsaidia. Haya mengine mengi mnayoyasikia ni matokeo ya stress na kuchanganywa na...
Elon Musk (Space X), NASA, ESA, Cercle na Arianespace wameanda tukio la kwanza la muziki mubashara kutokea kituo cha kimataifa cha anga International Space Station - ISS.
Tukio hili linatarajia kufanyika Jumatatu ya tarehe 5 AprilI, 2021 litakalo wahusisha wanamuziki Daft Punk kutoka Ufaransa...
MUSICIANS ACROSS AFRICA / WAIMBA MIZIKI BARANI AFRIKA.
Tamasha la ushindani wa muziki litajumuisha nchi zaidi ya 13 barani Afrika tukianza na TANZANIA.
Hivyo tunaomba wanamuziki kujisajili mapema kabla ya kesho tarehe 31/03/2021.
Tafadhali jisajili kwa kubofya linki hii REGISTRANTS...
Kufuatia ripoti za kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 huko kata ya Kitete , mtaa wa Kariakoo Tabora imebainika kuwa kinachoitwa kanisa ni genge la wahuni vijana watupu wasiozidi miaka ishirini na tano ndio wanaoendesha uhuni huo
1. Kinachodaia kanisa...
Nataka tumzungumzie kidogo huyu fundi muziki kutoka WCB yaani Rayvanny aka Chui.
Rayvanny ni msanii anaeujua muziki haswa na anaweza kuufanya muziki vile anavyotaka. Kipaji chake sio cha nchi hii naweza kusema yupo mbele ya wakati.
Anaweza kufanya aina mbali mbali za muziki na akaua.
Anaweza...
Sakata la kanisa lililoripotiwa kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 na lililojengwa katikati ya barabara , limeingia sura mpya baada ya serikali kuchukua hatua na kulizuia kuendelea kujengwa na kuendelea na shughuli zozote za ibada , baada ya maofisa wa serikali kufika kanisani hapo Jana na...
Sakata la kanisa liliripotiwa kupiga muziki masaa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lapigwa Stop kuendelea na ujenzi na huduma ya kanisa. Notice ya kulisimamisha hii hapa, mchungaji Jackson aendelea na kiburi achana notice iliyowekwa mlangoni pa kanisa.
Wiki iliyopita ililipotiwa hapa jukwaani kuhusu wakazi wa Kariakoo Tabora kata ya Kitete wakilalamikia kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24
Sakata limeingia sura mpya baada mchungaji Jackson wa kanisa hilo kuonyesha jeuri na kuwaweka viongozi wote wa...
Hivi kati ya huyu Wizkid anaejiita Star Boy na Davido nani mkali kwenye nyanja zote za Muziki kuanzia Afrika na nje ya Afrika, Nani zaidi Wizzy au Davido
Niaje Wakuu Baada ya kufanikiwa Kununua laptop kuna kachenji kamebaki.. kama 400K hivi.
Si Mnajua Geto la Mwanaume halijakamilika Bila laptop na mziki fulani wa kiaina.
Kwa wataalamu wa masuala ya mziki na gharama zake je naweza pata mziki gani unaoridhisha kwa hio pesa? Iwe Woofer au HT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.