muziki

  1. Frumence M Kyauke

    Muziki wa Tanzania

    Muziki wa Tanzania ni jina la kutaja muziki wenye asili ya Tanzania ya leo. Kama ilivyokuwa kwa binadamu wengine, wakazi wa eneo ambalo hatimaye limekuwa nchi ya Tanzania, walikuwa na utamaduni wao. Utamaduni huu ulikuwa ukitofautiana kati ya kabila na kabila. Moja ya vipengele ilikuwa muziki...
  2. Expensive life

    RayVanny badilika...

    Rayvanny ni moja ya wasanii wa Bongo Fleva wanaokuwa wanafanya vizuri sana kwenye kiwanda chetu cha muziki. Nakung'ata sikio Ray muziki unaoimba sasahivi unakupoteza, umetoa nyimbo zaidi ya tano hakuna hata moja iliyo hiti hii siyo kawaida yako. Umepotea kabisa kwenye platform mbalimbali...
  3. K

    Ni Nani Mwakilishi Bora Wa Muda Wote Wa Muziki Asilia Wa Tanzania...?

    Asante Sana Chacha Maginga TBC..! Kwa kutuletea Kazi mbali mbali za Muziki ambazo Zimewahi kufanywa na Makundi mbalimbali Ya Muziki TZ na Afrika. Leo jan 11 ya 2022 Kipindi chako cha Usiku TBC 'nyumba Ya Dhahabu' umetuletea Kazi za Vikundi anuai Msondo Sikinde Maquiz Ramadhani Lemmy Ongala...
  4. K

    Sakata la kanisa linalopiga muziki kutwa kucha Tabora labainika kutokuwa na kibali, lapewa notisi. Kigogo wa Wilayani ahongwa ahaha kulifungulia

    Katika hali ya kushangaza kanisa lililotikisa mkoani Tabora kwa karibu miaka miwili kupiga muziki kwa sauti kubwa sana, mahubiri ya kashfa kwa dini zingine kuhubiri mahubiri ya ndoa hadharani limebainika kutokuwa na kibali wala usajili wa kuendesha ibada mkoani Tabora. Licha ya malalamiko ya...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Mjadala: Muziki sio Haramu. Inategemea na uimbaji wake

    MUZIKI SIO HARAMU; INATEGEMEA NA UIMBAJI WAKE Anaandika Robert Heriel. Ipo kasumba Kwa baadhi ya watu wenye Elimu ndogo ya Kidini na kiroho isemayo muziki mi haramu. Dhana hii ni potofu na upotofu wake unatokana na ufinyu wa elimu zote mbili yaani elimu Dunia na elimu Akhera. Muziki sio...
  6. mgt software

    Kupotea kwa TMK ya Juma Nature na Chege ni Pigo kwa Muziki Industry, walinogesha sana matamasha, waliopo wanajichetua sana

    Wana JF, Kama ulikuwa hujui, kundi pekee la kibongo lilioanzoshwa chini ya Juma Nature na Chege Chigunda ndilo kundi pekee lililokuwa linashambulia jukwaa, kiasi kwamba kwenye kiti linahakikisha Hawaii mtu. Hata hivyo nashindwa kuelewa walifeli wapi? Mfano tuliambiwa Juma Nature alipata pesa...
  7. Frumence M Kyauke

    Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

    Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja. Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling, ambapo aliwashirikisha wanajamii wa LGBT. "Hakuna kujificha tena," aliambia vyombo vya habari vya...
  8. sky soldier

    Hakuna msanii mwenye pumzi ya kukimbizana na Diamond kiuchumi, biashara zinamlipa kuzidi muziki

    kumlinganisha diamond kiuchumi na wasanii ambao wengi wao hata linapokuja swala la usafiri wanavimba na toyota crown za miaka kumi iliyopita, inakuwa sio fair Sote tunajua ya kwamba kuanzisha biashara kubwa ni gharama kubwa na ni hatari endapo ukila za uso, unaweza kuanzisha biashara mbili...
  9. Yesu Anakuja

    Tamasha la Muziki na kuabudu TAG

    Juzi Ijumaa nilibahatika nikawa Dodoma, kichwa kilikuwa kimechokaaa kwasababu nilienda Dodoma msibani, pia homa kali ilinianza ghafla, nikaazimia moyoni leo naenda kulala kanisani. yalipita magari yanatangaza kuwa kuna tamasha la muziki chuo cha Biblia kule mipango, nikaenda. nilikuwa na kiu ya...
  10. Kasomi

    Spotify imeanza kuweka Lyrics katika muziki yake

    Finally, App ya Spotify imeanza kuweka Real-Time Lyrics katika Miziki kwa watumiaji wote duniani. Real-time lyrics ni uwezo wa kuona lyrics kuendana na muziki unaosikiliza. Feature hii ilikuwa inafanyiwa majaribio katika baadhi ya nchi, na Leo Spotify imesema itaweka rasmi kwa watumiaji wote...
  11. Chinga One

    Erick Omond anasema kweli kuhusu Muziki na Wasanii wa Kenya?

    Baaada ya hii post nimeona wasanii wa Kenya wamemjia juu na kumtukana sana,binafsi naona kaongea ukweli Muziki wa Kenya wa siku hizi ni Dead beast, sio kama miaka ile 2000s wakina Prezoo, Nonini, Jua Kali, Nameless, Wahuu, Nazizi, P Unit, Meja etc ambao kidogo walikua wanaleta Chalenji kwa bongo...
  12. sky soldier

    Mawazo juu ya kuanzisha Disco la kucheza muziki

    Siku hizi naona mambo yamebadilika, night clubs zimejikita zaidi kwenye kuuza vinywaji kuzidi uwaja wa kucheza (dancig floor), hii nimeona inanyima watu ule mzuka wa kwenda club kwa jili a kucheza. Kiukweli mimi ni mgeni kwenye hii biashara ila zamani nlikuwa napenda sana kwenda disco zenye...
  13. Ta Muganyizi

    Anayefanya kazi Maktaba ya Muziki TBC 1 achunguzwe

    Habari Wadau Yawezekana kabisa kuna watu siju hizi hawaangalii TBC 1. Lakini kuna ambao kila siku kuanzia saa 10 usiku tunaiangalia TBC 1 kutokana na shughuli tunzokuwa tunazifanya. Muda woe huo kipindi cha mwaka mzima huwa zinapigwa nyimbo hizo hizo mpaka tumezikariri. Wimbo zinapigwa kila...
  14. sky soldier

    Mabando yanashusha muziki wetu, kwa sasa ni shughuli pevu kupata views milioni

    Katika dunia ya sasa, views ni kipengere mojawapo muhimu sana cha kuitrendisha sanaa ya nchi fulani katika uso wa dunia. Hali imekua tete baada ya mabando kupanda bei saizi youtube watu wanaingia kwa machale, Views chache pia zinawapunguzia mapato wasanii, youtube wanalipa kwa kigezo...
  15. Determinantor

    Wasanii wa Muziki waitishe Tamasha la kumbukizi ya Wasanii wenzao waliotangulia

    Ni wazo tu, Wasanii wengi wameshatangulia mbele ya haki! Hawa waliobaki wangejiunda wakafanya tamasha la kuwakumbuka/kuwaenzi kwa kazi zao. Pesa itakayopatikana isaidie familia zenye uhitaji za wasanii au wasanii waliobaki na wenye changamoto za kimaisha kama akina Paulina Zongo, Chid Benzi na...
  16. Mkaruka

    Cult following au tatizo la afya ya akili: Jinsi Biashara wanavyoshambuliwa na mashabiki wa Simba na Yanga

    Inashangaza kwa kweli. Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu. Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga. Kama ni msanii, wanataka awe msanii wao tu Alikiba, Harmonize, au Diamond Kama ni siasa wanaamini mtu wao yeye ni malaika...
  17. Civilian Coin

    Waraka maalum kwa Prodyuza DONCHA na Maprodyuza wote Tanzania ili kuboresha Muziki wa Tanzania

    WARAKA MAALUM KWA PRODYUZA DONCHA. NILIJIIMARISHA KIMUZIKI NA UIMBAJI ULIO BORA KWA KUTUMIA BEAT YA AINA YOYOTE ILE MWAKA2014 KWA PRODYUZA "DONCHA" WA MWANZA.(DJ. DON NALIMISON) Producer DONCHA nilimfahamu kupitia Gabriel Samalu(Mlapa) wa Global Publisher mwaka 2014 nanikafanya Albam yangu...
  18. C

    Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify.

    Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify. 1. #ABoyFromTandale -Diamond Platnumz Streams 30.4M 2. #SoundFromAfrica -Rayvanny Streams 26.2M 3. #DefinationOfLove -Mbosso Streams 3.6M 4. #StoryOfTheAfricanMob -Navy Kenzo Streams 3.3M...
  19. Side Makini Entertainer

    Mondi kama Mondi, Hakuna kipya humu just same Mondi akiendeleza kazi yake ya Muziki

    Mondi kama Mondi, Hakuna kipya humu just same Mondi akiendeleza kazi yake ya Muziki. Kusema ukweli mwamba amefikia hatua hata siku akiachia clip anapiga muayo usishangae ikaenda on Trending na ikawa hitsong sijui hitclip 🤠 Hii banger nadhani tageti yake kubwa ni Intaneshino na Clubs, Na ita...
  20. Kasomi

    One six aachana na muziki wa kidunia

    Aliye Kuwa Msanii wa bongo fleva na hip-hop One six kwa sasa ameamua kuachana na mziki huo na kuamua kujikita kwenye muziki wa injili. Msanii huyo amesema mengi amepitia na vikwazo vingi amekutana navyo ili kumkatiza tamaa. kwa sasa one six ataimba nyimbo za injili pekee wala hatajihusisha na...
Back
Top Bottom