Nikiwa Tabora ambapo nilikwenda kwenye msiba wa rafiki yangu aliyefiwa na mama yake mwezi huu. Nilikutana na kituko cha mwaka ambapo tukiwa hapo msibani ulisikika muziki mkubwa sana kiasi ambacho huwezi kuongea na mtu jirani yako, huwezi kupokea simu au kusikiliza simu. Nilipouliza nikaambiwa...
Kwa wale wapenzi wa muziki wa zamani bolingo japokuwa mimi sio old skool ila nimetokea tu kuzijua nyimbo nyingi kutokana na nature ya kazi nilizowahi kufanya na ninazofanya
Ninachojiuliza zamani teknolojia kuwa ndogo lakini mbona bolingo hizo nyingi sauti na vyombo vimepangiliwa kwa ufasaha...
Jamaa wana wasanii wakali mnoo wanaimba muziki mmoja classic sanaaa
Na unadumu hauchoshi kabisa.
Sio takataka za jamaa wetu wa bongo zinaeleweka club tu..
Kuna wale
Ambassador of Jesus Christ walitamba sana na gospel zao
Meddy - huyu haina haja ya kumuelezea sana alivyo fundi ,anajua kutumia...
Wakuu naomba mwenye kuzijua zile ngoma kali za Hip hop zinazogusa maisha yani zinazoimba kuhusu Haso zitajwe hapa nahitaji kuzipakua.
Mafano kama zile za Darasa.
Sikati tamaa,Nishike Mkono n.k
Majibu yenu plz
Mfano
Sweete reggae --Busy signal-come over
Hip hop--coolio-i see you when u get tgere
Singeli---msaga sumu-mwanaume mashine
Country-kenny rogers-gamble
Rnb-chris brown-with you
Morden Taarabu--jahazi-najiamin
....
....
.....
.....
....
Tuendeleee
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania;
Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?
Mbali na D.R.C nchi yetu ya Tanzania pia imepakana na...
Ninapokumbuka muziki na siasa namkumbuka msanii aliyevuma sana nchini , wakati huo hapakuwa na Diamond wala nani , huyu ni MARLAW alikuwa na kipaji sana na kuelekea kampeni za urais 2010 nyimbo zake zilikuwa HITS kwenye radio top ten zote
Mwaka 2010 alipata deal la kampeni akazunguka nchi nzima...
Nimeona mashabiki wachache wa Chadema wameanzisha Uzi kwaajili ya kutopiga kura kwa Wasanii wanaoshabikia CCM unajua Kuna vitu vinachekesha Sana na ukute hao watu Ni watu wazima na wengine wanawatoto yaani unawapangia wasanii Cha kumshabikia mbona wao hawajakupangia chama Cha kumshabikia Nani...
Master P
Sisco
Dru Hill
ODB
Laurine Hill
Shania Twain
KCI & JOJO
Keith sweet
REY J
MONICA
COOLIO
CRAIG DAVID
ALL 4ONE
Baadhi walihamishia passion zao kwenye uigizaji kama:
Tyreese
Ice Cube
Quincy
Ludacris
XBIT
Willy Smith
Qeen Latifa
DMX
Wengine wamekuwa majaji kwenye "BSS" za huko majuu kama...
Habar wakuu,! Bass guitar pamoja na combo yake vinauzwa kwa pamoja. Being ni laki tano(500000). Combo ilikuw inatumika kwa askofu Gwajina haina tatizo inagonga muzki mzito unaotak ila kwa nyuma haina mfuniko wake. Bass guitar ni mpya bado, imetumika miezi mitatu tu. Atakae hitaji anicheki...
TATHIMINI YA SOKO LA MUZIKI TANZANIA NA WASANII WA FILAMU
Naitwa Don Nalimison ni moja ya Wanamuziki nchini Tanzania ninayefanya mziki katika Lugha ya Kiingereza cha Kiafrika. Leo nataka tuangalie soko lilivyo.
ONLINE DISTRIBUTION MARKET
Tanzania bado hatujafikia soko la Online kwa kuwa 10% ya...
HISTORIA YA MWANZILISHI WA TUZO ZA "TANZANIA MUSIC AWARD"
Historia ya shujaa
SOMA HISTORIA YA SHUJAA HUYU WA BONGO FLEVA ALIYESAHAULIKA
JAMES Dandu ‘Mtoto wa Dandu’ siyo jina geni katika gemu la Bongo Fleva lakini ni wangapi wanamkumbuka na wanautambua mchango wake katika gemu la Bongo Fleva...
Mtoto wa Mwarabu mhamiaji aliyeitikisa Nchi kwa muziki
MOJA kati ya matukio ambayo wakazi wa Morogoro na Tanzania kwa ujumla hawatoyasahau ni kuondokewa na mwanamuziki bora sana kitaifa, Salum Abdallah
Yazid, maarufu ‘SAY’, hata ikaacha majonzi makubwa kwa mashabiki wa dansi Afrika Mashariki...
Muziki wa Nigeria una ushindani mkubwa sana, vijana kama Omah Lay, Joe Boy na Fireboy DML wanafanya kazi nzuri sana. Lakini mtu ambaye amebahatika kuteka hisia zangu zaidi ni huyu Fireboy DML, huyu jamaa anatisha sana.
Nimebahatika kusikiliza albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la APPOLO...
Hope mpo good mapopo wenzangu
Kulingana na maisha yako ya mahusiano nyimbo gani inaendana na hali yako ya mahusiano
Binafsi "cry no more" ya breezy ndo inanifariji kidogo
Pia nyimbo ya Khalid "bad luck"
Tazama hii show wimbo wa now we are free wa hans zimmer ukipigwa live, kila kifaa kinapigwa unakiona na kukifeel, kuanzia violin, marimba, na takataka zote. Huu mziki si wakiwango cha dunia hii
Kwa mtu anayejua muziki vizuri, akiangalia kesi kadhaa amazo zimetokea huko Youtube kwa madai ya kuibiwa biti, akaweza kukubaliana nami kuwa kesi hizo zote ni frivolous na zinatakiwa kuwa zinatupiliwa nje. Sababu kuwa ni kuwa biti zote za muziki zina msingi wa aina moja. Ndiyo maana ingekuwa ni...
Joto la uchaguzi limeanza, wanasiasa wanapishana huku na kule wakitafuta njia za kuweza kuendelea kushiriki kwa namna moja au nyingine katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kisiasa. Wanamuziki nao, wengine kwa upenzi wa kambi moja au nyingine ya kisiasa, au kwa kuona fursa ya kutengeneza fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.