Nikipata nafasi ya kufika Jiji la London kuna vitu lazma nivifanye kwa ukamilifu, mosi nitakwenda kutazama mechi za timu za Tottenham Hotspur pamoja na Arsenal, na baada ya hapo nitafanya kupitapita mitaa kuuliza kuhusu bendi za muziki ambazo zimepata kuwa maarufu kwa kuzunguzma ukuu wa...
Frank Sinatra, John William Coltrane, Miles Dewey Davis au Dean Martin, wengine wanaweza kusema kuwa kuna mwamba Nat King Cole, au wakati mwingine Bing Crosby ila binafsi acha nimtaje Mzee wa kazi Louis Daniel Armstrong maarufu kama Satchmo ama Pops, moja ya wanamuziki wakubwa waliotumia vyema...
Wale wanamuziki hasa wanaojua solo guitar vifaa hivi naviuza vyote kwa pamoja one milioni tu.
1. Gitaa la Solo
2. Solo/Rythim gitaa Combo
3. Solo Gitaa Effect Pedal
4. Cable za Jack pins 3 original na jack pin ndogo 1
5. HDMI mpya.
Kwa anaevihitaji tuwasiliane vipo Dar es Salaam Bunju na viko...
Watu wengi hawajui historia ya muziki wa bongofleva na hawajui umeanzia wapi.
Fact ni kwamba muasisi wa muziki wa bongofleva ni Prince Dully Sykes aka Mr Misifa.
Sound hii unayoiskia leo ya bongofleva (baibuda) ilianzia kwa Dully.
Kwa wasio na ufahamu, bongofleva ni muziki wa kizazi kipya...
Mwanamziki wa Muziki wa Bongo Fleva na Hip Hop Balozi Dola maarufu kwa jina la Dola Soul ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani amesema muziki wa Hip Hop katika nchi hiyo umepoteza uhalisia wake wa mashairi yenye ujumbe wa maisha badala yake sasa wamejikita zaidi kibiashara.
Balozi aliyewahi...
Hello JF especially wadau wa muziki. Here's my new track; inastahili marks ngapi kati ya hizo kumi?
Elements zipi niziadapt/nizibadili/niziongeze kwenye mix zijazo?
Natumia Fl Studio + Ableton Live.
Kuhusu style ya mziki, bado siko sure hii ni aina gani, but the whole idea ni kuunda...
RICHARD TUNDA:KIFAA TOKA TIP TOP CONNECTION, AMEFARIKI DUNIA NI MDOGO WA MKALI WA BONGO FLEVA TUNDAMAN..
JINA: Richard Ramadhan Tunda
KUZALIWA: Februari 3, 1989 (Miaka 35)
ALIPOZALIWA: Kinondoni, Dar es Salaam..
KIFO : 16 Februari 2024.
SANAA: Muziki wa Bongo Fleva..
HISTORIA YA MAREHEMU...
Kwa wale wapenda mziki wa mfumo digitali baada ya kutumia teknolojia ya wave audio na mpaka kufika kwenye mfumo wa mp3(MPEG-1 Audio Layer III or MPEG-2 Audio Layer II) ambayo formati hii ilisaidia kupunguza ukubwa wa data wa sauti ili ubaki kwenye quality ile ile.
Teknolojia inazidi kukuwa...
Miaka ya 1990 mpaka mwanzoni mwa mwaka 2000 tulipata kusikia nyimbo tamu sana kutoka Ughaibuni, nyimbo kama "Hold On" ya mwamba Wilson Phillips, au "It Must Have Been Love" kutoka kwa bendi ya Roxette au Vogue ya Madonna. Lakini kuna nyimbo mbili ambazo utotoni tulipenda sana kusikiliza kiasi...
Unapokua unatafuta utulivu ubaki wewe na akili yako au upunzike ulale, unaweza fanya hivyo kwenye mziki kuliko kwenye mahubiri ya dini.
Sababu ni kua, mziki ni flow ambayo unaweza kui ignore lkn haya mahubiri yana interfere sana na mawazo yako.
Kama hujakutana nayo huwezi kuelewa
Wengi tunamfahamu kama Zahara ila majina yake ni Bulelwa Mkutukana, alikuwa ni mwimbaji wa nyimbo kutoka Afrika Kusini, mtunzi wa nyimbo, na mpiga gita mzuri sana. Katika Kijiji cha Phumlani, alizaliwa Novemba 9, 1987, mtoto wa kike, ni katika jimbo la Eastern Cape nchini Afrika Kusini, huyu ni...
Afrika imepata baraka kubwa ya kuwa na wanamuziki wengi, wapo watakaosema kuwa bendi bora ni Ladysmith Black Mambazo, au Mahotella Queens ya dada watatu Hilda Tloubatla, Nobesuthu Mbadu, pamoja na Amanda Nkosi. Au bendi ya Msondo Ngoma kutoka nyumbani Tanzania ya kina Marehemu TX Moshi.
Msondo...
Mkazi wa Mtaa wa Ndejengwa jijini Dodoma, Laurent David, amefariki dunia baada ya kugonga treni ya mzigo akiwa eneo la reli.
Inaelezwa aliaga nyumbani kwamba anaenda kufanya mazoezi.
Ajali hiyo imetokea leo, Jumamosi Desemba 30, 2023 saa 12 asubuhi kwenye Reli ya Kati. Laurent inaelezwa...
Nitakuwa naweka hapa nyimbo za kitanzania ambazo mashairi yake ni ya busara na ya kizalendo kuanzia mwaka 1960 hadi leo. Jisikie free kuweka za kwako pia; nitaanza na nyimbo za 1960-1970 halafu 1970-1980, 1980-1990, 1990-2000. 2000-2010 na kumalizia na 2010-2020.
Ni kweli kabisa wamarekani weusi walipitia utumwa lakini sio sababu ya wao kuendelea kuwa nyuma,
Walichobaki kukipigia kelele ni kulipwa fidia za utumwa wa mababu zao ila ni kusubiri maembe chini ya mpera, hata waafrika wenzao weusi wanaohamia Marekani wanazidi kuwachapa gepu.
Shule zipo...
Mimi huwa nashabikia muziki mzuri bila kuwa na U-team kama ambavyo dhana hiyo imejengwa hapa Bongo.
Mfano: Team Diamond, Team ALIKIBA, Team KONDE n.k.
Mimi msanii yeyote tu akiimba ngoma kali namkubali bila kujali ni Mondi,Kiba au yeyote yule.
Unajua msanii ili u-maintain kwenye game ya...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Damas Ndumbaro amefanya uteuzi wa Kamati itayohusika kuratibu Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa mwaka 2023-2024.
Baraza la Sanaa la Taifa BASATA kupitia Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt Kedmon Mapana limetoa baraka zake leo kwa kamati hiyo mpya ambayo...
Ukweli umeanza kujulikana kuwa waliokufa kwenye tamasha la muziki eneo la Nova wengi wao waliuliwa na helikopta za Jeshi la Israel na sio wanamgambo wa Hamas.
Kuhusiana na mateka wengi wao itakuwa wameshauliwa na Israel yenyewe na wachache wametoroka na wapiganaji wa Hamas.
Msemaji wa jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.