LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Graduates msio na ajira na ambao mna mapenzi na muziki na Sanaa kwa ujumla jaribuni upromota hamtojuta as long unapenda kazi hiyo unapenda muziki na burudani etc coz kazi yoyote ili kufanikiwa lazima uipende kwanza.
Nili ingia kwenye kazi hii kama hoby tu coz napenda sana muziki na starehe and to be honest nilienda huko ili nipate mademu wengi kwa wakati mmoja but ni me kuwa surprised kwa mkwanja ambao nimetengeneza kupitia music promotion career. Ni mkwanja mrefu tu. Music promotion businessness imeniongezea mkwanja mrefu imeniletea na mali ambazo siwezi kuzitaja hapa.
You need to know that the most important person in music business is a promoter kwa sababu yeye ndo anampa msanii hela na ndio hasa dream ya msanii yoyote yule unae mjua wewe.
Nenda BASATA kajisajili upate cheti kitakacho kutambulisha kama promota hata msanii then sajili kampuni au biashara ( Sole Proprietor) @ Brela. Uwe na TIN number yako nenda kachukue leseni ya biashara be creative Anza kupiga hela. You will thank me later.
Kikubwa Uwe unapenda muziki na burudani.
Kazi yoyote ili ufanikiwe Uwe unaipenda
Be blessed.
Am a Gemini.
Caring is sharing