Kumbe gharama ya kurusha matangazo ya EPL ni muziki mnene hivi

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Nchini Uingereza, mkataba wa hivi majuzi zaidi wa haki za TV za ndani, unaoanzia msimu wa 2025-26 na kuendelea kwa miaka minne, una thamani ya £6.7 bilioni. Hii inafikia takribani pauni bilioni 1.675 kwa mwaka.

Ulimwenguni, mfano mkataba wa NBC nchini Marekani wa 2022-2028 unaripotiwa kuwa na thamani ya $2.7 bilioni kwa miaka sita. Maeneo mengine, kama Mashariki ya Kati, Afrika, na Asia, yana mikataba yao wenyewe na watangazaji kama beIN Sports na Star Sports, na kusukuma thamani ya haki za kimataifa kufikia karibu pauni bilioni 10 kwa mzunguko wa miaka mitatu kihistoria.
 
Nani alisema azam ikinunua matangazo ya EPL,UEFA Champions DSTV wasahau kupata wateja hapa bongo!
sio kwa bei hizo
Lakini Azam akinunua haki hizo, hanunui kwa bei hiyo, inakuwa chini ya hapo. Ishu ni kwamba DSTV kashika sana soko hapa subsaharan Africa (Anglophone countries), kumpiku kule EPL ni kipengele sana.
 
ishu ni kuwa matangazo hata ya NBC Premier league huwa siyaelewi, graphics zipo low, marudio slow motion hazipo vizuri kama za wengine kina EPL
 
Nani alisema azam ikinunua matangazo ya EPL,UEFA Champions DSTV wasahau kupata wateja hapa bongo!
sio kwa bei hizo
kwanza elewa sio lazima AZAM alipe ela hiyo yote ndo apate haki hizo

hata DSTV alipi pesa hizo zote kupata haki ya kuonyesha hapa AFRCA na DSTV hana mkataba na EPL moja kwa moja

hao walioingia mkataba na EPL ndio wamempa mkataba DSTV wa haki ya kuonyesha AFRCA include TANZANIA
so DSTV piq kwa haki alizo nazo TANZANIA anaweza kumpa haki AZAM aoneshe EPL akitaka

kumbuka DSTV inawezekana hata robo ya pesa hizo kuonyesha EPL AFRCA hazijafika katika kulipa
hao waliootoa mpunga huo wamepewa HAKI DUNIA nzima

nadhani ndo mana DSTV kaongeza bei ya vifurushi kutokana nae pengine imebidi aongeze mpunga zaidi kupata hiyo HAKI
 
hao walioingia mkataba na EPL ndio wamempa mkataba DSTV wa haki ya kuonyesha AFRCA incrude TANZANIA

Haaa kumbe!!??👿
 
hio iko wazi inaeleweka, AZAM ajichange anunue japo hata mechi 5 kila wiki
 
kwanza elewa sio lazima AZAM alipe ela hiyo yote ndo apate haki hizo

hata DSTV alipi pesa hizo zote kupata haki ya kuonyesha hapa AFRCA na DSTV hana mkataba na EPL moja kwa moja

hao walioingia mkataba na EPL ndio wamempa mkataba DSTV wa haki ya kuonyesha AFRCA include TANZANIA
so DSTV piq kwa haki alizo nazo TANZANIA anaweza kumpa haki AZAM aoneshe EPL akitaka

kumbuka DSTV inawezekana hata robo ya pesa hizo kuonyesha EPL AFRCA hazijafika katika kulipa
hao waliootoa mpunga huo wamepewa HAKI DUNIA nzima

nadhani ndo mana DSTV kaongeza bei ya vifurushi kutokana nae pengine imebidi aongeze mpunga zaidi kupata hiyo HAKI
Umeongea jambo la maana sana,hawa wanakalia kutishana tu.
 
Back
Top Bottom