GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
DSTV kaingia mkataba na nani kuonyesha EPL.?kwanza elewa sio lazima AZAM alipe ela hiyo yote ndo apate haki hizo
hata DSTV alipi pesa hizo zote kupata haki ya kuonyesha hapa AFRCA na DSTV hana mkataba na EPL moja kwa moja
hao walioingia mkataba na EPL ndio wamempa mkataba DSTV wa haki ya kuonyesha AFRCA include TANZANIA
so DSTV piq kwa haki alizo nazo TANZANIA anaweza kumpa haki AZAM aoneshe EPL akitaka
kumbuka DSTV inawezekana hata robo ya pesa hizo kuonyesha EPL AFRCA hazijafika katika kulipa
hao waliootoa mpunga huo wamepewa HAKI DUNIA nzima
nadhani ndo mana DSTV kaongeza bei ya vifurushi kutokana nae pengine imebidi aongeze mpunga zaidi kupata hiyo HAKI