Kumbe gharama ya kurusha matangazo ya EPL ni muziki mnene hivi

Kumbe gharama ya kurusha matangazo ya EPL ni muziki mnene hivi

Lakini Azam akinunua haki hizo, hanunui kwa bei hiyo, inakuwa chini ya hapo. Ishu ni kwamba DSTV kashika sana soko hapa subsaharan Africa (Anglophone countries), kumpiku kule EPL ni kipengele sana.
Wasipogawanyisha Azam hana ubavu, njia pekee ni Azam amridhishe Epl kwamba ana base kuwa ya wanao ongea kiswahili ili tuwe na Soko letu wenyewe la kiswahili Africa Mashariki.

Multichoice Analipa kama $400M kwa Nchi za Africa za kingereza, Wafaransa kama Congo wanatumia canal na Waarabu wanatumia Bein sport.

So anaweza akasema Afrika Mashariki watu hawajui kingereza sana, Aweze kushea na dstv alipe 100M usd na dstv alipe zinazobakia maybe anaweza kubaliwa.
 
Back
Top Bottom