Vipaji 20 bora vya muda wote kwenye muziki wa Tanzania

Vipaji 20 bora vya muda wote kwenye muziki wa Tanzania

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo;

1. Dr Remmy Ongala
2. Marijani Rajabu
3. John Komba
4. Baraka Mwinshehe
5. Banzastone
6. Saida Karoli
7. Papii Kocha
8. Profesa Jay
9. Shilole (Shishi baby)
10. Rose Mhando
11. Lady JayDee
12. Nikki wa II
13. Joseph Mbilinyi (Sugu)
14. Harmonize
15. Ali Kiba
16. Chindo man (Umbwax)
17. Mzee Yusuf
18. Bi Kidude
19. Khadija Kopa
20. TX Moshi

Kutokana maombi ya wengi wenu nimekubali kuongeza wakali wengine 10 ili iwe 30 bora.

21. Nasma Khamis Kidogo
22. Hussein Jumbe
23. Ali Choki
24. Hamza Kalala
25. Best Naso
26. Joh Makini
27. Diamond Platinumz
28. Isha Mashauzi
29. Fresh Jumbe
30. Mr Blue
 
Mahati mbaya sana hukuwahi kuwajua, Moshi wiliamu, Ahmed maneti, Edy Shege, Shem Kalenga, Nicko Zengikala, mzee Bichuka, Zahli Zoro.
Kweli TX Moshi lazima aingizwe kwenye hiyo list. Tumtoe nani?
 
Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo;

1. Dr Remmy Ongala
2. Marijani Rajabu
3. John Komba
4. Baraka Mwinshehe
5. Banzastone
6. Saida Karoli
7. Papii Kocha
8. Profesa Jay
9. Shilole (Shishi baby)
10. Rose Mhando
11. Lady JayDee
12. Nikki wa II
13. Joseph Mbilinyi (Sugu)
14. Harmonize
15. Ali Kiba
16. Chindo man (Umbwax)
17. Mzee Yusuf
18. Bi Kidude
19. Khadija Kopa
20. Nikki wa II

Nikki wa II uchawa umekuzidia hadi unajiweka mara mbili #12 na 20. Wewe hata top 1000 haupo. Huo udc kazi za kiboya unakutosha.
 
Wapi? Mohamed Ngurumo!! King Kikii, Zahir Zoro, Ali Choki, Banana Zoro orodha yako ni Batili. 9 na 10 ni Uongo.. Hawajui....
 
Back
Top Bottom