Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,701
Huyu jamaa janjajanja sna alishajuw kwa aina ya huu Uzi ukitaksa raia watiririke m wapumbavu wachanganye kwa kumjumisha shishi kwenye orodha
Hapana. Shishi ana historia ya kufanya show kubwa sana Ubelgiji. Usimchukulie poa.Huyu jamaa janjajanja sna alishajuw kwa aina ya huu Uzi ukitaksa raia watiririke m wapumbavu wachanganye kwa kumjumisha shishi kwenye orodha
😅😅😅Huyu jamaa janjajanja sna alishajuw kwa aina ya huu Uzi ukitaksa raia watiririke m wapumbavu wachanganye kwa kumjumisha shishi kwenye orodha
Pamoja na kwamba ninawafahamu zaidi wanamuziki wa zamani before Bongo flavor lakini list yoyote ya wanamuziki bora iwe ya TZ au hata kama ni ya East Africa bila ya Diamond either ni chuki binafsi au umeandika tu comedy kuchekesha watu. Ukitoa Diamond, tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na mwanamuziki aliyewahi kuwa famous nje ya ukanda unaozungumza Kiswahili, hawa wanamuziki wote tulionao na tuliowahi kuwa nao literally they're just local artists na kidogo umaarufu wao ukivuka mipaka basi ni kwenye ukanda wa Kiswahili ila hawavuki zaidi ya hapo.Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo;
1. Dr Remmy Ongala
2. Marijani Rajabu
3. John Komba
4. Baraka Mwinshehe
5. Banzastone
6. Saida Karoli
7. Papii Kocha
8. Profesa Jay
9. Shilole (Shishi baby)
10. Rose Mhando
11. Lady JayDee
12. Nikki wa II
13. Joseph Mbilinyi (Sugu)
14. Harmonize
15. Ali Kiba
16. Chindo man (Umbwax)
17. Mzee Yusuf
18. Bi Kidude
19. Khadija Kopa
20. TX Moshi
😃😃😃😃😃😃Nilivoona Shilole na Chindo man nikajua huu uzi wa Mvuta Bangi tu
Shilole anafanya nini kwenye hiyo list?Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo;
1. Dr Remmy Ongala
2. Marijani Rajabu
3. John Komba
4. Baraka Mwinshehe
5. Banzastone
6. Saida Karoli
7. Papii Kocha
8. Profesa Jay
9. Shilole (Shishi baby)
10. Rose Mhando
11. Lady JayDee
12. Nikki wa II
13. Joseph Mbilinyi (Sugu)
14. Harmonize
15. Ali Kiba
16. Chindo man (Umbwax)
17. Mzee Yusuf
18. Bi Kidude
19. Khadija Kopa
20. TX Moshi
Hahahaha hii imeeeendaMtoa mada umeonyesha pande zako mbili, ni kama vile una akili sana, alafu pia mjinga.
Shilole si mwanamuziki, hana kipaji hata kidogo na hata kuimba hajuwi. Hata Ali Kiba hapaswi kuwepo hapa, ni mbana pua tu yule.Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo;
1. Dr Remmy Ongala
2. Marijani Rajabu
3. John Komba
4. Baraka Mwinshehe
5. Banzastone
6. Saida Karoli
7. Papii Kocha
8. Profesa Jay
9. Shilole (Shishi baby)
10. Rose Mhando
11. Lady JayDee
12. Nikki wa II
13. Joseph Mbilinyi (Sugu)
14. Harmonize
15. Ali Kiba
16. Chindo man (Umbwax)
17. Mzee Yusuf
18. Bi Kidude
19. Khadija Kopa
20. TX Moshi
ondoa komba? Oya komba hatariOndoa:
John Komba
Shilole
Chindoman
Nikki wa Pili
Nenda you tube kasikilize hitsong ya shilole inaitwa PAKA LA BAASema we jamaa unamatusi sana aisee yani mpaka shilole yupo ndani ya list
Kweli haujui muziki!!!!!!Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo;
1. Dr Remmy Ongala
2. Marijani Rajabu
3. John Komba
4. Baraka Mwinshehe
5. Banzastone
6. Saida Karoli
7. Papii Kocha
8. Profesa Jay
9. Shilole (Shishi baby)
10. Rose Mhando
11. Lady JayDee
12. Nikki wa II
13. Joseph Mbilinyi (Sugu)
14. Harmonize
15. Ali Kiba
16. Chindo man (Umbwax)
17. Mzee Yusuf
18. Bi Kidude
19. Khadija Kopa
20. TX Moshi
Umeikubali sana hiyo nyimbo?Nenda you tube kasikilize hitsong ya shilole inaitwa PAKA LA BAA
Hiyo nyimbo ❎ huo wimbo ✅Umeikubali sana hiyo nyimbo?