muziki

  1. sinza pazuri

    D Voice ndio future ya muziki wa bongo: Wasanii wa kibongo kazini kwao kuna kazi

    Msanii wa kizazi cha leo na kesho aliyetambulishwa recently na lebo namba moja Africa ya WCB Wasafi. Kwa jina anaitwa D Voice aka Jini aka London Boy au Temeke Boy. Huyu ndio future ya muziki wa bongo kwa ujumla. Ndio anaenda kuibeba mabegani industry ya muziki wa bongo ni suala la muda tu...
  2. Kingsmann

    Kuelekea Tuzo za Muziki Tanzania (TMA): BASATA yaunda kamati maalumu ili kufanya TMA kuwa na hadhi ya kimataifa

    TAARIFA KWA UMMA KUANZA KWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA KAMATI YA KITAIFA YA TUZO ZA MUZIKI TANZANIA (TMA) Baraza la Sanaa la Taifa linapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wadau wote wa sanaa kuwa Kamati ya Kitaifa ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) imeanza rasmi kutekeleza majukumu yake kwa...
  3. MamaSamia2025

    Wakazi kaonyesha kipaji kwenye Muziki wa Taarab. Ana pesa zake nyingi kwenye Muziki wa Mwambao

    Mimi kama mtu mwenye talanta ya kuweza kuona vipaji vya watu ambapo wakati mwingine wenyewe hawavioni ninapenda kuutaarifu umma kuhusu kipaji kipya nilichokiona. Ndugu yetu Wakazi Wasira ambaye anatajwa kama mwanafamilia ya muziki wa Hiphop amekuwa akipoteza muda kurap wakati kipaji chake halisi...
  4. Hance Mtanashati

    Hizi hapa bifu zaidi ya 60 zilizowahi kutikisa hapa nchini zinazohusisha wanamuziki, watayarishaji wa muziki, media nk

    Zifuatazo ni bifu zilizowahi kutokea hapa nchini ,baadhi yao ziliwahi kutokea na wahusika kumaliza tofauti zao na nyingine bado zinaendelea mpaka sasa. Clouds media vs Kalapina Clouds media vs Pfunk Clouds media vs Dudubaya Ruge vs Lady JayDee Ruge vs Sugu Ruge vs Diamond Platnumz Ruge vs...
  5. Stephano Mgendanyi

    Waziri Tabia Mwita Azinduza Tunzo za Kimataifa za Muziki Zanzibar

    Waziri wa habari vijana utamaduni na michezo Mh. Tabia Maulid Mwita, amesema Serikali itaendelea kusimamia sanaa ya Zanzibar katika kuimarisha miundombinu itakayowawezesha wasanii kuzalisha kazi zao katika mazingira mazuri. Akizungumza katika uzinduzi wa tunzo ya Zanzibar International Music...
  6. Vincenzo Jr

    Mfalme wa muziki

    Naam mfalme wa muziki Alikiba atakuwepo kama mtoa burudani siku ya ijumaa kwenye Afl super league hii ni habari mbaya kwa sadala na wenzie hii itamfanya alikiba kuangaliwa na mashabiki bilioni 5 dunia nzima
  7. sinza pazuri

    Unamshauri nini Harmonize baada ya kuyumba kidogo kwenye muziki?

    Lazima wote tukubali moja ya products kubwa amewai zitengeneza Diamond Platnumz ni huyu dogo wa kuitwa Harmonize. Harmonize alipokuwa wasafi alikuwa anafanya vizuri sana na hata baada ya kutoka alijitahidi kwenda na upepo wa mashabiki fulani ambao ni haters wa WCB. Siku zimeenda mambo...
  8. King Jody

    Uzi maalumu kwa wale wapenzi wa Muziki wa Reggae

    Muziki wa Reggae ni muziki mzuri unaobeba hisia mbalimbali kama, ukombozi wa mtu mweusi, mapenzi, harakati, nk, kwa kifupi ni muziki unaogusa maisha ya mwanadamu kwa ujumla. Wasanii wa muziki wa Reggae wapo wengi ila hawa ni baadhi ya wale ninaowakubali; 1. BOB MARLEY No woman no cry Buffalo...
  9. MamaSamia2025

    Wasafi Festival ni maonyesho ya muziki au Bongo movie?

    Wakuu ninashangazwa na kinachoendelea kwenye kinachoitwa Wasafi festival. Ikumbukwe hili ni onyesho la muziki linaloendelea mikoa mbalimbali. Kuna jambo limejitokeza ambalo mimi limenishangaza ingawa wengi wanasema ni ubunifu. Kama Wasafi Festival ni tamasha la muziki inakuwaje wasanii...
  10. Mbute na chai

    Quality headphones zinaaibisha watayarishaji wa muziki (producers) bongo

    Leo nimetumia headphones QC45 za bose kusikiliza wimbo fulani wa bongo, yaani, kwa jinsi zilivyo clear kwenye kila chombo cha muziki kilichotumika, nimesikia jinsi baadhi ya vipande vya wimbo huo vilivyo na mixing ambayo haina hata quantization halafu ni wimbo mkali sana! Bora tuendelee kutumia...
  11. DodomaTZ

    CDEA waendesha mradi wa mafunzo ya muziki kwa vijana Dar

    SHIRIKA la Utamaduni la Maendeleo Afrika Mashariki (CDEA) linaendesha mradi wa mafunzo maalum kwa Vijana wanamuziki wanaochipukia wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwa ufadhili Braid Arts and Culture Fund, ambao watawawezesha Vijana hao kujifunza aina mbalimbali za uandishi wa muziki wa jukwaani, na...
  12. MamaSamia2025

    Makundi bora ya muziki kuwahi kutokea kwenye Bongo Flava

    Hii ni orodha tukufu ya makundi yaliyoweka alama kwenye muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Nyimbo zao zikipigwa hadi leo zinasisimua. 1. Hard Blasters Crew (HBC) Kundi liliundwa na Profesa Jay, Fanani na Big Willy. Albamu yao ya Funga Kazi itakumbukwa daima. Wimbo wao wa chemsha bongo...
  13. M

    Mch. Kenan Mwasomola umeongea kweli suala la muziki Kanisani

    Nimeona kwenye mitandao jinsi mchungaji kenan mwasomola alivyokuwa amewa kwa hisia kali na hasiri akikosoa uimbaji wa siku hizi makanisani kwamba sio wa roho mtakatifu. Amekosoa jinsi makanisa kutumia mitindo ya nyimbo na muziki wa kidunia kama vile Rap/R&B, Jazz, Reggae, Singeli nk na kuimba...
  14. Mto Songwe

    Wakatoliki kwa kwaya na ufundi wa vinanda ni sawa na samaki na maji

    Hawa Wakatoliki kwaya na ufundi wa upigaji vinanda kwao ni sawa na samaki na maji ni ngumu kuwatenganisha. Kwa kweli RC ni mafundi haswa katika upande huu wa uburudishaji kwa nyimbo zao za gospel ukichanganya na vinanda vyao. Ukikutana na mpiga kinanda fundi wa RC mpaka kichwa anatikisa huwa...
  15. sinza pazuri

    Juma Nature kama muziki umekushinda tafuta kazi nyingine, usichafue watu

    Kazi ya sanaa kama ilivyo taaluma nyingine inahitaji sana discipline. Na nidhamu ya kazi ni tatizo kubwa sana kwa kaka yetu Juma Nature. Hatukatai Juma ni legend anaepaswa kupewa heshima, ila amekuwa anazingua sana kwa kutokubali kukua. Usela wa uswahilini unamharibia sana. Nature bado...
  16. sky soldier

    Kucheza mpira kuna uhakika zaidi kuliko kuimba Bongo Flava. Ewe kijana ama mzazi mwenye kijana, Mpira Ruksa ila Bongo Flava iwe burudani tu

    Ni ushauri kwa vijana na wazazi wenye vijana ambao wanataka kuingia kwenye haya mambo, Kwa nchi yetu tuwaase zaidi vijana wanaotaka kucheza mpira kuna chance nzuri ya kufanikiwa ila hawa wanaotaka kuimba watafute shughuli zingine, mziki waufanye kwa burudani tu maana chance yake ni ndogo sana...
  17. Ebejo

    Je, ni kiwango gani sahihi cha fedha kumpatia mzazi mwenzako kwa ajiri ya malezi ya mtoto?

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, pia ni kijana ninayezidi kupamba kukumbizana na umasikini, Nahitaji ushauri maana mimi mwaka jana nilibahatika kupata mtoto japo haikua malengo yangu kwani mama wa mtoto tulikutana naye kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la sabasaba nikiwa na ni rafiki...
  18. Street brain

    Mungu ni mwema lakini usiende kucheza muziki na chui

    Wazee wanasema, "Mungu ni mwema lakini usiende kucheza mziki na chui". Nikweli kuwa Mungu anatupenda, ila anapenda pia tutumie akili zetu vyema. Kuna vitu ameshatuonesha kwamba ni hatari, tujitahidi kutumia akili alizotupa na kwa neema yake ataendelea kutusaidia kwa pale tunaposhindwa. Kumbuka...
  19. mama D

    20 Percent Nyota kubwa ya Muziki wa Kitanzania inayopotea

    Mwenye taarifa za huyu mwamba yuko wapi, anafanya nini siku hizi tafadhali
  20. M

    Wimbi la wahudumu wa baa kuhudumia huku wamebeba watoto mgongoni limekithiri. Watoto vichanga wanaathiriwa ma muziki mzito

    Kila mara nikimaliza kuuza kangala na kupiga soga na walimu ambao ni wateja wangu. Ambao nao wanakasumba ya kubugia kangala huku wanapapasa matablet waliogawiwa na rais Samia huwa naenda baa kupiga lager mbili tatu. Cha ajabu huwa nakuta wahudumu wakiwa baa na watoto mgongoni huku mziki mnene...
Back
Top Bottom