Boomplay, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, imeshirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya simu, Halotel kuzindua kifurushi cha ‘Boomplay na Halotel’ ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuendelea kurahisisha usikilizaji wa muziki kidijitali kwa Watanzania.
Ushirikiano huu...
Drake anaweza kuwa anafikiria mpango wa kuondoka kwenye game. Rapa huyo anaonekana kuongelea kustaafu kwake wakati wa mahojiano na "rafiki yake mkubwa" Lil Yachty kupitia mazungumzo ya tangazo la kampuni ya miwani ya jua ya FUTUREMOOD.
============
“I think I’m at the point now where I just...
Muziki ni njia nzuri ya kuweka akili yako imara na kukusaidia kujisikia vizuri. Wataalam wa tiba ya saikolojia wanathibitisha kuwa muziki ni tiba bora kwa magonjwa ya akili kama vile wasiwasi, unyogovu na mkazo. Daktari wa tiba ya akili, Dk. Thomas R. Verny, anasema "Muziki ni tiba ya kiroho na...
Kulingana na mchango wake mkubwa katika kuukuza muziki wa kizazi kipya napendekeza msanii mkongwe Chidi Benzi apatiwe PhD ya heshima sasa akiwa hai kama alivyopatiwa Babu Tale
Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px .
Tarehe 6 February 2023.
Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF Lakini pia nitaipost Twitter.
____________________________________
Video imetoka majuzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka 2023.
Ikiwa imeongozwa na director Majagi.
Mpaka sasa tarehe 6...
Tangu mwaka 2021 mwezi wa 11 tulipopata kilio cha mabando kupanda bei hakuna msanii yoyote hapa bongo alieweza kugonga views milioni 1 ndani ya masaa 24, ipo lebo flani ilikuwa inamwagia views milioni 1 chini ya dakika 1 kwa kila msanii lakini wakaja kuumbuka.
Diamond kaweka rekodi ya ngoma ya...
Muziki, Muvi na series zikifutwa duniani sijui maisha yatakuaje upande wangu maana Muvi na Muzi ni vitu navyovipenda as entertainment for me...napenda sana kusikiliza muziki sidhani kama kuna siku inapita sijasikiliza muziki. Hua napenda nikilala muziki wa slow jams, flashback,afropop nyimbo za...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia.
Msiba wa H- Mbizo umetokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro alipolazwa kwa wiki mbili kufuatia matatizo ya mgongo.
Mdau mkubwa wa sanaa...
Utafiti wa Chuo Kikuu cha Vienna umeonesha kuwa mziki unaweza kumrudisha mtu katika hali ya furaha au kawaida pindi anaposikiliza muziki mzuri au wenye kusisitiza furaha wakati wa msongo wa mawazo.
Utafiti huo ulifanyika wakati watu wengi walipotakiwa kukaa ndani kutokana na maambukizi ya...
Wasalaam
Nimehudhuria kwenye muziki wa sebene kwa kiasi chake, ila mara zote nimekuwa na bumbuwazi, shauku, tashwishi na hamasa ya kufahamu hivi yale mauno huwa wako hivyo hata kwenye sebene la kunyanduana au ni bosheni la stejini tu na ule msemo mganga hajigangi.
Yale mauno yananichochea kila...
Nasemaje kuna Diamond Platnumz mmoja tu hapa Tanzania na mpinzani wake ni Nassib Abdul.
Mtapiga kelele zote mzimalize ila maji na mafuta hayakai pamoja daima. Muda ukifika hata ufanye nini vitajitenga tu.
Mkesha wa leo Diamond kafanya show ya kihistoria.
Quality ya performance haijawai...
“The Kid You Know” albamu ipo masikioni mwa mashabiki wa Marioo tangu December 9. Albamu hii yenye nyimbo 17 imepambwa na kolabo 12 za Afrika, miongoni mwa kolabo kubwa zinazopatikana humu ni I Miss.
I Miss ni wimbo namba 10 alioshirikishwa King Kiba, Alikiba na Marioo wameutendea haki mdundo...
Marioo The Kid You Know Album Review: Mchanganyiko Wa Kolabo Za Bongofleva, Afrobeat Na Amapiano Za Wakali Wa Africa
Siku kumi na moja baada ya kuitambulisha artwork yake sambamba na tracklist, hatimaye #TheKidYouKnowAlbum ya Marioo imefikishwa rasmi kwa wasikilizaji wake usiku wa kuamkia...
Ni HIVI wote tumesikia leo kuhusu takwimu za maambukizi mapya ya vvu nchini na kwamba asilimia kubwa ni vijana wenye umri kati ya miaka 15 HADI 20.
Nini KIFANYIKE KUPUNGUZA kasi ya maambukizi?
Solution zinaweza kuwa nyingi lakini Kati ya hizo Nina amini zifuatazo zinaweza kusaidia KUPUNGUZA...
Jamani wapi naweza kwenda penye band zinazopiga miziki ya zilipendwa hapa dar? Zamani sana nilikuwaga naenda Mawenzi garden tabata kulikuwa na band ya BANA MARQUIZ na sijui hata wao kwa sasa wanapiga wapi maana nilikuwa nawapenda sana.
Nakaa kinondoni anyway so kama kuna band maeneo ambayo si...
Nikifatilia muziki hasa Hip Hop Bongo sasa naona kuna utofauti mkubwa, yaani kama pengo vile hawa wasanii wasasa wanashindwa kufikia swhemu ya walotangulia. Hamna maudhui ya maana kwa muziki wa sasa, kuanzia mashairi ni sifuri, kidogo mdundo Producers wanajitahidi sana, Producer ndiyo wanafanya...
Je una bar/pub/hotel/au ofisi yeyote inayohitaji muziki? na hauna deejay? Au unahitaji collection kwa ajili ya kusikiliza katika gari au gheto.
Basi nipo tayari kukutengenezea collection nzuri ya muziki kwenye flash disk au cd na ukaiweka kwenye ofisi yako na muziki ukaendelea kama vile upo na...
Muziki una ushawishi mkubwa Duniani kisiasa (wakati wa kampeni na ziara ),kiuchumi na kijamii.
• Takwimu zinaonyesha kwa wastani mtu mmoja ana tumia masaa 961 kusikiliza muziki kwa mwaka.
• 66% ya wasilizaji wa nyimbo hizi ni vijana kuanzia miaka 18 na 34+
• Pia takwimu zinaonyesha Ma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.