Wakuu,
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa utabiri wa mvua kubwa katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Tabora, Singida, Dodoma, Simiyu, Mara, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Mwanza na Shinyanga, Tanga, Morogoro, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Mtwara...
Wakuu,
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya Ukanda wa Pwani ya Kaskazini mwa bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba), Nyanda za Juu Kaskazini Mashariki (Mikoa ya Arusha...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Lindi, Mtwara, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia pamoja na Uguja na Pemba yatapata mvua nyepesi kuanzia leo saa 3:00 usiku.
"Angalizo la mawimbi makubwa yanayofikia mita mbili limetolewa kwa...
Dar waweza acha Kodi uliyolipia na kuhama baada ya kugundua kuwa eneo Hilo ulilopanga kipindi Cha mvua halikaliki vyura wanaingia Hadi ndani na maji na kuanza kuimba nyimbo zao za kwaya zao usiku huko ndani baada ya kuingia maji ndani au madimbwi kuzunguka nyumba usiku hutalala Kwa nyimbo za...
Mvua zinatandika kila kona ya nchi na huu ni msimu wa kilimo...Chadema wameitisha Maandamano watu wananyookea maandamano kama nzige ni Miziziolojoji?
Huku Manyara leo mashamba yako likizo wakulima wamemfuata Lissu
Chadema punguzeni spidi watu wakonsetreti kwenye Kilimo
Muungano hoyee
Baada ya maji kuwasomba watoto na kuwauwa kule Arusha nilijua serikali ingeona nini kitatokea, na sasa wanasema itachukua wiki mbili kunyesha kwa kiwango kikubwa namna hii na watoto wa kitanzania wanasota huku wale wa nchi za jirani wamesitisha ukatili huu kwa muda
Ukiwa njiani unawaona watoto...
Mbombo ngafu, haijaisha mpaka iishe, kama haitoshi kwa mafuriko yanayotokea sasa Rufiji, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetangaza uwepo wa mvua kubwa katika maeneo kadhaa, pamoja na Mkoa wa Pwani.
Tahadhari za awali ni pamoja na kuwaondoa wakazi wa mabondeni, misaada iwe standby Rufiji, na...
Ijumaa, 5.4.2024 mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali vilileta maafa makubwa Kijijini Lyasembe, Kata ya Murangi.
Jumla ya watu walioathirika ni: 685
Watoto 384
Watu wazima 301
Jumla ya majengo yaliyoharibika:
(i) Nyumba zilizobomoka (17):
17 za wanakijiji
(ii) Nyumba zilizoezuliwa...
JamiiForums imefanya mahojiano na Rose Senyagwa, Mtaalam na Mchambuzi wa Hali ya Hewa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), ambapo alieleza kwa kirefu nini watu wanatakiwa kufanya ili kujilinda pale kunapokuwa na radi
====
Radi ni nini?
Radi ni umeme, umeme huu unatoka katika mawingu na hasa...
Dar es Salaam, Tarehe 30 Januari 2024
Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa linaendelea kusitisha huduma ya usafiri wa treni kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Katavi, Kigoma na njia ya Kaskazini kuelekea mkoani Tanga...
Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania, imetabiri mvua kubwa inyotarajiwa kunyesha tar 27 na 28 Januari 2024. Mvua hizi zimetabiriwa kuwa tarehe 27 Januari 2024 zitanyesha mikoa mitano, Morogoro Kusini, Lindi, Mtwara, Ruvuma na Njombe. Aidha kwa siku ya Jumapili Januari 28, 2024 zitanyesha Morogoro...
Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema hali ya upatikanaji wa Umeme katika baadhi ya maeneo nchini, imekuwa duni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, iliyosababisha miundombinu ya umeme, zikiwemo nguzo na transfoma kuanguka.
Kupitia taarifa iliyotolewa na...
Inadaiwa kuwa kuna mawingu yamedondoka huko Morogoro kutokana na mvua kubwa zinazonyesha.
Wataalam, imekaaje hii?
Video ikionesha kile kinachodaiwa kuwa ni Mawingu yaliyodondoka, Morogoro
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Mvua kubwa sana inanyesha hapa Dar sijapata kuona. Tangu nizaliwe sijawahi kushuhudia mvua kubwa kiasi hiki.
Serikali ijiandae kukabiliana na athari za mafuriko zitakazosababishwa na mvua hii kwani kadri muda unavyoenda mvua inazidi kuongezeka
Mara ya mwisho...
Wananzengo,
usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima.
Soon kunakucha.
Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha .
Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari ya uwapo wa mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika mikoa 15 inayoweza kuleta athari ya mafuriko.
Mikoa iliyotajwa ni Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Katavi, Dodoma, Singida, Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa na Kusini mwa...
Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa.
Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua.
Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
barabara
dar
eneo
hali
haya
kubwa
maalum
madhara
maeneo
mafuriko
maji
mamlaka
matukio
mbalimbali
mikoani
mjini
morogoro
mvuamvuakubwamvua za el nino
nyingine
picha
tahadhari
tarehe
update
uzi maalum
video
zanzibar
Salaam Wakuu,
Kupitia WhatsApp yangu nimetumiwa ujumbe wa tahadhari kuhusu kuwepo kwa Mvua katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Ujumbe huo unaeleza:
Shinyanga, Dar, Pwani, Mafia,Tanga, Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kigoma na Kagera tujiandae, kutakuwepo na Pacific El nino na Atlantic El...
Baada ya mapumziko ya siku mbili, mvua kubwa za El Nino sasa zinarejea tena Jijini Dar es Salaam na zitanyesha kwa siku nne mfululizo kuanzia kesho Novemba 15 na zitaendelea hadi Jumamosi ya Novemba 18 mwaka huu.
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA ni kwamba, mvua hizo mbali ya Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.