Kuna watu "wataalamu".
Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani.
Shikamoo Heche
Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA imetahadharisha uwepo wa mvua kubwa kwa Jiji la Dar es Salaam kwa siku ya kesho, Jumapili Novemba 12 2023.
Utabiri wa TMA unaonesha mvua hiyo itakayoenea hadi katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Tanga,
Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia na mikoa ya Lindi pamoja na...
Kama mujibu wa taarifa hiyo ya Mamlaka ya Hali ya Hewa, wakazi wa maeneo tajwa wachukue tahadhari kwasababu Mvua hizo zinatarajiwa kunyesha kwa siku 3 kuanzia leo Oktoba 29, 2023.
TMA imeonya kuwa Mvua zinaweza kusababisha Mafuriko pamoja na kuharibu shughuli za Kiuchumi hivyo Wananchi waepuke...
Mvua hiyo kubwa imenyesha leo katika Manispaa ya Bukoba na kuwaachia hasara kubwa wananchi wengi hasa walio karibu na mto Kanoni.
Nyumba nyingi zimezingirwa na maji, huku maeneo mengine nyumba zikiwa zimeezuliwa paa kutokana na upepo mkali.
Moja ya nyumba ya ibada iliyopata madhara hayo ni...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za Juu ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, kusini mwa Mkoa wa Simiyu, kaskazini mwa mkoa wa Kigoma, Dar es Salaam, Tanga, Pwani (ikiwemo visiwa vya Mafia), kaskazini mwa mkoa wa...
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA), imetoa angalizo ya siku mbili ya kunyesha kwa mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo machache ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani (Visiwa vya Mafia ,Tanga, visiwa vya Unguja na Pemba).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Juni 5, 2023 jijini Dar...
Wakuu salaam,
Mvua leo imetunyoosha kama imejiunga kifurushi cha siku. Yaani toka asubuhi mpaka usiku huu kuna maeneo mvua bado inayesha.
Huko ulipo hali ikoje? Njia zinapitika au kumefurika? Wapangaji wenzangu, dalali aendelee kuzima simu au mambo shwari?
Kama jibu ni ndiyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii kuwatakia kila la kheri ila kama Kawaida (kwa Unafiki Wetu tuliobarikiwa nao) Mdomoni naungana nanyi Waswahil, ila Moyoni nipo na Mwarabu ninayemuamini.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuufahamisha umma juu ya kusitishwa kwa huduma ya usafiri wa treni ya abiria inayotoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya bara (Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Tabora, Mwanza, Mpanda na Kigoma) kuanzia tarehe 28.03.2023.
TRC imesitisha utoaji wa...
Kuna nini labda Kimejificha hapa? Je, hii Mvua inamuadhimisha Hayati Dk. Magufuli kwa Kifo chake Miaka Miwili iliyopita au ni Mvua ya Kuonyesha kuwa Mama ( Rais Samia ) ana Baraka na sasa Tozo, Mikodi, na hali ngumu ya Maisha iliyoko ndiyo inaenda kuwa Historia?
GENTAMYCINE nimekaa pale kusoma...
Tayari kuna Mto Mmoja mkubwa na maarufu uko eneo fulani unaanza Kufurika na najua hadi Saa 10 Alasiri nitaitwa kwenda kusaidia Uokozi.
Na kuna Demu Mmoja ameninyima Nyama Tamu yake Chumba chake kipo Jirani na Kingo za huo Mto na kuna Uwezekano Chumba kikaondoka hivyo ngoja nijisogeze karibu...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imefanya utabiri wa hali ya hewa wa siku 5 huku ikitoa angalizo kwa siku mbili za Machi 14 na 15, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa na mvua kubwa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Machi 13, 2023, angalizo la mvua kubwa limetolewa katika maeneo machache...
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Ladislaus Chang’a ametangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za masika zinazoanza Machi mpaka Mei, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani huku baadhi ya mikoa kuwa wastani na juu ya wastani.
MWENENDO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022...
Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia kunyesha kwa mvua kubwa Mkoani Morogoro kuanzia usiku wa kuamkia Januari 13, 2022 hasa katika maeneo ya Kihonda, Mafisa na Soko Kuu la Kingalu.
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amesema hakuna taarifa ya kifo ila kuna uharibifu wa mali na kuwa shule...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinazoweza kuleta madhara zinatarajiwa kunyesha katika mikoa 11 ya Tanzania.
Mikoa hiyo ni Ruvuma, Njombe, Iringa, Morogoro, Mbeya, Songwe, Rukwa, Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara.
Katika taarifa iliyotolewa leo Desemba 27, 2022 na TMA...
Mikia noma tayari wametutime, mvua sijui hata imetokea wapi.
Wazee wetu wameshindwa kabisa kuleta jua.
Lakini hamna namna lazima mikia wafungwe hata kama ikinyesha ya mawe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.