Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania imetoa angalizo la mvua kubwa kwenye mikoa ya Mbeya, Iringa, Dar es Salaam, Pwani, visiwa vya Mafia, Ruvuma, Morogoro, Njombe, Lindi na Mtwara itakayonyesha Februari 23, 2022.
Aidha mamlaka hiyo imesema kutakuwa na upepo mkali kwa baadhi ya mikoa.
Mungu ni mwema, ule ukame uliotutia hofu kwamba huenda mwaka huu kukawa na njaa imetoweka, kuna mvua kubwa sana inanyesha ikiambatana na radi, japo hofu ni kwa wale waliojenga mabondeni, usalama wao huenda ukawa mdogo sana, ilitokea siku chache zilizopita baadhi ya makazi ya watu yaliingiwa na...
Utabiri wa hali ya hewa uliotolewa na TMA umeonyesha kanda ya Pwani itakuwa na mvua kubwa siku ya leo.
Wananchi wa mabondeni chukueni tahadhari.
Chanzo: ITV habari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.