mvua kubwa kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvua kali zageuka maafa Narok. Wawili wasombwa na mafuriko, wito wa tahadhari watolewa

    Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini zimeanza kuleta madhara makubwa, na kwa bahati mbaya, watu wawili wamepoteza maisha yao katika eneo la Sakutiek, Narok Central. According to reports, the two individuals walikuwa wanajaribu kuvuka sehemu iliyofurika maji usiku wa Jumanne, lakini kwa...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Idadi ya vifo kutokana na mafuriko yaongezeka kufikia 45

    Mvua kubwa ilionyesha mji mkuu wa Kenya, Nairobi, usiku wa Ijumaa, ilisababisha barabara kuu kugeuka mito na maelfu ya nyumba pamoja na biashara kujaa maji, lakini pia ilichukua maisha ya watu huku baadhi wakijeruhiwa. Siku ya Jumamosi Polisi walisema walau watu 23 walifariki Dunia jijini...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dereva Mzembe asababisha vifo vya watu 10 baada ya lori kusombwa na maji kwenye mto uliofurika

    Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona. Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili wanamuonya asilipitishe lori lake ambalo pia lilikuwa limebeba nadhani mchanga na matofali ila kwa...
Back
Top Bottom