Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini zimeanza kuleta madhara makubwa, na kwa bahati mbaya, watu wawili wamepoteza maisha yao katika eneo la Sakutiek, Narok Central.
According to reports, the two individuals walikuwa wanajaribu kuvuka sehemu iliyofurika maji usiku wa Jumanne, lakini kwa bahati mbaya wakasombwa na maji ya mto wa msimu (seasonal river). Miili yao ilipatikana baadaye na wananchi wakishirikiana na police, na kupelekwa hospitali ya Naivasha kwa hatua zaidi.
Police wameonya wananchi kuwa very careful during this rainy season. Kuvuka maeneo yenye mafuriko ni hatari sana, especially wakati maji yanaongezeka kwa kasi.
Katika tukio lingine la kusikitisha, ng’ombe wanane walikufa baada ya kupigwa na radi katika kijiji cha Mararianta, Narok West. Inasemekana walikuwa wamejikinga chini ya mti wakati mvua kubwa ilipoanza kunyesha kitu ambacho wengi hufanya bila kujua risk involved.
Hii yote inakuja wakati wataalamu wa hali ya hewa wakionya kuwa mvua zinaweza kuongezeka zaidi in the coming weeks. Maeneo mengi Kenya, especially low-lying areas, yako kwenye risk ya flooding.
Jamani, hii mvua si ya mchezo. Avoid kuvuka rivers zilizojaa, usijifiche chini ya miti wakati wa radi, na always stay alert. Better safe than sorry.
Source: The Star