mvua na upepo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je mvua za el~nino ni kweli zipo ama ni game ya big fish countries?

    Wakuu habarini.... Bila kuwapotezea muda kwa salamu.... Ningependa kusema mimi kwa upande wangu naona hizi mvua za el nino hazitakuwepo japokuwa ni kweli mvua lazima zinyeshe lakini sio kubwa ivo kama walivyotabiri ..... Nahisi ni game ambayo inafanywa na big fish countries ili kubalance world...
  2. JamiiForums Tanzania Njombe: Mvua na upepo mkali vyabomoa na kuezua nyumba tano Makambako

    Soma pia: Bukoba: Zaidi ya nyumba 300 zazingirwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha Mvua yabomoa, kuezua mabati kwenye nyumba tano huko Makambako mkoani NjombeNyumba tano zilizopo Mtaa wa Idofi, Kata ya Mlowa mjini Makambako mkoani Njombe zimeharibiwa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na...
  3. JamiiForums Tanzania Mvua zilizoambatana na upepo zaezua nyumba zaidi ya 100 Ulanga mkoani Morogoro

    Mvua zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo mbalimbali zimeendela kuleta athari ambapo zaidi ya nyumba 100 zimeezuliwa paa na nyingine kubomoka baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kunyesha katika Kijiji cha Mavimba Kata ya Milola Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro. Baadhi ya Wahanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…