Je mvua za el~nino ni kweli zipo ama ni game ya big fish countries?

Je mvua za el~nino ni kweli zipo ama ni game ya big fish countries?

Joined
Dec 20, 2023
Posts
66
Reaction score
112
Wakuu habarini....
Bila kuwapotezea muda kwa salamu....

Ningependa kusema mimi kwa upande wangu naona hizi mvua za el nino hazitakuwepo japokuwa ni kweli mvua lazima zinyeshe lakini sio kubwa ivo kama walivyotabiri .....

Nahisi ni game ambayo inafanywa na big fish countries ili kubalance world economy.... Na hii wameifanya kwa kuwajengea watu hofu kubwa kwa kuhype saana ili watu wa purchase bidhaa kwa wingi .....
Ni maoni yangu tu wadau

Nyie mnaonaje wadau maoni yenu
 
Watu wengi hawana Habari Wanachukulia ni kama stori za alfu Lela ulela, viongozi wa serikali wanakaa vikao na kujadili hiyo ishu but wao wenyewe wanajua likitokea la kutokea serikali haina uwezo wala timu za maafa zaidi ni kutoa misaada ya unga na maharage na kuwahishwa hospitalini ukawekewe dripu....
 
Ila wabongo mna akili za kijinga sana, unahisi unahisi..El nino ni scientific facts sio porojo za wajinga wasioenda shule!
 
Labda kama hukuwepo El Nino iliyopita mwaka 97. Hizo mvua zilifanya kijijini kwetu unga wa ugali uonekane kama dhahabu. Karibu kijiji kizima tulikuwa tunakula ugali mboga za majani karibia miezi 3 bila kubadili mboga. Wakati ule miundombinu ya barabara ilikuwa ya kishenzi kiasi kwamba safari ya Dar Mtwara ilikuwa ni wiki nzima. Kwa kaskazini ilikuwa Arusha - Singida ni safari ya siku nzima. Arusha - Karatu masaa matano na zaidi. Mazao yaliozea shambani... wakulima wa vitunguu walipigwa na kitu butu. Kitunguu ilikuwa anasa.
 
Wakuu habarini....
Bila kuwapotezea muda kwa salamu....

Ningependa kusema mimi kwa upande wangu naona hizi mvua za el nino hazitakuwepo japokuwa ni kweli mvua lazima zinyeshe lakini sio kubwa ivo kama walivyotabiri .....

Nahisi ni game ambayo inafanywa na big fish countries ili kubalance world economy.... Na hii wameifanya kwa kuwajengea watu hofu kubwa kwa kuhype saana ili watu wa purchase bidhaa kwa wingi .....
Ni maoni yangu tu wadau

Nyie mnaonaje wadau maoni yenu
Kwanini umewahi kusema hivyo wakati hata ule muda wa mvua hizo haujafika? Tuliambiwa zitaanza October na huoni dadili tayari na huko Kilimanjaro na Dar si zimeanza kunyesha?
 
Big fish wana kawaida ya kuzusha taharuki duniani kila wanapotaka kutimiza agenda zao za siri. Sasa hivi wanakuambia AI itakuwa na uwezo wa kuua watu wengi na haidhibitiki!
 
Wakuu habarini....
Bila kuwapotezea muda kwa salamu....

Ningependa kusema mimi kwa upande wangu naona hizi mvua za el nino hazitakuwepo japokuwa ni kweli mvua lazima zinyeshe lakini sio kubwa ivo kama walivyotabiri .....

Nahisi ni game ambayo inafanywa na big fish countries ili kubalance world economy.... Na hii wameifanya kwa kuwajengea watu hofu kubwa kwa kuhype saana ili watu wa purchase bidhaa kwa wingi .....
Ni maoni yangu tu wadau

Nyie mnaonaje wadau maoni yenu
Una umri gani kwanza?
 
Chukua tahadhari, wakati wa nuhu watu walichukulia masikhara kikawalamba
Nuhu aliishi miaka mingi kwahiyo alishashuhudia kabla kila baada ya miaka kadhaa unyesha mvua kubwa mto Tigris Iraq na ule mto mwingine huungana na kusababisha maafa makubwa.

Kwa zama zetu mimi nimeshashuhudia madhara ya Elnino kadhaa siwezi kutolewa kwenye mstari na vichaa wa JF.
 
Back
Top Bottom