loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
Sisi wabongo kwa ujuaji ujuaji tu. Mkuu basi ingependeza huu ujuaji ungepeleka walau chaka huko kwenye shughuli za kilimo na ufugaji ingeleta tija.Wakuu habarini....
Bila kuwapotezea muda kwa salamu....
Ningependa kusema mimi kwa upande wangu naona hizi mvua za el nino hazitakuwepo japokuwa ni kweli mvua lazima zinyeshe lakini sio kubwa ivo kama walivyotabiri .....
Nahisi ni game ambayo inafanywa na big fish countries ili kubalance world economy.... Na hii wameifanya kwa kuwajengea watu hofu kubwa kwa kuhype saana ili watu wa purchase bidhaa kwa wingi .....
Ni maoni yangu tu wadau
Nyie mnaonaje wadau maoni yenu