mvua

  1. sky soldier

    Kipindi hiki cha mvua hakikisha unampa pesa mara tatu zaidi ya ulivyozoea, ushindani umekuwa mkali sana

    Soko la Joto la body to body limeongezeka vibaya mno, sio suala la one night stand ama show time kwa sasa, ni suala la kupata uhakika wa joto kila siku, na hapa kwa mahesabu ya bajeti watu wameona wawe na mtu moja kuliko kubadili badili (wahasibu na wachumi tunazita economies of scale for bulk...
  2. Black Butterfly

    DOKEZO Barabara za Mitaa jimbo la Segerea ni mbovu, zinajaa maji na hazina mitaro

    Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu. Kuna vitu vinafanywa na Serikali vinakera sana. Mfano. TMA walitangaza zaidi ya miezi miwili nyuma kwamba kutakuwa na Mvua kubwa za e El Nino ambazo zitaendelea hadi mwezi wa 3 mwaka 2024 lakini Serikali ilitulia bila kufanya Marekebisho ya Barabara zake...
  3. R

    Tupeane habari za mvua ya Leo

    Tanga Tangu jana jioni, usiku wa leo mpaka sasa mvua inanyesha. mafuriko sehemu kama zote. vimito vyote vimetema
  4. benzemah

    Halmashauri ya Jiji la Arusha Yatenga Milioni 380 Kukarabati Maeneo Yaliyoharibiwa na Mvua

    Halmashauri ya Jiji la Arusha imetenga kiasi cha Sh milioni 380 ili kurudisha miundombinu ambayo imeanza kuharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Arusha. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jij la Arusha, Juma Hamsini alisema hayo juzi wakati akizungumza katika mkutano wa madiwani...
  5. Lexus SUV

    Nyakati za mvua Dar ndio watu wanaachia maji taka ya vyooni mwao!

    Hatariii sana hii kitu. Unakuta vinyesi vinaelea, dah hatari sana hii kitu!
  6. Vincenzo Jr

    Kipindi cha mvua wanawake mtuonee huruma jamani

    Nini kimeongezeka kwenye baridi mpaka wanawake waringe? Kumekuwa na tabia kipindi hiki cha mvua na baridi sisi wanaume kunyimwa unyumba tatizo ni nini jamani😭😭😭😭😭😭😭😭
  7. kavulata

    Derby ya mvua pangeni wachezaji wanaoweza kucheza kwenye mvua na tope tu

    Ufundi kwenye mvua na tope ni kidogo kuliko nguvu. Simba na Yanga kama mvua itaendelea hivi hadi siku ya mechi hakikisheni wanaopata nafasi ya kucheza ni wale wababe tu, aina ya Mzamiru, Mudathiri, Yao, Mzize, Kibu, Inonga, Gift, Aucho waonyeshane kazi. Achana na types za Skudu, Nkane...
  8. machiaveli

    Waliotabiri mvua itanyesha hawakukosea

    Hawa TMA kwa kweli hawakukosea Leo nimechapwa na mvua Moja pande za kisongo airport mpaka nikaficha simu yangu sehemu za siri. Ni mara ya kwanza nime experience kichapo Cha mvua namshukuru Mungu yule jomba aliyekua anaendesha harrier yake alinipa lift manake sikuona bodaboda wala bajaji...
  9. adriz

    Mvua inayoendea Dar ni hatari sana, wale waliokuwa wanawabeza TMA wapo?

    Moja kwa moja, Katika kipindi cha miaka 7 Dar sijawahi kushuhudia mvua kama iliyopiga siku mbili hizi haswa ya leo ndio bab kubwa sehemu nyingi maji yamejaa sana. Tukirudi nyuma wakati tahadhari zinatolewa na TMA wabongo wengi mitandaoni na mitaani walikuwa wanabeza sana na wengine kuleta...
  10. R

    Mbezi Beach eneo la wadosi na wakubwa lakini kipindi cha mvua ni kama kambale kwenye dimbwi la matope!

    Wakuu, Mbezi Beach inasifika kuwa kuwa na wadosi watu wazito na viongozi mbalimbali hasa upande wa chini. Lakini kipindi hiki cha mvua Mbezi haitamaniki, barabara za ndani ni mbovu kupita maelezo, yaani utafikiri uko pale urafiki wanapouza kwenye soko la ndizi. Kwa kwa jinsi Mbezi Beach...
  11. P

    Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  12. C

    Hizi mvua zote kwanini bado TANESCO wanakata umeme?

    Au ni mimi tu siyo sielewi chanzo cha huu mgao unaondelea sasa mwezi Novemba umeanza? Sasa hivi wamekata tena umeme na utarudi baada ya giza. -
  13. JanguKamaJangu

    Mamlaka ya Hali ya Hewa yasema kipindi cha Novemba 2023 hadi Januari, 2024 kinatarajiwa kuwa na mvua nyingi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa mvua za Msimu kwa maeneo yanayopata msimu mmoja wa mvua kwa mwaka ambayo ni mikoa ya Tabora, Katavi, Kigoma, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Lindi, Mtwara, Ruvuma na Kusini mwa Morogoro. Taarifa hiyo imesema...
  14. BARD AI

    Tahadhari TMA: Dar, Pwani, Tanga, Unguja, Pemba na Mafia kukumbwa na Mvua Kubwa leo

    Kama mujibu wa taarifa hiyo ya Mamlaka ya Hali ya Hewa, wakazi wa maeneo tajwa wachukue tahadhari kwasababu Mvua hizo zinatarajiwa kunyesha kwa siku 3 kuanzia leo Oktoba 29, 2023. TMA imeonya kuwa Mvua zinaweza kusababisha Mafuriko pamoja na kuharibu shughuli za Kiuchumi hivyo Wananchi waepuke...
  15. Elon J

    INAUZWA Kwa mahitaji ya miche ya matunda, miti, maua mbalimbali na majani ya kupanda tuone Dani Garden

    Mvua ndio hizo wadau, usiache shamba lako au nyumba yako ikae kinyonge tuone ''DANI GARDEN" Tunauza Miche mbalimbali ya matunda kama miembe, mipera, michungwa, milimao, ndimu n.k yote imefanyiwa budding( ya muda mfupi). Pia tunauza MAUA mbalimbali yakupendezesha nyumba yko bila kisahau miti...
  16. M

    Mvua nzito, mafuriko na upepo mkali vyachelewesha Israel kuivamia Gaza

    Wakati Israel ikijiandaa kuivamia Gaza, kulitokea kimbunga kikali sana na mvua kubwa iliyoahirisha mipango ya Israel kuingiza majeshi yake Gaza. Hali hiyo imeweka presha kubwa kwa serikali ya Netanyahu kwanza kudeal na janga hilo la ndani kabla ya kupeleka majeshi Gaza. Wakati huohuo Hizbollah...
  17. Roving Journalist

    Njombe: Mvua iliyoambatana na upepo mkali yaezua ofisi za walimu

    Mvua iliyoambatana na upepo mkali iliyoanza kunyesha majira ya saa tisa alasiri usiku wa kuamkia leo imeezua paa la jengo la utawala la ofisi za walimu na baadhi ya vyumba vya madarasa katika shule ya msingi Ikonda iliyopo wilaya ya Makete mkoani Njombe Mwalimu mkuu wa shule hiyo Enelika...
  18. Chachu Ombara

    Mvua kubwa yanyesha Bukoba na kusababisha hasara kubwa

    Mvua hiyo kubwa imenyesha leo katika Manispaa ya Bukoba na kuwaachia hasara kubwa wananchi wengi hasa walio karibu na mto Kanoni. Nyumba nyingi zimezingirwa na maji, huku maeneo mengine nyumba zikiwa zimeezuliwa paa kutokana na upepo mkali. Moja ya nyumba ya ibada iliyopata madhara hayo ni...
  19. N

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania wanasemaje kuhusu mvua za El Nino?

    Weatherman wa Kenya wamesema kutokana na data za satelaiti, Mvua za El Nino zinazotarajiwa hazitakuwa kubwa kama ilivyotabiriwa hapo awali. Je, upande wa TMA wao data zao za satelaiti zinaonesha nini maana matangazo yao hayana ukweli bali pata potea. Tunaona halmashauri nyingi wapo busy...
  20. GENTAMYCINE

    Haya Mvua ya El Nino imeshaanza Majaribio yake Mkoani Dar es Salaam hivyo tujiandae nayo

    Na kama Mtu ambaye nimejiandaa kuwa Mtetezi wa Serikali pale Mvua za El Nino zikianza ni Mimi GEBTAMYCINE. Tokea Mwezi wa Tano ( May ) au wa Sita ( June ) Serikali kupitia Media mbalimbali kila Siku imekuwa ikitoa Tahadhari kwa Wananchi ( hasa wa Mabondeni Kuhama ) ila nasikitika kusema kuwa...
Back
Top Bottom