Hii ilikuwa Moja ya derby kubwa hapa Tanzania baada ya Ile ya Simba. Vs Yanga
Ila Kwa Sasa ni kama mechi ya kawaida kabisa, watu hawana habari nayo
Bado siku 1 hii derby ipigwe lakini hakuna anayejali,
Watu wanaongelea mechi Mashujaa vs Yanga, hii imesikitisha sana
Inasemekana kitu kilichoouwa...