Ndugu WanaJF,
Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi.
Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika...
Japo hili bango huwezi sema ni la kampeni,lakini ni wazi iwapo Lissu atapitishwa,bango kama hili linaweza kutumika na huenda kwa sasa wana-test tu mitambo.
Ushauri wangu:kauli mbiu hii kwa sasa sio tu imeshachuja,bali inaonekana ni sawa na kuwadanganya watu wazima maana kuna mtu hakuitendea...
Nimefuatilia sana kwenye radio na mitandaoni pia nimegundua kuna watu wako vizuri sana kwenye usomaji wa makala. Top 3 yangu hii
3. Spesho Kabwanga (kituo chake youtube) anasomaga pia kwenye sports extra.
2. Ananias Edgar Makaza zake nyingi nazipataga youtube nimemjulia huko.
1. Mtiga Abdala...
Napita pita kitaa sioni hata raia hata mmoja akiwajadili hawa watia nia ya Urais kwenye chama cha CHADEMA. Nini shida?.
Hata huku kwenye makundi ya Social Media kuko kimya sana. Nini shida?
Ni chama ana watia nia wenyewe?.
Naamini pia kwamba Membe akitia nia CHADEMA kinaweza kikapata nguvu...
NIMEMSIKILIZA SANA MSIGWA NA HOJA ZAKE ZA KUTAPATAPA ALIPOONGEA NA WAANDISHI WA HABARI AKITANGAZA NIA YAKE YA KUGOMBEA URAIS 2020.
Nashukuru kuwa ameanza kwa kutambua jitihada za serikali ya CCM kuwa kuna mambo yamefanywa na CCM, japo kwa kubeza. Hii inadhihirisha ile kauli ya mmbunge Mmoja...
Chama chochote cha siasa huwa na agenda yake ambayo huwa ndio roho ya chama
Chadema kipindi cha Dk Slaa kilikuwa na agenda tena nzito ambayo ilikubalika na ilitikisa ndani na nje ikipigiwa makofi ndani ya nchi na nje ya nchi.La kujifunza kwa Dk Slaa ni kuwa Dk Slaa hakutetea maslahi binafsi...
Kwakweli huyu mtangazaji wa clouds 360 baby kabae ana mvuto mnoo.
Ni mzuri
Ana exposure
Si mjivuni
Social
Mambo Safi
Natamani kumjua zaidi hasa historia yake na asili yake.
Baby kabae jua kabisa katika watu wanaokupenda hapa duniani superbug yupo top three. Kama upo humu jf basi like hii post...
Nilikuwa natazama taarifa ya habari ya Azam saa mbili za usiku huu na katika habari za leo kuna habari mbili zilizopelekea mimi kuandika makala hii fupi ambayo ntaawachieni nyie kama wasomaji mfanye tathimini yenu.
Habari ya kwanza (a) kampuni ya Azam kupitia Mkurugenzi wake (mmiliki) ametoa...
Wadau kwa tathmini huru ya mwenendo wa siasa kuanzia 2014 hadi tukielekea 2020 tunaona yafuatayo
1. Wananchi are not elastic towards politics na hii imechangiwa na kazi nyingi -- hapa kazi tu na hivyo kutokuwa na mvuto kwenye siasa. Hii imeathiri sana kuona ushabiki na undakindaki dhidi ya siasa...
Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2015, vyama vya upinzani hali yake ni mbaya sasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mpaka ninavyoandika hapa na kama hali ikiendelea hivi, Uchaguzi Mkuu wa 2020 upinzani utaambulia anguko kubwa na la aibu la kihistoria.
Ni anguko la kihistoria kwa sababu baada...
Mbunge CCM asema wahudumu wa ATCL hawana mvuto kwa wateja
THURSDAY NOVEMBER 7 2019
Mbunge wa Kigoma Kusini nchini Tanzania (CCM) Husna Mwilima
Dodoma. Mbunge wa Kigoma Kusini nchini Tanzania (CCM) Husna Mwilima amesema wahudumu wa ndege wanaoajiriwa na Shirika la Ndege Nchini (ATCL) hawana...
Mara nyingi nimeona vijana wanapambana kutengeneza shape kua mwonekano mzuri badala ya kutafuta pesa. Naomba masister zangu mtuweke wazi mbali na pesa mnavutiwa na shape ipi hasa kwa sisi wanaume wenu vitambi, slim au mwili mkubwa (mbavu)
Kinachofanya wajione wao bora na wazurii ni Sisi wanaume tunapenda kuwasifu lakinii ukweli ni kwamba hawana uzuriii wowote ndo maana vitu vya urembo vimekuwa vingi kwao ili wapendeze waonekane wazurii. Ila Men tupo really bado tunapendeza na tunavutia
"Sio mimi niliyezuia bunge Live, haukua uamuzi wangu. Bunge lenyewe liliunda kanuni za kuendesha matangazo yake. Lakini ukweli ni kuwa hatukutenda haki na watu wanalalamika sana. Kuhusu watu kutizama TV na kushindwa kufanya kazi hiyo hoja niliitoa mimi lakini ni kwa sababu za kisiasa tu. Ilikua...
Somo letu la Leo tutazungumzia Jinsi ya kuandika matangazo yenye mvuto. Kwa hivyo kama unafanya biashara, unauza bidhaa au unatoa huduma, labda umeshawahi kujaribu kuandika matangazo lakini hujapata matokeo mazuri basi naomba ufuatilie kwa umakini sana makala hii kwani nataka nikupe fomula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.