mvuto

  1. sky soldier

    TBT nikiwa chuoni: Vijana wadogo, hakuna Msichana mgumu wala usinunue dawa za mvuto...

    Kwa vijan wengi, Maisha ya vyuoni ndio huwa maisha ya kuishi kwa uhuru kwa mara ya kwanza, Ndicho kipindi vijana wengi hutilia mkazo swala la kutafuta wachumba. Na nisikudanganye, zamani bila kutumia ujanja unaweza ondoka chuoni hujawahi kuwa na dem, sijui kwa ikuhizi. Mabinti wengi wa vyuoni...
  2. M

    Mpenzi wangu amepoteza mvuto

    Heshima kwenu washikadau Nina mpenzi wangu ambae tupo kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, huyu binti wakati naanza nae mahusiano alikua na mwili ambao ni standard lakini kwa siku za hivi karibuni amekua tukunyema sababu ya kupenda kufakamia misosi. Yani huwa haipiti siku bila...
  3. Linguistic

    Fred Vunja Bei ateuliwa kuwa Mwenyekiti kamati ya Uchumi na fedha UVCCM Taifa

    Mfanyabishara Wa Nguo na Kijana Wa Kikinga Fredy Ngajiro Maarufu Kama Vunjabei ameteuliwa Kuwa M/kiti Wa Kamati Ya Fedha Ya Uvccm... Vijana Tafuteni Njuruku Hakuna Namna ---- Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei jana tarehe 23 May 2021 amepitishwa na Baraza kuu la UVCCM kuwa...
  4. T

    Hivi ni mwanasiasa gani kwa sasa mwenye mvuto na ushawishi zaidi kwa jamii ambaye anastahili kuwa alama ya siasa za Tanzania?

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, kila nchi kwa nyakati tofauti hujaaliwa kuwa na mwanasiasa au wanasiasa wenye kujaaliwa vipaji vikubwa vya uongozi kiasi cha kugeuka kua kichocheo na hamasa kubwa kwa wanasiasa wanaoibukia na hata wasio wanasiasa. Ndipo nikajiuliza tunao wanasiasa wa namna hiyo...
  5. Kurzweil

    Kwanini Rais amepoteza mvuto kabla ya kutimiza siku 100?

    Habari wanaJF, Katika uwanja wa siasa kwa ngazi ya Urais tumezoea kuona Rais aliyeingia Madarakani akijizolea umaarufu na sifa kedekede pindi anaposhika hatamu ya uongozi Kipimo cha Rais huanza ndani ya siku 100 tangu ale kiapo. Lakini imekuwa kinyume kwa Rais wa sasa amekuwa wa kawaida sana...
  6. M

    Mvuto wa Rais wetu ni faida kwa Taifa

    Rais wetu wa JMT ni raisi ambae amebahatika kuwa na mvuto ambao kwa hakika hatujawahi kuwa na Rais ambae anakubalika na makundi yote haswa baada kuanzishwa kwa vyama vingi hapa nchini . Mvuto wa Rais wetu kimsingi umechangiwa na vitu vingi kama vile ;Sura yake ,rangi ,na Sauti yake isoyonesha...
  7. Idugunde

    Kwanini wanasisasa wa upinzani wamepoteza mvuto katika jamii? Ni uthibitisho kuwa jamii haiwaamini tena?

    Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi. Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno. Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba...
  8. Brigadier Isaac

    Saikolojia: Ishara zinazoonesha wewe ni handsome/una mvuto wa kiume tofauti unavyodhani

    Habari wana JF. Leo katika pitapita zangu mtandaoni ni kakuta kisomo cha saikolojia kama kawaida nikaona nisiwe mchoyo acha nishare men wenzangu nao waonyeshe interest yao. kama ujuavyo men wengi tunakuwa ile ya kujichukulia poa yani mtu unajidharau unajiona kama vile hauvutii wanawake,hii...
  9. DR HAYA LAND

    21days of mourning with new troubles of economic shake "Wanyonge" we are survive as flies

    Hayo madini tulionayo , Tafuteni kodi huko Punguzeni mishahara ya Wabunge Sisi "Wanyonge tumewakosea nn mpaka mtufanyie hivi .?
  10. N

    Third kit ya Simba miongoni mwa jezi bora Afrika

    Mara baada ya week hii simba kuwaloga CAF na kuwahong kabisa hadi kuwekwa namba 17 kwa ubora barani Afrika wakiwa wamejikusanyia points 14 kwa mujibu wa CAF 5 year ranking sytem wamefanya umafia mwingine badaa ya kutumia uchawi wa paka mweusi na kuwekwa katika list ya teams zenye jezi...
  11. TheDreamer Thebeliever

    Kwanini sikukuu za Krismasi za miaka hii zimepoteza mvuto?

    Habari wadau, Sijuhi ni macho yangu tu au hata wengine mnaona kama ninavyoona mimi. Wale tuliozaliwa miaka ya 80' kushuka chini ni mashuhuda kwamba zamani ikishafika miezi ya mwisho wa wa November kwenda December kulikuwa na mishe mishe mingi mitaani hata station za radio zilikuwa zikigonga...
  12. H

    Clouds Media imepoteza mvuto

    Naona kabisa moja Kati ya redio iliokuwa na power Sana kwenye enteinment Ni hii.Ukiangalia miaka ya nyuma ukipita nyumba 7 basi Kati ya hizo 5 utakuta zinasikiliza clouds fm ila kwasasa hiv Hali ya imebadilika clouds imepata ushindani mkubwa kutoka Wasafi media na Efm ila hasa hasa Ni Wasafi...
  13. The Mongolian Savage

    Eti Uingereza binti mzuri kama huyu kwao eti ni mbaya hana mvuto kisa mnene

    Mzuka wanajamvi. Haka ka red head kazuri sana miaka 23 plus size model lakini Uingereza eti wanamuona ugly na hana mvuto. Sasa najiuliza WTF really is wrong with this people?!😠😠😠 Sasa huyu hapo chini ni mdogo wake kate mke wa prince William wanamsifu mrembo na ana umbo la kuvutia balaa yani...
  14. matunduizi

    Uchaguzi 2020 Natabiri Baada ya likizo ya Kampeni: Wagombea wakirudi mgombea wa CHADEMA atakosa mvuto

    Nimetafakari. Maneno mengi ya kusisimua yenye kuja Chumvi yalikuwa tayari yameshasemwa katika account ya kigogo Twitter. Ni katika likizo hii account hiyo imefutwa na mabeberu. Kesho Yale ikaibuka nyingine nayo sasa hivi siioni. Account hiyo Mpya ilikuwa inaongea kwa wingi kana kwamba huyo...
  15. K

    Makanjanja wengi kwenye vyombo vya habari sababu ya kupoteza mvuto....

    Nimejaribu kufuatilia vyombo vya habari karibia vyoote (vya Redio na TV) hasa kipindi hiki cha uchaguzi na kugundua kuwa asilimia kubwa ya vyombo vya habari vimepoteza weredi wa kutoa matangazo yenye tija na ubora kwa jamii tofauti na ilivyokuwa hapo siku za nyuma. Nimejaribu kufuatilia nyanja...
  16. G Sam

    Hotuba ya Rais Magufuli haikuwa hotuba ya Mgombea Urais, ilikuwa Hotuba ya Mgombea Uwaziri wa Miundombinu. Imekosa mvuto mpaka mwisho

    Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi. Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa...
  17. Mystery

    Uchaguzi 2020 Wakati kampeni zikianza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa na mvuto zaidi ya mgombea wa CCM John Magufuli

    Wakati kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu zinaanza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mapambano huo utakuwa mkali sana, baina ya mgombea wa Chadema, Tundu Lissu na mgombea wa CCM John Pombe Magufuli. Kwanza niainishe ni kwanini naona Tundu Lissu atampiku Magufuli kwenye kampeni hizo...
  18. Y

    Kwa sasa ngono imepungua mvuto

    Wakuu ni ukweli usiopingika kua ngono kwa sasa imepungua kidogo mvuto ajili ya urahisi wa upatikanaji wake, zamani ule ugum wa upatikanaji wake ulilifanya tendo la ngono kua la pekee sana na hata lilipofanyika mwili ulibaki na feedback ya tendo lile ndani ya siku2-3 tofauti na sasa ambapo mda...
  19. Nyani Ngabu

    Uchaguzi 2020 Bernard Membe hana kabisa mvuto!

    Huyu jamaa, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani. Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili. Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa. Maneno hayamtoki mdomoni kiulaini. Linganisha Lissu akiwa jukwaani na huyo Membe, ni usiku na mchana...
Back
Top Bottom