mvuto

  1. Infinite_Kiumeni

    Ukiogopa kuweka mipaka hutokuwa na mvuto kwa mwanamke unayemtaka

    Usipoweka mipaka mwanamke wako hatokuheshimu. Na mwanamke asipokuheshimu hawezi kukupenda. Wengi wapo kwenye mahusiano yasiyo na mapenzi. Sababu mwanaume hana mipaka. Ukiwa na mipaka mwanamke anakuona we una thamani zako. Sio wa kuendeshwa na mwanamke. Kama ukiweka mipaka na mwanamke wako...
  2. GENTAMYCINE

    Kwanini kuna Members hapa JamiiForums hawana Titles za 'Dkt' kama Wengine na bado wana Mvuto, Ushawishi na Kukubalika?

    Kwa mfano hawa Wafuatao wala hawajakurupuka kama Wengine ( fulani fulani ) kubadili IDs zao na kuanza na Titles za Dk ( Honorary Doctorate ) ila bado wana Mvuto, wanakubalika na wana Ushawishi mkubwa wa Kifikra na Kiuwasilishaji kila wawapo hapa JamiiForums....... 1. adriz 2. Bila bila 3. Daudi...
  3. Mr Dudumizi

    Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

    Habari zenu wana JF wenzangu. Hivi ni Bar au maeneo gani ya starehe yanaweza kufikia sifa ilizokuwa nazo Bar ya Macheni enzi zake. Hii Bar enzi za Prime Time yake iliweza kujibebea umaarufu hadi nje ya mipaka ya nchi yetu achilia mbali maeneo na mikoa mbali mbali ya Tanzania. Mwaka 2003...
  4. Pang Fung Mi

    Moyo wa mwanamke pacha wake kuku, wote tiba yao ni vitu

    Hello mambo JF! Muda mchache mambo ni mengi, usisumbuke asili ya tamaa ni vitu kama ilivyo kwa mwanamke na kuku, wote tamaa yao huvutwa na mvuto vitu kama afanyavyo kuku. Hata angeona hatari gani, uchu wake mrushie mchele ndio utajua nguvu ya mchele kwake kuku, vivyo vivyo hivyo mwanamke...
  5. M

    Baada ya chama cha ACT Wazalendo kuamua kuwa chawa wa Samia kimepoteza mvuto kwa wananchi

    Baada ya Ujio wa Samia Suluhu Hassan kuwa rais wa Tanzania, kiongozi mkuu wa ACT wazalendo ndugu Zitto Kabwe akautangazia umma kuwa tusimtegemee kuikosoa serikali ya Samia kama tulivyozoea kumuona akikosoa serikali zilizopita(Hasa serikali ya Magufuli). Na kweli ndugu Zitto ameacha kabisa...
  6. NetMaster

    2014 nilirogwa kwa kununua dawa ya mvuto mtaani, sikuwa najitambua, ponea yangu ni ndugu yangu kunijua nina tatizo na kunipeleka kwa mtaalam

    Nawaasa sana watu mnaonunua hizi dawa za mvuto wa mapenzi, kusafisha nyota, n.k. muwe makini sana, hizo dawa nyingine mnazonunua huwa mnajitoa sadaka kwa wanaoziuza, wanawaibia vitu vyenu ama kuwaharibia maksudi baraka mlizopewa pengine ili wanufaike na matatizo yenu, Ridhika na ulichopewa, Tia...
  7. mdukuzi

    Niliwahi kwenda kwa mganga kuomba dawa ya biashara haikusaidia, ikanipa mvuto wa wanawake. Niliwachakata mpaka nikafilisika

    Miaka ya nyuma nilikuwa na biashara yangu ikawa inapata ugumu wa ushindani. Mjinga mmoja akaniambia twende Handeni lwa babu ukaiboost. Nilichoamini sasa, hawa mawitch doctor nao wana areas of specialization kama MD walivyo, kunaambao wamebobea kwenye dawa za kufuta kesi, dawa za mapenzi...
  8. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA tulishapoteza mvuto na nguvu Mwanza na Kanda ya Ziwa. Kuzindua mikutano Kanda ya Mwanza haisaidii

    Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika. Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena. Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
  9. Sol de Mayo

    Kwa mujibu wa kura za BBC, kombe la dunia 2022 ndio kombe lenye mvuto zaidi

  10. ankol

    Twitter inapoteza mvuto

    Nawasalimia wandugu, Kuna hii social network inayojulikana kwa jina la twitter naona inapoteza mvuto kila leo, Miaka ya nyuma mtandao huu ulitumiwa kikamilifu na watu wakamilifu wakiwamo wana siasa utakuta akitweet ni kama shule hivi, na tweet yake inaweza kopiwa na kuwekwa kwingine mfano fb...
  11. Side Makini Entertainer

    Mvuto ni tofauti na urembo au utanashati

    Hiki ni kitu ambacho unaweza kukitengeneza kutokana na matendo, mavazi na maneno yako. Katika mapenzi, urembo au utanashati hauna nguvu kama mvuto. Mvuto ni namna ambavyo unamfanya mtu akuone bora, wathamani na wakipekee. Mvuto ndio unafanya umuone Neema wako ni bora kuliko wanawake wote...
  12. H

    Ijaribu hapa System inayoandika cover letter zenye mvuto

    Habarini. Nimewaletea simple system inayokuasaidia kuandika cover letter kwa kazi ambayo unataka kuomba. Unachotakiwa kufanya ni kupaste link ya kazi unayotaka kuapply, andika jina lako na uzoefu wako kisha itakusaidia kutengeza cover letter yenye mvuto kwa mwajiri. Unaweza ijaribu hapa kabla...
  13. mgt software

    Usilolijua kwa Hamornize ni ujenzi mpya wenye mvuto. Fagio lake mtalishukuru baadae

    Wana JF Watu wengi wamekalia lawama nyingi sana na kuhukumu kila kukicha nafasi ya kondeboy Harmonize katika mikakati ya kuangushwa na mpenzi wake na mtu mzima Kajala. Pengine ufagio mpya alioutumia unaonekana kuwakera wengi tu lakini kwa jicho jipya ni kwamba kisafisha nyumba na kuweka vitu...
  14. The Burning Spear

    John Mnyika ndo mwanasiasa mwenye mvuto kwa sasa

    Great thinkers. Correct me if I'm wrong. Kiufupi John Mnyika ndo mtu pekee anaweza kusimama na kushawishi jambo Kwa Sasa. Zitto Kabwe pumzi imeisha mapame baada ya kulamba asali. Ila sitashangaa kutokea kwa usaliti wowote ule maana wanasiasa wetu wanajulikana. Ukiwa famous unarudi CCM...
  15. S

    Mechi ya Simba na De Agosto haina mvuto kabisa, bora hata wanapocheza na Ihefu

    Hii ni mechi ya kimataifa ila kiuhalisia utadhani hii mechi haipo kwani mvuto ni zero kabisa. Yaani ni afadhali wanapocheza na IHEFU. Hata hivyo, tuendelee kujadili mechi ya wanaume ya Jumapili hii huko Sudan tuachane na hii ya wachumba/warembo itayochezwa kwa Mkapa.
  16. sky soldier

    Mzungu ana nyota kali ya mvuto? Kwanini watanzania wengi huwanyenyekea na hujipendekeza kwao?

    Si mara moja wala mara mbili nimekuwa nikiiona hii hali kwenye sehemu tofauti. Unakuta mzungu akienda ofisi ya serikali anashughulikiwa ki V.I.P unakuta swala lake linahughulikiwa kwaumakini wa hali ya juu sana. Akipita mtaani watu anaopishana nao wanampa sana salamu na hata wale wa mbali...
  17. Kiranja Mkuu

    Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

    Swalama ndugu zanguni? Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo. Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali...
  18. Bushmamy

    Maonyesho ya nane nane yanaendelea kupoteza mvuto mwaka hadi mwaka

    Maonyesho haya maalum kwa ajili ya wakulima na wafugaji ambayo hufanyika kila mwaka yanaendelea kupoteza mvuto wake tofauti na ile miaka ya uanzishwaji wake Yan 95,96 na kuendelea. Lakini kuanzia miaka hii ya 2000 katikati hali ni tofauti na miaka ya nyuma. Wamachinga kwenye maonyesho...
  19. L

    Nchi nyingine kuomba uanachama wa kundi la BRICS kunaonesha mvuto wa kundi hilo duniani

    Fadhili Mpunji Katika siku za hivi karibuni Argentina na Iran zimetangaza kuomba uanachama wa kundi la BRICS ambalo kwa sasa linajumuisha Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini. Tangu mwaka 2009 kundi hilo lilipoanzishwa limetoa mchango mkubwa kwa nchi wanachama katika kuhimiza...
  20. L

    Wachina watembelea makumbusho ya visukuku ya Chengjiang na kujionea muujiza na mvuto wa viumbe wa kale

    Tarehe 28 Juni huko Yuxi mkoani Yunnan China watu waliingia katika Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang ili kuchunguza asili ya maisha na kujionea mwujiza na mvuto wa viumbe wa kale. Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang linahifadhi zaidi...
Back
Top Bottom