Nilikuwa najiuliza sana wanaposema mvuto wa Mama Samia umepunguwa nawaelewa vizuri sana wiki hii.
Wiki hii nimebahatika kuona video nne. Mama Samia akiwa Hanang akiongea kwenye jukwaa, video ya Mama Samia aliongea waathirika, Mbowe akiongea kwenye msiba wa Askofu na Lissu akiongea kwenye msiba...
Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini.
Zai na Haji wanapendezana sana sana tena sana yani, na ili couple yao izidi kunoga wanatakiwa waishi hivi hivi bila ndoa.
Haji...
Habarini za Muda Huu
Nimeona Tangazo la Kutafuta Hawa Bongo Star Search Nikabaki Nashangaa wanatafuta Comedian au Nini?
Yaani Watu wanaoonyeshwa Kwenye Tangazo ni Wachekeshaji na Watu wanashindwa Kuimba Na Waliovaa Hovyo Hovyo Tu
Sasa Badala ya Kuwaonyesha Watu wanaoimba Vizuri ili Tuone...
Ama kweli wazungu wana dharau sana.
Huku wakiita ni Umoja wa Mabunge ya Dunia lakini wagombea woote ni wafrica tu tena kutoka kwenye Nchi zisizo na Hadhi yoyote kwenye nyanja yoyote kidunia.
Kama ningekua Dr Tulia Ackson nisingegombea.
Kitu chenye heshima ambacho Mzungu hajaona hata kuchukua...
Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake.
Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa
Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo...
Toka Ellon Musk abadilishe mtandao wa twitter na kuuita X umepoteza mvuto kabisa.
Hapo mwanzo niliipenda sana twitter ila sasa acha niachane nayo. Muda mwingi notifications za twitter zinakuja nakuta icons 'X' zimekuwa nyingi kwenye notifications bar.
Mwanzo tulikuwa tunakuta icon ya...
Miaka ya kuanzia 2006 CHADEMA ilikuwa na mvuto sana nchini na CCM ilikuwa inawaogopa sana. Lakini ghafla baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ikajifikia kifo cha mende; je walikosea wapi?
Wahenga wanasema tembea ujionee. Ikiwa hii ni mara ya pili kutembelea mkoa wa Xinjiang Uygur, nimebaini kwamba hata utembee mara ngapi katika sehemu mbalimbali za mkoa huu, basi hakika hamu haitakwisha na kizuri zaidi ni kwamba utagundua mambo mengine mengi mapya. Nasema hivi kwasababu huu ni...
Baada ya Rostam kulinunua Raia Mwema na kumkabidhi SAID Kubenea limekosa mvuto. Rostam anapenda sana kununua magazeti critical.
Gazeti limekosa mvuto; kila siku kuwashambulia CHADEMA na Magufuli; Tunajua kubenea anachuki na chadema baada ya kukimbilia ACT Wazalendo.
Najiulizi huyu mwamba ana trend Africa nzima na nje ya Africa anapagawisha sana watu, mimi nimejaribu kusikiliza nyimbo zake naona hata hazina mvuto kabisa lakini amepanda kuwa ndiye Giant kuliko wote.
Nikiangalia nyimbo za Bugati - let me see ololo , who is ur guy na ile ya I wanna see with...
Sijui ni Mimi tu au na wengine ila kwangu naiona dira ya dunia TV inayo oneshwa na saa tatu na kupitia star TV tangu ihamie Nairobi haivutii kabisa
Sauti mbovu, mtangazaji mmoja kila siku, picha za kiwango Cha EATV au ITV vile hakuna kitu Cha maana habaari za juzi za BBC English ndio...
Juni 20, wanafunzi wa shule za upili wa Tanzania walioshiriki kwenye kambi ya majira ya joto ya Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) walijionea kwa undani mvuto wa urithi wa utamaduni usioshikika wa China. Shughuli hiyo ya kiutamaduni iliyoandaliwa na Chuo cha Utamaduni wa...
Lipo tatizo ambalo linapaswa kufanyiwa utafiti. Tunaweza tukadhani tunaua vijana kisiasa kumbe tunafifisha viongozi wa kesho wa Tanzania.
Nikimwangalia Nassari akiwa Chadema na leo ndani ya CCM kuna utofauti mkubwa sana. Alipopewa na CCM hadi wakamnunua ila ameshindwa kabisa kukubaliana na...
Wakuu salama kama kichwa kinaojieleza hapo juu tunatoa huduma ya kusafisha masink yalyofubaa kwa wakazi wa jiji la dar es salaam tunakuja popote ulipo ndani ya jiji hili.
Gharama ni 10k kwa vyoo na 6k kwa masink ya kunawia.
Kama una uhitaji njoo PM au piga namba 0783672221.
Karibuni
Tundu Antipas Lissu wa 2015 -2020 sio huyu wa Leo 2023. Lissu wa Sasa ameporomoka hata hoja anazojenga hazina nguvu tena.
Labda ni kwa sababu mara nyingi amekuwa akirudia hoja zile zile!! Sijajua wazungu wamemfanyaje Huko alikotoka!!
Ajitafute upya huyu sio Lissu tunayemjua
Wakuu,
Nafatilia tuzo za Muziki Tz ,aisee kinachoendelea hazina Radha kabisa.
Zinarushwa kupitia king'amuzi Cha Azam, sinema zetuaaa
#nashauri,warejee nyuma zilivyokuwa.
Hello JF family,
Tusilazimishane, makalio si chochote kwa mwanamke, makalio sio innovation wala creativity, na sio unique attribute kwa mwanamke. Upekee wa mwanamke ama wanawake ni chuchu embe na sura nzuri. Tuwe wakweli, mwanamke mwenye chuchu bomba na sura nzuri ana mvuto wote, hata mashetani...
Wanaume wenye tabia/ aina hii hupata shida kwenye mapenzi. Wanaishia kuona wanawake ni wagumu/ hawaeleweki. Wanatumia muda mwingi kutaka kumridhisha mwanamke. Au atatumia mali kuficha udhaifu wake.
Wanaamini akipata kitu fulani basi hatopata shida tena na wanawake. Anaweza pata mahusiano lakini...
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa vipindi vya Radio, utagundua kuwa kuanzia saa 12 asubuhi kipindi cha Good Morning kutoka Wasafi FM kinasikilizwa sana mitaani, kwenye madaladala, magari binafsi kuliko ilivyo Power Breakfast ya Clouds FM. Nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini kwa Clouds kupoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.