Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.
Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la...
Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi.
Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake.
Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa?
Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
Hii si kesi ya maana ni ya kubumba. Kama tungelikuwa na mahakama huru, wangeliachiwa siku ya kwanza ya mention!
Tatizo ni majaji kama wale watatu wa Mbeya!
Ndio mwendo wa dictators wa Afrika.
Mama, shikamoo. Naomba nikuulize swali, ni kweli wakili msomi Boniface Mwabukusi ni mhaini? Maandiko yanakata kumshitaki mtu yeyote kwa uwongo.
Kama Mwabukusi alitaka kukuua ama kukupindua au kukufanyia lolote baya kuathiri utawala wako, basi anastahili kuadhibiwa adhabu kali.
Mama, tenda...
Ndugu Watanzania,
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali.
Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
Mwabukusi anasema kuwa mahakama imejielekeza vibaya katika hukumu yake na kwa maana hiyo wanaenda kukata rufaa.
Mwabukusi anasema professionally anaipokea hukumu, lakini legally wateja wake hawajaridhika na hukumu hiyo na ndiyo wanaenda kutafuta haki zaidi.
Hoja zake ziko hapa:
Tunakumbushana tu leo ndio tarehe 10/08/2023
---- UPDATE----
Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na falme ya Dubai.
Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mbeya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.