Hello dear colleagues JF members.
I love you all.
I hope you all are doing well.
Today I feel like sharing with you something very special.
This is about the meaning of the name Busokelo; one of councils in Mbeya region.
Busokelo literally means the place where the sun rises.
And of...
Mwabukusi amesema mwizi ni mwizi hakuna lugha ya kiungana ya kumuita mwizi, akisema kama mtu anataka heshima ya kinafiki atoke kwenye ofisi za umma akakae nyumbani kwake ambako atasifiwa wakati wote.
Akaongeza kuwa kama ukikaa kwenye ofisi za umma hauna faragha unayoitaka, ukiiba au ukiwa...
Mwabukusi ameyasema hayo katika mkutano na waandishi unaendelea wakati huu tar 5/9/2023 akiwa pamoja na Dr. Slaa, akisema wao watasimamia kwenye sheria na wanachotaka ni IGA kuondolewa.
Mwabukusi amesema wameonewa sababu maandamano ni haki ya kikatiba, akiongeza unapokuwa na cheo usiongozwe na...
Fuatilia yanayojiri kwenye mkutano wa waandishi wa habari unaoendelea muda huu ambapo Dkt. Slaa, Mwabukusi na Mbatia wanazungumza.
https://www.youtube.com/live/CpVkVel-IRM?si=kRb-q_tl6RKvlnne
===
Wakili Mwabukusi anazungumza
Juzi walitaka kubadilisha makubaliano ya Mkataba huu kati ya Taifa...
Nawasalimu kwa jina la Bwana.
Leo nimekumbuka kisa kilichoandikwa kwenye Biblia, 1 Samweli 17.
Sura hii kwa ufupi inahusu kisa cha kijana mdogo Daudi na Goliathi. Daudi alikuwa ni mchunga kondoo ambaye hakuwa na uzoefu katika masuala ya vita ilhali Goliathi alikuwa ni mpiganaji mwenye uzoefu...
Masaa kadhaa yaliyopita baada ya Mdude kutoa taarifa za kufuatiliwa akiwa aa Wakili Mwabukusi Mkoani Arusha, kwa takribani lisaa sasa wote wawili hawapatikani kwenye simu zao na haijulikani walipo.
Tumefanya Mawasiliano na Watu waliokuwa nao Mahakamani kucheki kituo vya Polisi Arusha kama wapo.
Sote tunatambua ujasiri wako. Unaitetea Taifa kwa nguvu zako zote tunakushukuru sana LAKINI acha kusema sana na nenda pole pole sote tumekuelewa unasimamia rasilmali ya nchi hii.
Alianza Ben haijulikani alipotea au alipotezwa akaibuka Mdude.
Mdude akadhibitiwa kwa tahadhari kubwa sana Lakini akashindikana na amekuwa Sugu zaidi.
Ghafla kaibuka Mwabukusi katika Mfumo uleule wa kutoogopa wala kuendekeza njaa kama tumbili 😂
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 wataibuka akina...
Mwabukusi Boniface Mwaka 2020 aligombea ubunge Mbeya Mjini kupitia NCCR -Mageuzi na kama mwenzake wa CHADEMA Joseph Mbilinyi (Sugu) alidhulumiwa nafasi yake.
Kuna watu kama Tulia Ackson Mbunge wa sasa wa Mbeya Mjini, wanaoona kwamba kete hii ya Mwabukusi ya utetezi dhidi ya Ubinafishaji wa...
Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria.
---
Mawakili wa Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua (Habeas Corpus) kuwashtaki AG, IGP...
Wakili wa Wakili Boniface Mwabukusi na Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mpaluka Nyagali maarufu kwa jina la Mdude Nyagali wanao shikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za Uhaini, amemuomba Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala la watuhumiwa hao...
Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili.
Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo .
---
Zaidi ya mawakili 100 kutoka...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema hayo kupitia chapisho aliloandika kupitia Mtandao wa X (Twitter).
Nape amesema
"Moja ya kauli za hivi majuzi zaidi kutoka kwa shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu limeamua kupotosha ukweli kwa nia mbaya kwa kudai...
Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai.
Nape ameandika kupitia Twitter
--
MAJIBU YA TANZANIA KUHUSU TAARIFA ZA...
Awali napenda kusema mimi si chawa wala mshabiki wa chawa wa DP world na si mfuasi wa Dr Slaa au Mwabukusi bali natoa maoni yangu kama nilivyochambua masuala yalojitokeza hususan suala la kukamatwa Dr Slaa na Mwabukusi na wenzao na kisha kubadilishiwa makosa kutoka kuwa ya uchochezi hadi kuwa ya...
Kichwa cha habari kinajieleza. Wakati Rais Samia akipokea ripoti ya Tume ya Haki Jinai aliagiza kuwa watu wote wanaokosoa kwa hoja wajumuishwe kwenye tume ya mipango. Badala ya kutekeleza agizo la rais, polisi wamewakamata watanzania hawa na kuwafungulia mashitaka ya uhaini.
Tume ya Haki za...
Wakati Jeshi la Polisi likiendelea kuwashilia wanasiasa Dk Willibrod Slaa na Mpaluka Nyangali maarufu ‘Mdude’ na mwanasheria Boniface Mwabukusi, mawakili wao wamedai kuwa wateja wao wamehojiwa kwa tuhuma za uhaini.
Kufuatia madai hayo, baadhi ya wanasheria nchini wamezungumzia hatua hiyo...
Kwa pamoja Jukwa la Katiba Tanzania, Tume ya haki za Binadamu, Tanganyika Law society na Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania wametoa tamkonna kuitaka mamlaka za serikali kuwaachia huru watuhumiwa wa Uhaini Dr Wilbroad Peter Slaa, Wakili Mwabukusi na Mwanaharakati Mdude Nyangali...
Kufuatia taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu kuwakamata Wakili Boniface Mwabukusi pamoja na wanaharakati Dk Wilbroad Slaa na Mpaluka Nyagali Mdude, baadhi ya watetezi wa haki za binadamu nchini wameungana kwa pamoja wakilaani kitendo hicho huku wakipinga kosa la uhaini wanalotuhumiwa nalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.