mwabukusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    Je Mwabukusi atawasaidia Watanganyika dhidi ya ukatili na uovu wa jeshi la polisi iwapo atashinda urais wa Tls?

    Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwa wananchi. Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki . Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji...
  2. K

    Hongera sana wakili msomi Mwabukusi

    Nimefuatilia sana mdahalo wa wagombea wa Urais wa Tanganyika Law Society (TLS). Kati ya wagombea wa kiti hicho ninachukua nafasi hii kumpongeza Wakili msomi Mwabukusi kutokana na maswali aliyoulizwa kwa kujibu maswali yote kwa ufasaha. Naona upepo umebadilika licha ya kupigwa vita Wakili...
  3. Sir John Roberts

    Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge

    Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria. Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge. Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba...
  4. Mkalukungone mwamba

    Mwabukusi: TLS ni Kiungo wa kuifanya Nchi yetu kushamiri Kiuchumi, Kisiasa na Demokrasia

    Ameyasema hayo leo Julai 26/7/2024 baada ya kushinda kesi yake Baada Mahakama kutengua maamuzi ya Kamati ya Rufani ya TLS, na kumrejesha Wakili Mwabukusi kugombea Urais wa TLS Hapo awali, Wakili Mwabukusi aliondolewa kwenye mchakato huo ambapo aliamua kufungua shauri la kupinga maamuzi ya...
  5. R

    TLS inaweza kukata rufaa Mahakama ya Rufaa dhidi ya ushindi wa Mwambukusi kabla ya uchaguzi? Je, uchaguzi utasimamishwa kusubiri rufaa au utaendelea?

    Kwa huku iliyotolewa leo tarehe 26/07/2024 je TLS na Serikali wanaweza kukata Rufaa? Endapo watakata rufaa uchaguzi utaendelea au utasogezwa mbele kusubiri maamuzi? Hongera Mwambukusi kura yangu unayo baada ya kusikia matamanio yako ya utekelezaji s. 4. Nimefurahi pia kwamba umekubali kuwa...
  6. Black Butterfly

    Mahakama yaridhia Wakili Mwabukusi afungue kesi ya kupinga kuenguliwa kuwania Urais TLS

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemruhusu wakili Boniface Mwabukusi kufungua shauri la marejeo ya uamuzi uliomwengua kwenye orodha ya wagombea urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Hata hivyo, imekataa ombi la kusimamisha mchakato wa uchaguzi huo ambao sasa utaendelea kama...
  7. Mdude_Nyagali

    Mawakili wa serikali waomba wawe sehemu ya wajibu maombi katika kesi ya Mwabukusi dhidi ya TLS

    Tuliwaambia tangu mwanzo kwamba kuenguliwa kwa wakili Boniface Mwabukusi kulikuwa na mkono wa serikali kwa sababu kuna majizi huko serikalini ambayo hayataki Mwabukusi awe Rais wa TLS. Leo asubuhi mawakili wa serikali wanaomba ku-join kwenye kesi ya kuenguliwa kwa Mwabukusi. Kwenye kesi hiyo...
  8. Influenza

    Wakili Kibatala: Nitasusia Uchaguzi was TLS kama Mwabukusi asiporudishwa kwenye orodha ya Wagombea

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa Wakili Boniface Mwambukusi hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea Soma; Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi...
  9. Cute Wife

    Mwabukusi: Kamati ya Nidhamu ilinihukumu sababu ya kukosoa viongozi wa juu wa serikali, hakuna aliye juu ya Sheria na Katiba

    Mwabukusi anasema aliadhibiwa kwa kwenda kinyume na maadili sababu ya kuwakosoa viongozi wa juu kwenye mkataba wa DP World, kuwa mkataba unaoiba rasilimali za tanganyika kiyume cha sheria. Mwabukusi ameyasema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari baada ya kamati kufafanya maamuzi ya...
  10. Cute Wife

    Mwabukusi afungua kesi kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya TLS kumuengua kugombea Urais wa TLS

    Wakili Boniface Mwabukusi amefungua kesi kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya Chama cha Tanganyika Law Society (TLS) kumuengua kugombea Urais wa TLS. Pia soma: Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS Ikumbukwe Mwabukusi alifikishwa kwenye...
  11. Cute Wife

    Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS

    Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024 Wanadai hana sifa ya kugombea urais wa chama cha mawakili tanganyika. Mashauriano yanaendelea baada ya maamuzi husika. PIA SOMA -...
  12. Erythrocyte

    Je, Boniface Mwabukusi atafanikiwa kuirejesha TLS kwenye ubora wake?

    Nakiri wazi kabisa kwamba baada ya Uongozi wa Fatuma Karume na Tundu Lissu kumalizika , TLS iliuawa, Edward Hosea na Huyu Sungusia ni kama walikuwa Mamluki waliokuja kukiua hicho chama cha Wanasheria, sijui kwanini waliamua kukiua. Bali sasa Ujio wa Boniface Mwabukusi kwenye uongozi wa Chama...
  13. B

    Wakili Mwabukusi apewa onyo na kamati ya Mawakili ya Maadili 'Hatutakiwi Kuogopa'

    Wakili Msomi Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi leo amepewa,adhabu ya onyo iliyotolewa na kamati ya maadili na nidhamu https://m.youtube.com/watch?v=gQKBmG0mSns Wakili Boniface Mwabukusi amebainisha hayo leo tarehe 17 Mei 2024, kimsingi kamati wamekubaliana ilikuwa ni professional...
  14. Erythrocyte

    Mwabukusi na Godbless Lema Watikisa Moshi Mjini

    Mtikisiko huo kabambe umetokea kwenye Mkutano wa hadhara uliovurumishwa mjini humo Ajenda kuu ya mikutano ya sasa ni kuwaamsha Wananchi kudai haki zao ikiwemo Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa kushiriki Wiki ya Maandamano Huku wananchi wengine wakiendelea kusisitiziwa kwamba SHETANI...
  15. Msanii

    Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

    Nchi ya one man show. Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi. Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria na Utawala Bora. Tafakari Chukua hatua...
  16. D

    Uhuru wa kweli hautaletwa na wasakatonge utaletwa na watu waliotoa nafsi zao kama Mdude na Mwabukusi

    Uhuru wa kweli utaletwa na watu ambao wako tayari kupoteza kilaKitu isipokuwa uhuru. Mwenyekiti wa chadema na muunga mkono kuhusu maandamano lakini nimekumbuka jinsi alivyo kejelinharakati za mdude na mwabukusi kuhusu kujiunga na maandamano yao. Kwa kuwa uchaguzi ni maslahi ya moja kwa moja...
  17. Jaji Mfawidhi

    Mwabukusi ni Pandikizi la CCM? Ndiye mvurugaji mkuu wa Demokrasia!

    https://www.youtube.com/watch?v=rm8wI2pHQ4s Nimemsikiliza Boniphace Mwabukusi, nimegundua yafuatayo kutoka kwake na namna akivyo 1. Ni Clip ndefu kiasi. 2. Nimeisikiliza yote 3. Alianza kuongea vizuri sana 4. Alitulia na kutoa hoja zenye nguvu. Anaamini Muda unatosha kuwa na katiba mpya...
  18. Sildenafil Citrate

    Pre GE2025 Wakili Mwabukusi: Mwaka 2020 nilikamata masanduku manne ya kura bandia za Rais

    Fuatilia yanayojiri kwenye mkutano wa waandishi wa Habari wa Dkt. Slaa, Mdude na Wakili Mwabukusi. https://www.youtube.com/watch?v=rm8wI2pHQ4s Mabadiliko ya Sheria yanayotaka kufanyika yanapasaswa kuendana na mabadiliko ya katiba. Huwezi kujenga. Tunashauri kwamba katiba ibadilishwe, tazama...
  19. Mhaya

    MWABUKUSI atoa neno juu ya Wajumbe Chipukizi CCM "Wametutawala wao wanataka na watoto wao watutawale"

    Afla za uchaguzi wa tisa wa Chipukizi Taifa zilizofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma, zimeibua maswali mengi baada ya watoto walioshinda vinyanganyiro hivyo kuwa watoto wa viongozi tu kwa asilimia kubwa, ikilinganishwa na idadi ya watoto walioko Tanzania. Katika vinyanganyiro...
  20. B

    Mwabukusi: Kama Kiongozi wa Umma hataki mambo yake yawe wazi kwa Umma, aachie Ofisi

    Nchi zetu za Kiafrika kila kitu ni changamoto sana. Viongozi wetu wanatamani kuwa viongozi wa Umma, lakini hawataki mambo yao yoyote yajulikane na Umma, Ajabu kwa kweli. Ndiyo maana Wakili Msomi Boniface Mwabukusi aliwahi kusema kwamba; 'Kama kiongozi wa Umma hataki mambo yake yajulikane na...
Back
Top Bottom