Wakuu,
Siku ya leo, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) Boniface Mwabukusi ameweka chapisho hili katika mtandao wa X kama sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara
"Chama cha siasa cha upinzani kisichoyatambua majira na nyakati, na kuendelea...
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.
Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili...
Huyu mwamba jasiri alikuja kwa kasi ya moto wa nyika ila kapotea ghafula.
Hatumsikii tena akitoa matamko juu ya ukiukwaji wa haki nchini. Mfano utekaji na kuenguliwa wagombea wa upinzani ktk mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Yupo wapiii?
Kwako Mwabukusi, TLS na wadau wote wanaoguswa na ukiukwaji wa haki za binadamu na udhalilishaji wa utu (dignity) wa mwanadamu nchini.
Hali za mahabusu na magereza hapa nchini ni ambazo hazifai kwa binadamu kuwekwa. Ni jambo ambalo kila mtu anajua kwamba mfumo wa mahabusu na magereza zetu ni ule...
Ukipiga mchungaji kondoo wote watatawanyika, ukiwa nje unaona msitu lakini ukingia ndani ya msitu unaanza kuona miti.
Umoja wa kupigania Tanganyika sasa kwisha habari yake, sioni tena Mwabukusi toka amekuwa raisi wa CHAMA cha wanasheria TLS, Sijasikia akitoa matamko makali tena. Prof.kabudi...
Akihojiwa na mtandao mmoja wa kijamii Haji Manara amesema alimsikia mwanasheria mmoja akilalamika kwamba watanzania ukiwaambia waandamane kupigania haki zao huwapati ila ukiwaambia washabikie Simba na Yanga hapo utawapata.
Kwa maoni yake bwana Manara ni kwamba kwa Tanzania mpira ni kila kitu...
Kauli ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, inayoeleza umuhimu wa ushirikiano na serikali katika utoaji wa huduma za msaada wa kisheria, inathibitisha nafasi kubwa ya serikali katika kuhakikisha haki inafikiwa na raia wote.
Serikali, chini ya uongozi wa Rais...
Akiongea kwa uchungu sana wakili mwabukusi amesema inakatusha tamaa kuona vijana wa Tanzania wana uwezo mkubwa wa kustad Sheria zoote za fifa zinazoratibu na kuongoza mpira wa miguu, wakati huohuo wakiwa hawajui chochote kuhusu katiba ya nchi yao.
My take
Kimsingi kunyimwa elimu ni uchawi...
Habari wanajukwaa,
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Raisi wa TLS na Mwanasheria mbobezi kwa jina maarufu la
Adv. Boniface Mwabukusi.
Kihistoria Mwambukusi inasemekana aliwahi kuwa mwanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi lakini kwa kauli yake alikiri kuwa alijivua uanachama NCCR baada...
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi anatajwa kuwepo kwenye timu ya Wanasheria kwenye kesi itakayofunguliwa London dhidi ya Kampuni ya Tigo.
Soma Pia:
Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
Tundu Lissu kuiburuza Tigo...
Nawapa kongole makada hawa wa Chadema kwa kutopenda siasa za vurugu na kutishia kumwaga damu. Sijawaona kabisa katika vurugu za juzi.
Ni yule mzee mwenye tamaa na uroho wa madaraka, cha ajabu hakuwa na viongozi wa chama, alikuwa na familia yake, yule binti Nicole, kama chama kina uongozi, kwa...
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilikuwa sahihi kutumia njia ya maandamano kufikisha ujumbe pamoja na kushinikiza serikali pamoja na jeshi la polisi kutoa majibu na kuwajibika juu ya kupotea na...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi halipaswi kuingilia michakato ya Kidemokrasia isipokuwa tu kwa agizo la Msajili wa Vyama vya Siasa
Mwabukusi apigwa na kitu kizito!
Mwendo ule ule! kama wa Dyansobera!
Mwenye kujua kimombo asome mwenyewe
Kesi imetupiliwa mbali kwa vile eneo bishaniwe halikuwekwa bayana kuweza kulitambua ukubwa wake
MY POINT IS: Bila kificho, High court ni kituko , takataka tupu! NI SERVANT OF THE EXECUTIVE...
Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi amesema Bunge lina wajibu wa kuruhusu mjadala wa suala la utekaji kujadiliwa ndani ya Bunge bila kujali kuna mambo ya kiufundi ambayo yanakwamisha hilo, amezungumza hayo wakati anahojiwa na Kituo cha Crown FM.
Najua serikali inajua kwamba TLS wanaenda kufanya kazi ya uchochezi Ngorongoro, hivyo haitawaruhusu. Nshala ni mwanachadema kindakindaki
Dk. Nshala na Lissu walikuwa viongozi wa LEAT-Lawyers Environmental Action Team. Baadae walikula hela za taasisi kisha wakaiua. Taasisi hii ilitelekeza mali...
https://youtu.be/m9WGFYVzCvU
Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi.
Mwabukusi anazunguzia suala la wamasai kuondolewa kwenye eneo lao kwa nguvu, na serikali imeondoa huduma zote za msingi kwao...
Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Boniface Mwabukusi, amesema Waziri hana Mamlaka ya Kufuta Vijiji vya Ngorongoro
Ameyasema hayo leo 20/08/2024 Mkoani Dar Es Salaam alipokuwa anaongea na Waandishi wa habari. Amesema kama TLS wanaaangalia cha kufanya. "Wale wananchi wa Ngorongoro hawapaswi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.