Kutokana na IQ yake kubwa, ujasiri, uzalendo, misimamo, elimu yake, asiogope kugombania nafasi hiyo kubwa kabisa nchini. anafaa. Wananchi tunamhitaji mtu wa hivyo.
naomba kuwasilisha
1.0 Kuanzia Mahakama za chini hadi Mahakama Kuu suala la Hakimu au Jaji kuharibu kesi kwa manufaa yake ni la kawaida tu. HAWAJALI.
Wanajificha kwenye mstari wa mwisho wa hukumu zao unaosema "mlalamikaji/ mlalamikiwa ana haki ya kukata rufaa kwenye Mahakama ya juu"
Mfumo wa kutengeneza rufaa...
Wanabodi,
Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani!
https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun
Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi .
Swali nI is...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la leo
Hii ni makala yangu ya pongezi kwa Wakili Mwabukusi kuchaguliwa kuwa rais wa TLS, na kumpa ushauri wa bure, aibadili TLS kutoka kule juu ilipo, aishushe chini ground zero Ihudumie wananchi wa kawaida wanaohitaji huduma za kisheria, badala...
CHADEMA wapo kuvunja vunja hoja, umoja na Malengo ya upinzani.
Wao ni kuponda, kukebei, na kutukana kila anayeshindwa kufanya jambo kama wao wanavyotaka au aliyekosea.
1. CHADEMA wao Wote walifurushwa bungeni kwa nguvu ya dola je nani aliwabeza hahaha.
2. Wabunge wenu Akina mdee mpaka leo...
JF ni maktaba ya Taifa, ni vizuri tukawajuwa maadui wa Taifa letu waliopo TLS walioshiriki kukata jina la Mwabukusi kugombea Urais wa TLS kabla Mwabukusi kutumia mahakama kupata haki yake ili watambulike kama ni Enemy of State.
Watajwe hapa kamati nzima kwa majina ili waone aibu yao na...
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.
Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.
Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania...
gari
kujua alipo paul makonda
maana
makonda
mwabukusi
ngorongoro
serikali
tls
vyombo vya habari
vyombo vya habari vya uchunguzi
wamasai
wamasai ngorongoro
wapi
yuko
yuko wapi
Huyu jamaa anapendwa Sana na namuona mbali Sana katika nchi ya Tanzania. Kafanikiwa kuondoa habari za simba na yanga nchini yeye ndo amekuwa habari kuu
Namuona Bungeni
Namuona Ikulu
Namuona akiongoza mageuzi.
Mwabukusi Ana diversity intelligence - Ana akili kubwa Sana ya kuvishinda vikwazo...
Boniface Kajunjumile Asinyile Mwabukusi akianzisha chama chake nje ya vyama vilivyopo vinavyotumia "surname" kwa ajili ya kusurvive akitanguliza maslahi ya Tanganyika basi asubuhi sana Watanganyika watampigia kura ya urais ili kulinda maslahi na rasilimali za Tanganyika,rejea mapambano ya Wakili...
4. Objects
The objects for which the Society is established are:
to maintain and improve the standards of conduct and learning of the legal profession in Tanzania;
to facilitate the acquisition of legal knowledge by members of the legal profession and others;
to assist the Government and the...
Wakili Mwabukusi aapishwa rasmi kuwa Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika.
Wakili Boniface Mwabukusi ataendesha chama cha Wanasheria Tanganyika kwa Miaka mitatu.
Uapisho huo umefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
Wakili Boniface Mwabukusi alitangazwa kuwa Mshindi wa...
Hakika furaha haijifichi. Baada ya kumfanyia endorsement Wakili Mwabukusi kuwa Rais wa TLS na hatimaye kushinda uchaguzi huo, furaha ya Mwanasheria nguli nchini na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu haikufichika.
Hapa anasakata lumba kama kawaida. Mcheki!
Pia soma:Boniface...
Habari za Wakati huu?
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na mapambano yenu ya kimaisha.
Kwanza nitumie Fursa hii kumpongeza Wakili Msomi Boniface Mwabukusi kwa kufanikiwa kushika kiti cha Urais wa TLS.Nafahamu kwamba kuna ambao wanahofia na kutamani angkuwepo mtu wa kaliba tofauti...
Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha
Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.
Ni...
HONGERA MWABUKUSI
1. Mshindani wake alikuwa mtu wa CCM. Nilitegemea kuwa kwa MAOVU ya CCM kwa watanganyika, margin ya kura ingelikuwa kubwa sana "kupindukia" kuionesha CCM kuwa haipendwi. Margin hii hainipi matumaini kuwa CCM itachapwa kiboko kikali chaguzi zijazo.
UPINZANI NADHANI KUNA SOMO...
Ndugu Rais wa TLS sisi watanzania wapenda haki tunaomba uanze na haya:
1. Shambulio la Tundu Lissu
2. Kupotea kwa Ben Rabiu Saa nanena Azory Gwanda.
Ishinikizeni serikali juu ya masaibu yaliyowakuta hawa watu wakumbushe serikali ina jukumu la kulinda raia wake na si vinginevyo. Haya mambo...
Tukipoteza woga wetu wanapoteza nguvu zao,
Ushindi wa wakili Mwabukusi umeshangiliwa na watu wengi, hii ni ishara kuwa Wanaoisapot CCM ni wale wanaonufaika nayo tu ambao kimsingi ni wachache.
Hivyo tukiungana mwaka 2025 , watanzania wote tukaiadhibu CCM kwenye boksi la kura, hawataamini...
Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kinarajia kufanya uchaguzi wake mkuu hivi karibuni Jijini Dodoma kumchagua rais wa kuongoza chama hicho kwa kipindi cha mwaka mmoja
Wagombea halaii waliopitishwa kupigiwa kura kwenye nafsi hiyo ni sita kati ya hao Wakili machachari Boniface Mwambukusi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.