"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Wakuu mko salama?
Kwa wanaojua ebu wanieleweshe,nimewafanyia maombi ya vyuo ndugu zangu wako huko jkt lkn mpaka sasa sijaona chuo kilicho publish selection.
Naomba kwa anaejua selection za vyuo ni lini zinatoka anijulishe maana kwenye websites za vyuo kama udsm,udom,mzumbe,mucobs na hata saut...
Namtafuta J.J. Mnyika wa wakati huo, sio huyu ambaye yuko cloned. Mnyika yule aliyekuwa anajenga hoja nzito, Mnyika yule akiwa hana madaraka ya chama, hamalizi muda hajatoa "jiwe", Mnyika yule mtafiti, msomi wa Maua Seminary aliyepata Division One ya "A" masomo yote.
Nini kimemfanya awe kimya...
Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake leo Agosti 21, 2024 zimeshiriki katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival) yanayoendelea kwenye Kijiji cha Kizimkazi, Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Kisiwani Zanzibar.
Katika tamasha hilo la Kizimkazi Wizara na taasisi zinatoa elimu ya...
Complex na Vivian walikuwa wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Kifo chao kilikuwa na athari kubwa katika tasnia ya muziki nchini. Walifariki kwa ajali ya gari tarehe 21 Agosti 2005, wakati wakiwa safarini kuelekea kwenye shoo. Ajali hiyo ilileta huzuni kubwa kwa mashabiki...
Salaam wadau!
Nimefanikiwa kukusanya mbegu za maharagwe makubwa yanayostawi mwaka mzima na huwa yanaota kwa kuzunguka kwenye mti (kama ilivyo kwa mazao ya passion) na hutoa maharagwe mengi kila mche wastani wa kilo mbili kwa mvuno mmoja.
Naomba mwenye kujua jina lake anihabarishe kwani...
Kuna wanawake makatili sana duniani, mwenzenu naandika uzi huu kwa uchungu sana, leo ilikuwa tarehe ambayo mwanangu angetimiza umri wa mwaka mmoja.
Kabla ya kuendelea mbele naomba niwajulishe kuwa rambirambi zote napokea PM.
Iko hivi, nilimtumia demu nauli ya kuja geto na akala nauli. Laiti...
Utangulizi kama alivyoweka kwenye ukurasa wake wa Facebook
"Unaweza kupigwa kwa niaba lakini huwezi kupiga kwa niaba. Huwezi kuua kwa niaba lakini unaweza kuuawa kwa niaba." Askofu Bagonza
Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo.
Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima
Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto...
Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila mtu anayeishi Marekani.
Deni la taifa la Marekani linakua kwa kasi zaidi kuliko uchumi.
Kuna sababu...
NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2024/2024 KATIKA CHUO CHA UALIMU RUKWA NA CHUO CHA USIMAMIZI WA BIASHARA RUKWA.
Mnakaribishwa kujiunga na vyuo vyetu vilivyopo mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga Mjini.
Kwa maelekezo zaidi unaweza piga: 0754426882
Ee Mungu Baba wa rehema mjaza neema ndogo ndogo na kubwaa unayejibu kwa Moto
Ahsante kwa kuwa unajibu sawa sawa na maombi yetu
Kamwe hujawahi kushindwa kamwe hujawahi kumwacha mtu wako akitapeliwa wala kutaharika
Tunakushukuru kwa yote ktk jina la mwanao Yesu Kristo alie hai
Huyu Baba...
Takwimu za Hali ya Uhalifu nchini Tanzania zimeonesha kati ya Januari 2023 hadi Desemba 2023 kulikuwa na Matukio 3,778,908 ya Jinai na Usalama Barabarani yaliyoripotiwa katika Vituo vya Polisi ikiwa ni ongezeko la Matukio 658,825 (21.1%) kutoka matukio 3,120,083 ya mwaka 2022.
Ripoti ya Jeshi...
Siku zote Thamani ya Mjanja anayejitambua kama Rafiki yangu Bila bila haiwezi kuwa ya kupewa Shilingi Milioni 200 kwa mwaka wakati Mjanja mwingine anayejitambua kama GENTAMYCINE Yeye anajijua kabisa kuwa Thamani yake kwa sasa na kwa jinsi alivyo hapa Barani Afrika ni kuanzia Bilioni 3 kwa Mwaka.
Dkt. Mwigulu wewe unatakiwa kucheza vizuri tu na watu wako ambao wanasemwa semwa kuwania ubunge jimboni Iramba, usijaribu kumpuuza Prof. Kitila Mkumbo na Gwajima pia. Wapo kadhaa na wengine wameshajitambulisha mpaka level ya kitaifa chamani. Sitawataja hapa lakini jua wapo na ni watu smart kweli...
Watoto 2,382 wamefanyiwa ukatili wa kulawitiwa mwaka 2023
Matukio ya watoto kufanyiwa ukatili wa kulawitiwa yameongezeka kwa kasi, ambapo watoto 2,382 walifanyiwa ukatili huo kwa mwaka 2023 sehemu kubwa (90%) ikiwa ni watoto wa kiume.
Nini kifanyike katika jamii kukomesha hali hii?
Source...
Ripoti hii inawasilisha takwimu za mawasiliano za robo ya nne ya mwaka wa fedha 2023/2024. Kwa ujumla, ripoti inatoa takwimu za mawasiliano ya simu, pesa mtandao, Intaneti, utangazaji, posta na usafirishaji wa vifurushi na vipeto, na huduma nyingine zinazohusiana na teknolojia ya Habari na...
Karibuni wataalamu wa Siasa na Uchumi .
1966 - 1 US dollar ilikuwa shilingi 7 za kitanzania .
2024 -1 us dollar ni shilingi 2600 za kitanzania.
Hapa inaelezwa thamani ya shilingi ya Zanzibar kwa kipindi hicho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.