mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. stabilityman

    Angalia hapa mwaka wako wakuzaliwa na mwaka wako wa kustaafu na umebakiza miaka mingapi ustaafu

    Sina maneno mengi mimi Angalia mwenyewe
  2. Gang Chomba

    Mkwara wa Gattuso unamtepetesha Henry na kumuokoa Zambrotta asirudie makosa ya Mwaka 2000…

    Zambrotta alikuwa na Kadi ya Njano, hivyo Thiery Henry alitaka kutumia mwanya huo kumpandisha hasira ili apate kadi nyingine ya Njano na kutolewa nje. Mara kwa mara Henry alikuwa anapita ubavu alipo Zambrotta na mara kadhaa alijiangusha na akaenda mbali zaidi kwa kugalagala na kuonesha kuwa...
  3. x - mas

    Maafisa utumishi: watumishi wanaobadilishwa kada/kazi mwaka 2023/2024 na wale wa madaraja

    Naomba kujuzwa yafuatayo: 1. Je, unamjua mtu ambeye kabadilishwa kada au kupanda daraja mwaka huu? 2. Hivi ubadilishwaji kada na upandishwaji madaraja unaweza kuendelea hata baada ya mwezi july kupita. 3. Ni hatua zipi mfanyakazi anapitia baada ya kutuma maombi ya kubadilishwa kada. Hapa mimi...
  4. BabaMorgan

    Mara ya mwisho kukutana na huyu Mwanamke ilikuwa mwaka 2022 mwezi wa saba leo hii ananiambia ana mimba yangu ya miezi mitano

    Wataalamu wa afya ya uzazi mliopo humu hii inawezekanaje yaani huyu mtu kanitia stress binafsi nimekataa.
  5. GENTAMYCINE

    Mbona Maafisa wa Habari wa Timu za Tanzania zilizoshiriki 'Kagame Cup' ya mwaka huu hawatuambii imekuwaje 'Wametepeta' mapema sana?

    Itasaidia sana kama wakisema kile Kilichowaponza ili Vilabu vingine vya Simba, Azam na Yanga vijifunze kwa baadae.
  6. Roving Journalist

    CAG Mstaafu, Utouh: Kilichotokea Kenya kinaonesha kunahitajika Uwajibikaji katika fedha za Serikali

    Taasisi ya Masuala ya Uwajibikaji wa Umma (WAJIBU) imekuwa ikiandaa ripoti za uwajibikaji zenye lengo la kuongeza uelewa wa Wananchi kuhusu mambo muhimu yaliyoibuliwa kwenye Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). WAJIBU imeandaa ripoti nne (4) kutoka kwenye ripoti za...
  7. Kingsmann

    Chama cha Madaktari Tanzania (MAT): NHIF walikiuka makubaliano ya kamati ya kitita cha mafao cha mwaka 2023.

    MREJESHO WA KIKAO CHA DHARURA KATI YA NHIF NA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA- MAT Utangulizi, Tunapenda kuwafahamisha madaktari nchi nzima kuwa mnamo tarehe 10/07/2024 tulipokea barua ya mwaliko kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF yenye kumb.Na.EA35/269/01A/184,lengo kuu likiwa kufanya...
  8. W

    Ni mwaka wa pili sasa Na enjoy Dstv bure mahali popote kwa kutumia internet.

    Nimeifuta watu wanaweza kui abuse, nashukuru hata walioiona ni wachache
  9. Mwafrika Halisia

    Mliopata mkopo ngazi ya diploma mwaka Jana nahitaji muongozo

    Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu, Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma. Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
  10. Mwafrika Halisia

    Mliopata mkopo ngazi ya diploma mwaka Jana nahitaj muongozo

    Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu, Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma. Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
  11. OMOYOGWANE

    Naenda bariadi kusomea degree ya uchawi wenye faida nitaleta mrejesho mwaka 2026 mwezi wa kwanza

    Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi. Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi Nitaleta mrejesho.
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Mwaka wa Tisa huu sijampiga wala kumnyooshea kidole Wakati kumtukana Binti Kimoso

    MWAKA WA TISA HUU SIJAMPIGA WALA KUMNYOOSHEA KIDOLE WALA KUMTUKANA BINTI KIMOSO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Miaka tisa siô mingi Sana làkini pia kwèñye mahusiano ya mapenzi hasa nyakati hizô siô miaka michache. Katika miaka yote hiyo tumepitia mambo mbalimbali yaliyotujenga na yapo...
  13. Aramun

    Huawei kuja na "Tri-Fold SmartPhone" mwaka huu, Samsung bado anasuasua

    Tumezoea kuona simu janja zenye mikunjo miwili, Huawei mwaka huu wanakuja na Smartphone ambayo itakuwa na mikunjo mitatu. Mojawapo ya kipengele muhimu cha kifaa cha kukunjwa mara tatu ni kwamba skrini iliyounganishwa kwenye bawaba ya pili inaweza kukunjwa kwa nje, na hivyo kuruhusu sehemu ya...
  14. ngara23

    Kama Valentino Mashaka wa Simba akianza form 1 mwaka 2013, Inakuwaje hadi Leo 2024 ana miaka 18

    Nimemsikia akihojiwa kwenye redio Moja ya Mwanza, jembe fm kuwa alianza form 1 huo mwaka Nikajiuliza alisoma akiwa na umri Gani shule ya msingi. Hakika udanganyifu wa umri Africa hasa kwenye michezo ni mkubwa. Nina uhakika yule kijana hakosi miaka 26
  15. D

    Ni Chama kipi cha Upinzani Kilishinda Uchaguzi wa Jimbo moja mwaka 1962?

    Wakuu Jana usiku nilikuwa Nasikiliza hotuba ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambayo aliitoa 16 AUGUST 1990 sehemu ya hotuba hiyo alisema kwamba mwaka 1962 wakati wa uchaguziTANU ilishindaviti 77 na kukosa Kiti kimoja tu ambacho alishinda mgombea wa upinzani, ambaye anadai alikuwa chama cha...
  16. GENTAMYCINE

    Dokta Mwaka: Wanawake kufungua Miguu tu pekee haitoshi, jiulizeni na nyie mmewafanyia nini Wanaume? Acheni kutaka kufanyiwa kila Kitu

    "Na isitoshe pamoja na kufanyiwa kila Kitu na Wanaume ikiwemo hadi Kuridhishwa maradufu bado tena Wanaume hao hao Wanawajibika katika Kuwatunzeni lakini pamoja na yote haya utakuta Wanawake wao hawarudishi Uwajibikaji huo kwa Wanaume na wanadhani Kufungua Kwao Miguu kila Siku ndiyo Upendo wa...
  17. The last don

    Nauza Macbook Pro za mwaka 2018 bei ya jumla

    Wadau wa graphics,gaming,na video production nauza macbook Pro za 2018 kwa bei ya jumla Specs: Macbook Pro display Retina Iris display 13.3' RAM: 16GB Storage: ssd 500GB Processor intel core i 5 3.1.Ghz Touch pad bar. Graphics: Intel Iris Plus Graphics 650,1536 bought from USA asking price ~Tsh...
  18. Mr mutuu

    Kwa wakazi wa Arusha, ingiza milioni 9 kwa mwaka ya uhakika kwa kufanya ivi

    Kuna dili nimepewa ila nimekosa Hio pesa, Kuna nyumba ipo arusha inauzwa milioni 100, Ina wapangaji kampuni ya wahindi ambayo imesajiliwa wameikodi Hio nyumba, Wana zaidi ya miaka 8 wamekodi Hio nyumba, wanalipa Kodi milioni 9 Kila mwaka na wanalipa kwa mkupuo Kama Kuna mtu anataka kuinvest...
  19. Kijakazi

    2025 mwaka wa Mapinduzi, Biden & Co. Out!

    kwa aliyefwatilia mdaharo wa jana D.Trump vs biden atakubaliana na walio wengi kwamba D.Trump is the next President of USA and Tim Scott first (real) black VP of USA. sasa hivi democrats wanafikiria kumbadilisha biden kabla ya uchaguzi kwa maana wameahaona hatoboi, biden ataondoka na wadhaifu...
  20. Yoda

    CHADEMA mmejipangaje na wabunge 19 wa viti maalumu kutorudi bungeni tena mwaka 2025/26?

    CHADEMA mna mkakati wowote wa kuwazuia wabunge wa viti maalumu waliopo bungeni wakati huu kutorudi bungeni wakati na baada ya uchaguzi wa mwaka 2025? Mtawazuiaje ikiwa mtaona wao ndio wamepewa fursa ya kugombea na wanapeperusha bendera ya CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2025? Mtawazuiaje...
Back
Top Bottom