Ripoti hii inawasilisha takwimu za mawasiliano za robo ya nne ya mwaka wa fedha 2023/2024. Kwa ujumla, ripoti inatoa takwimu za mawasiliano ya simu, pesa mtandao, Intaneti, utangazaji, posta na usafirishaji wa vifurushi na vipeto, na huduma nyingine zinazohusiana na teknolojia ya Habari na...