mwaka 2024

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation

    Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation. Siwezi kuwataja (wanaona hii tweet) Leo nitakupa sori na njia wanazotumia kupata hizo pesa Wengine wapo chuo, dropout Nimewashuhudia wakiwa...
  2. Ojuolegbha

    Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024

    Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024. Hii ni katika kuhakikisha elimu ya ufundi inafundishwa katika hatua za mwanzo za mwanafunzi akiwa shuleni. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  3. Roving Journalist

    RC Chongolo awaambia Wakazi wa Mbozi "Msitumikishe Watoto kwa kazi za shamba, wapelekeni Shule"

    Mkuu wa Mkoa huo, Daniel Chongolo amewataka Wakazi wa Wilaya ya Mbozi kuacha tabia ya kuwatumikisha Watoto katika kazi za shamba badala yake wawapeleke Shule ili wapate elimu itakakayowasaidia kujiandaa na ushindani wa soko la ajira. RC Chongolo amejulishwa kuwa Wilaya hiyo ina wastani wa...
  4. The Assassin

    Mwaka 2023 Tanzania ilipata watalii 1.8M, USD3.37 Billion Mwaka 2024 Tanzania ilipata watalii 5.4M, USD 3.67 Billion

    Hizi taarifa za serikali naona kama zinanipa maswali mengi bila majibu. Mei 2024 aliekua waziri wa Utalii Angela Kairuki alisema kwa mwaka 2023 Tanzania ilipata watalii Milioni 1.8, ambayo ilikua ni ongezeko la 96% kulinganisha na watalii laki 9 wa mwaka 2021...
  5. Ojuolegbha

    Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani

    Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025 kama ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM ilivyoelekeza. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  6. Ojuolegbha

    Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo

    Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo, Trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp #kaziiendelee #tumejipatanamama
  7. Magical power

    Jambo nisiloweza kulisahau kamwe mwaka 2024

    JAMBO NISILOWEZA KULISAHAU KAMWE MWAKA 2024 Siku Moja katika kutekeleza majukumu yangu Kuna ndugu Fulani walikuja Kwa lengo la kuhifadhi mwili WA mpendwa wao majira ya saa Tano usiku Story ya kifo Cha marehem ni kwamba alirudi kutoka kazini akiendesha gari lake vzr tuu baadae majira ya saa...
  8. Carlos The Jackal

    Luhaga Mpina: Deni la Serikali lapaa kutoka Trillion 62.4 mwaka 2021, Hadi kufikia Trillion 96.9 mwaka 2024 !!

    Sawa na Ongezeko la Trillion 32.4 . "katika mwaka 2020/2021 mashauri ya malimbikizo ya kodi za makinikia yaliamuliwa katika mahakama za rufani za kodi yenye thamani ya shilingi Trilioni 5.595 na mahakama kuagiza kufanyika mazungumzo kati ya Serikali na walipa kodi ambayo ni North Mara gold...
  9. Yoyo Zhou

    Uchumi wa China wakua kwa asilimia 5 mwaka 2024 ukikabiliwa na changamoto mbalimbali

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Takwimu ya China zinaonesha kuwa, mwaka 2024 pato la Taifa la China lilikua kwa asilimia 5, na kufikia yuan trilioni 134.9, sawa na dola trilioni 18.94 za Marekani. Katika mwaka uliopita, licha ya changamoto za nje na ndani, China ilifanikiwa...
  10. Mwanadiplomasia Mahiri

    NECTA kutangaza matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2024 kesho

  11. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi Mbeya lasema Mwaka 2024 kulikuwa na Makosa ya Jinai 22,049 Mkoani hapo yaliyoripotiwa

  12. monotheist

    Maisha ya mahusiano ya mapenzi niliyopitia mwaka 2024

    Mwaka 2024 lengo langu lilikua ni kitafuta mwenza hatimae tufunge ndoa lakini mambo yalikua tofauti kulingana na changamoto nilizokutana nazo katika mahusiano kutoka kwa wanawake mbalimbali Mwanamke wa kwanza; Huyu dada nilikutana nae mwanzoni mwa mwaka 2023 nilimpenda sana na nilikua tayari...
  13. D

    Salam ya Mh.Raisi Samia kufunga mwaka 2024 haina chembe ya uwajibikaji wa serikali katika kupunguza ajali barabarani

    Matatizo ya ajali barabarani tunaweza kuyaondoa haraka endapo mamlaka za serikali zitachukua hatua leo. kama hatutabadili namna ya kufikiri itatuchukua miaka mingi sana kupunguza matatizo ya ajali Tanzania. Takwimu alizotoa rais wakati akifunga mwaka 2024 zinaonesha ajali zilizotokea ni 1735 na...
  14. Cute Wife

    Kama nilikukosea mwaka 2024 acha ujinga 2025 ili nisiendelee kukupiga spana 2025!

    Wakuu, Kama ulikula spana 2024 jirekebishe, acha uchawa, ukupe na umaandazi :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: Ukibisha utakula spana tu😹😹. Happy New Year watu wazuri wa JF, wengine tushamaliza 25 tunaenda 26😎.
  15. chiembe

    Katika nchi zote za Afrika Mashariki, William Rutto anamaliza mwaka 2024 akiwa Rais dhaifu kisiasa kuliko wote.

    Ndio, ni dhaifu kuliko Salva Kiir. Sasa anaomba Mungu Raila Odinga asijitikise kisiasa, akifanya hivyo jumba la ikulu ya Nairobi litapata nyufa na kubomoka. Ni kama ng'ombe aliyekatika mkia kwa kuwa hana Rigathi Gachagua, anaonekana muda mwingi ana wasiwasi, mawazo, amekosa uimara kama Rais...
  16. Teko Modise

    Hizi ni baadhi ya nyuzi za Jamii Forums zilizonigusa kwa mwaka 2024, zako ni zipi?

    Leo ni Desemba 31 ikiwa ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka 2024. Tunafunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2025. Na hizi ndizo nyuzi zangu zilizonigusa kwa mwaka huu 2024… https://www.jamiiforums.com/threads/nape-makamba-kuondolewa-baraza-la-mawaziri.2236892/...
  17. Waufukweni

    Majizzo ataja Playlist ya nyimbo zake bora mwaka 2024, Komasava namba moja Bongo

    Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina la msanii lililotokea mara nyingi zaidi. Soma, Pia: Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa...
  18. S

    Wachezaji wawili bora kwangu kwa mwaka 2024 ndani ya Simba Sports Club

    Mwaka 2024 unaisha leo, kesho majaliwa ni mwaka 2025, nimeona kikosi chote cha wachezaji wangu wa Simba Sports Club, kiukweli hadi kufikia leo binafsi ni wachezaji wawili tu ndani ya timu yangu ukimuondoa kiungo wa pembeni Elie Mpanzu ambaye ndio kwanza anajitafuta na ambaye nina matarajio naye...
  19. MwananchiOG

    Yapi ni matukio yako makubwa zaidi mwaka 2024 katika nyanja za siasa,uchumi michezo nk.?

    Matukio mengi yametokea mwaka huu 2024, Je kwa upande wako ni matukio gani unadhani ni makubwa na kwa namna moja ama nyingine yameacha alama au kumbukumbu fulani kwako?
  20. Nawashukuru Sana

    Kwa upande wangu hawa ndo wanachama bora kwa mwaka mwaka 2024

    Mshana Jr - huyu ni mwanachama ambaye ameonesha talanta yake na karama katika kuijenga jamii kisaikolojia , kisosholojia na kiroho na Kwa mbali sana kisiasa . Sitomuelezea Sana maana huyu ndo GOAT wa JF great of all time tangia jamiiforum imeanzishwa huyo ndo mwanachama bora wa muda wote...
Back
Top Bottom