mwaka 2024

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mchochezi

    Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa Mwaka 2024?

    Leo ni Desemba Mosi 2024, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni.
  2. K

    LGE2024 Tangu nizaliwe sijaona uchaguzi wa serikali za mitaa uliogubikwa na aibu kubwa kama huu wa mwaka 2024

    Wananchi walijitokeza kujiandikisha ili wawachague viongozi watakaowaletea maendeleo lakini kinyume chake yametokea mambo ya hovyo tena ya hovyo katika uchaguzi huu. Wagombea wanapigwa risasi, wengine wanakatwa mapanga ili Chama fulani kitimize malengo yake. Hii ni AIBU kubwa wakati tuna...
  3. Pfizer

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa yatangazwa mshindi wa kwanza tuzo ya umahiri katika utayarishaji bora wa taarifa za hesabu kwa mwaka 2024

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeendelea kung'ara katika uwanja wa usimamizi wa fedha za Umma. Katika hafla ya tuzo iliyofanyika usiku wa tarehe 29 Novemba 2024, DCEA ilitangazwa mshindi wa kwanza tuzo ya umahiri katika utayarishaji bora wa taarifa za hesabu kwa...
  4. Burure

    LGE2024 Madudu kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2024

    Jana tumepata wasaa wa kushuhudia Uchaguzi wa Serikali za mitaa tuliosubiria kwa muda mrefu. Licha ya kuwa umefikia idadi ya chaguzi Tisa (9) Toka uanze kufanyika hapa nchini lakini bado kuna Mapungufu makubwa. Mosi ni msimamizi wa uchaguzi huo ambaye ni TAMISEMI ambaye na yeye anahusika kwenye...
  5. L

    JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka 2024 kutoka kwa wasanii wa kurap Tanzania?

    Karibu kwenye kipengele hiki kizito cha upi wimbo ulio bora na umefanya vizuri kwa wasanii wetu wa kurap Tanzania. Piga kura ili tumpate mshindi. Tuzo za Tanzania huwa zinalalamikkiwa kwa kukosa uwazi, sasa hizi atakeyekuwa na kura nyingi ndie ataibuka mshindi. Malengo siku moja, sisi wanachama...
  6. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Tamko la CCM kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, kwani utahusisha kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji, wajumbe wa kamati za...
  7. Nehemia Kilave

    LGE2024 Tamko la kutangaza siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa siku ya mapumziko la mwaka 2024

    TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024 KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya kutangaza siku yoyote kuwa siku ya mapumziko kama nyongeza ya siku zilizoainishwa kwenye Jedwali la Sheria...
  8. J

    DOKEZO Uovu WA CBE kampasi ya Dar mwaka 2024

    Katika mwaka 2024, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es Salaam kimekumbwa na changamoto kadhaa ambazo zimeleta malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wadau mbalimbali. Makosa haya yameathiri kwa kiasi kikubwa uzoefu wa wanafunzi na ubora wa elimu inayotolewa. tuanze na 1. Uchaguzi...
  9. Torra Siabba

    Nchi tano kushiriki Uhuru Open Squash kwa Mwaka 2024

    NCHI tano zinatarajia kushiriki Uhuru Open Squash Tournament yanayotarajia kuanza Desemba 6-9, 2024 Jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Chama cha Squash Tanzania (TSA), Marwa Busigara nchi shiriki ni pamoja na wenyeji Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia na Zanzibar. Busigara alisema...
  10. The Watchman

    Kidato cha 4 kuanza mtihani Novemba 11, 2024, Idadi ya watahiniwa yapungua ukilinganisha na mwaka 2023

    Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne mwaka 2024 kuanzia kesho Novemba 11, 2024 imepungua kutoka 572, 338 mwaka 2023 hadi kufikia 557, 731 mwaka huu. Akitoa taarifa ya maandalizi ya mtihani huo, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA)...
  11. The Sheriff

    Biashara ya Kenya katika soko la Afrika yakua kwa 26% katika miezi saba ya mwanzo ya mwaka 2024

    Biashara ya Kenya ndani ya bara la Afrika imeendelea kuimarika, huku ikiongezeka kwa asilimia 26 katika miezi saba ya kwanza ya mwaka 2024 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka uliopita. Ripoti ya Benki Kuu ya nchi hiyo iliyotolewa Jumatatu Novemna, 2024 inaonesha kuwa ukuaji huu umetokana...
  12. Mkalukungone mwamba

    Malengo yako ya mwaka 2024 uliojiweka umefanikiwa mangapi kuyatimiza hadi sasa?

    Unapoanza mwaka mpya kila mmoja anakuwa na malengo yake ya mwaka husika anayohitaji kuyafikia ili kupiga hatua katika maisha yake. Ukitazama sasa tumesalia mwezi mmoja kutoka sasa kukamilisha au kufunga mwaka 2024 bila shaka utakuwa unapicha nzuri ya kile ulichojiwekea malengo yako. Tuambie je...
  13. DR Mambo Jambo

    Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

    March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11 S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸 Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP Hmm! wanajarbu kutwambia nini?🤔 Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo...
  14. Heparin

    POTOSHI Video: Suzan Lyimo akitanganza CHADEMA kujitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mtaa wa Mwaka 2024

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimeibua mkanganyiko mkubwa kwa wanachama na wananchi baada ya kubadili msimamo wake kuhusu kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.Awali, chama kilieleza nia ya kushiriki uchaguzi lakini Freeman Mbowe alinukuliwa akisema hawatashiriki. Baadaye, chama...
  15. JanguKamaJangu

    Nchi 10 Afrika zenye deni dogo zaidi la Serikali katikati ya Mwaka 2024

    Top 10 African countries with the smallest government debt mid-2024 Maintaining a low government debt is critical for African countries seeking to stimulate economic growth, raise living standards, and attract international investment. Countries with low debt loads gain from currency stability...
  16. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini gari namba ‘A’, ‘B’ na ‘C’ zinafufuliwa na kurudishwa barabarani kwa kasi sana mwaka 2024?

    Je, kuna uhaba wa magari Japan? especially zike za mizigo na na za abiria?
  17. M24 Headquarters-Kigali

    Harusi bora ya mwaka 2024

    Tunawapongeza kwa hatua hii njema. Hakika ninyi ni mfano mzuri kwa wengine.
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Nashukuru sana Uongozi wa JamiiForum kwa kunitambua kama Moja ya wanachama wenye mchango kwa mwaka 2024

    NASHUKURU SANA UONGOZI WA JAMIIFORUMS KWA KUNITAMBUA KAMA MOJA YA WANACHAMA WENYE MCHANGO KWA MWAKA 2024. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii kwangu niite heshima ya pekee. Kutambulika na kutambuliwa ni jambo kubwa ambalo wanadamu wengi hulipenda na kulitafuta. Mimi kama Taikon nimefurahi...
  19. Roving Journalist

    Rais Samia amefunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, Viwanja vya Jeshi la Polisi CCP Mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 17 Septemba, 2024...
  20. FINANCIAL MARKET

    Vitu hatarishi vya kuepukana na kuachana navyo kabisa kabla hata mwaka 2024 haujaisha

    [.MUHIMU.]...Vitu HATARISHI Vyakuepukana Navyo na Kuachana Navyo Kabisa Kabla Hata MWAKA 2024 Haujaisha.... 1.Kutumia Muda mwingi Sana Kwenye Social Media . Kwenye mitandao, wewe ni mwandaa maudhui au mlaji? . Zaidi ya 90% ni walaji. . Unapoteza muda wako kuangalia maisha ya wengine. ...
Back
Top Bottom