Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha mbinu ya matumizi, ambapo jumla yake hutolewa kwa kujumlisha matumizi ya bidhaa mpya za walaji, uwekezaji mpya, gharama za serikali, na thamani halisi...
Karibuni wataalamu wa Siasa na Uchumi .
1966 - 1 US dollar ilikuwa shilingi 7 za kitanzania .
2024 -1 us dollar ni shilingi 2600 za kitanzania.
Hapa inaelezwa thamani ya shilingi ya Zanzibar kwa kipindi hicho
Pita pita mtaani yaani watu wamechoka sana hakuna cha maana maisha yao yamekuwa magumu. Nuru za watu zimepotea na kama watu wamejikatia tamaa.
Kweli ni nyimbo nzuri ila imekosea kuingia 2024
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024, leo Jumamosi Julai 13, 2024 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar.
Kuangalia matokeo bonyeza hapa: Matokeo Kidato cha Sita 2024
Jumla ya watahiniwa 113,504 walifanya mtihani wa kidato cha sita, mwaka huu...
Marekani, China, Ujerumani, Japan na India ndizo nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani kwa mwaka wa 2024, kulingana na data zao za Pato la Taifa.
Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha...
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) ipo katika hatua za mwisho za kupokea maoni ya Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2024 ili kuiwezesha Sheria ya Ununuzi Umma ya Mwaka 2023 kutekelezeka kwa ufanisi, ambapo pamoja na mambo mengine, Kanuni hizi zitatoa wigo mpana wa kuwasilisha...
Utangulizi
Sekta ya afya ni msingi wa ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi. Ili kuifikia Tanzania tunayoitamani, ni muhimu kuunda mikakati madhubuti na bunifu itakayotekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo. Andiko hili linaangazia njia za kuboresha sekta ya afya kwa kutumia...
THE STORY OF CHANGE IN TANZANIA 2024---AFYA, ELIMU, AJIRA NA BEI ZA VITU. KWANZA
Mwaka 2024 watanzania wanatamani kuona mabadiliko mbalimbali chanya ususani katika sekta za Afya,Chakula, elimu na usafirishaji(miundombinu) na sekta nyingine muhimu ambazo mara nyingi hizi sekta zinategemeana...
Nawaombeni sana mnieleweshe kuhusu TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na TUME HURU YA UCHAGUZI.
Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka kuwa kutakuwa na TUME YA TAIFA UCHAGUZI na Sheria ya 2024 inatamka kuwa kutakuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI. Je, ni kipi kiheshimiwe kwanza. Ni Katiba au Sheria?
Inawezekana mimi sio engeneer au mtaalamu wa Meli, ila juzijuzi nimebahatika kuiona Meli yetu mpya ziwa victoria ikifanyiwa marekebisho ya mwisho kutembea ziwani.
Kwa muonekano wake tu wa nje, inawezekana ndani ikawa ni kali balaa (excuse of doubt).Bila kumung'unya maneno muonekano wake wa nje...
Tarehe ya drop Iko hapo chini
Mwaka 1969 ilikuwa ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu Moja robo fainali ya klabu bingwa ambapo Yanga Afrika waliiwakilishw nchi.
Mwaka huu 2024 ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu mbili mbazo ni Yanga Tena na watani zao Simba.
"Uchaguzi mwaka huu na mwaka ujao utakuwa wa huru na wa haki, wakati nazungumza hivi nina hakika wapo ambao wana mashaka na kauli hii, na hao wenye mashaka wanazo sababu, na sababu zao zinatokana na 2019 na 2020 huo ndio ukweli"
"Sheria tuliyokuwa nayo ya uchaguzi ambayo ilitupeleka kwenye...
Nchi 3 za Afrika Mashariki zimetajwa katika orodha hiyo ambapo zitaongozwa na Rwanda inayotarajiwa kupata Ukuaji wa 7.2% ikifuatiwa na Tanzania 6.1% na Uganda itakayokua na Ukuaji wa Uchumia wa 6%.
Afrika itachangia uchumi wa nchi kumi na moja kati ya 20 zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani...
Huwa napenda kuandika humu kama diary yangu maana
Basi nilliwahi andika nikiwa na umri wa miaka 22 nilikuwa nishashika hela nyingi kama million 100 na zaidi kutoka biashara nilikuwa nafanya kkoo ila hizi hela zilikuja kuuvunja moyo wangu mno sitak tena
Kwa muda wa miaka sita...
"Hatusemi tukafanye chaguzi za kutumia nguvu hapana, taratibu, sheria na miongozo ya uchaguzi itafuatwa lakini Jeshi na vikosi vyote vya ulinzi na usalama vikae tayari kukabiliana na hali yoyote itakayojitokeza."
" Hapo mwakani 2025 tunaenda kwenye uchaguzi mkuu na ule ndiyo uchaguzi wenye...
Tujiandae kisaikolojia,hali sio nzuri kwa upande wetu..dalili zimeshaanza kujionesha toka mwaka jana mwishoni.
Mimi sio mtaalam wa mambo ya hali ya hewa..lakini unaweza kuzingatia nilalosema au ukapuuza..
Kamati ya Sera ya Fedha iliyokutana tarehe 18 Januari 2024 imetangaza Riba ya Benki Kuu kuwa asilimia 5.5 kwa robo ya kwanza ya mwaka huu ili kutimiza malengo ya kiuchumi katika kipindi hicho.
Kiwango cha Riba ya Benki Kuu kilichotangazwa kinaendana na malengo ya kuhakikisha kuwa mfumuko wa bei...
Wakuu, happy new year 2024.
Wenye taarifa za miradi ifuatayo tukutane tujadiliane:
1. Uwanja wa ndege wa Msalato
2. Ujenzi wa barabara ya mwendokasi kuelekea uwanja wa ndege wa Dar
3. Ujenzi wa chuo kikuu Butiama
4. Ujenzi wa barabara Kwa kiwango cha lami kutoka SikongeTabora hadi Makongorosi...
Katika kipindi cha miongo miwili iliyopita, China imejenga uhusiano wa kina wa kiuchumi na nchi za Afrika, na kuifanya kuwa mshirika mkubwa zaidi wa biashara wa nchi hizo, na chanzo muhimu cha uwekezaji wa moja kwa moja. Katika kipindi cha miaka miwili hadi minne iliyopita, kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.