Mwaka 2024 unatawaliwa na namba nane(8)katika unajimu na namba 8 katika numerolojia mara nyingi inahusishwa na mafanikio, ustawi, uongozi, na upatikanaji wa malengo. Inawakilisha sifa kama vile bidii, mamlaka, uongozi, na utulivu wa kifedha.
Namba hii inaashiria tuzo za kazi ngumu, uwiano kati...