Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Salum Hamdun amesema Tanzania imetambulika kuwa ni miongoni mwa nchi chache Afrika zilizopiga hatua katika mapambano dhidi ya Rushwa. Kwa mujibu wa shirika la International inaonyesha Tanzania imeshika nafasi ya 2 katika...
Asali ni chakula kinachotumika kama dawa ya magonjwa mengi. Hutibu vidonda, kikohozi, huondoa sumu mwilini, ni chanzo bora cha nishati pia hutumika kwa kazi nyingi za urembo.
Ukipita mtandaoni utaona baadhi ya makala zikiweka marufuku ya kuwapatia watoto wachanga asali. Jambo hili linaleta...
Hili daraja ndio hutumika sana kusafirisha mahitaji ya kijeshi, ila baada ya kipigo cha wana, itachukua karibia mwaka mmoja kulirekebisha irudi kwenye hali yake ya kawaida.
Na bado litaliwa timing nyingine wakati wanapambana kulirekebisha.....
Russia's government has ordered contractors to...
Ili kudhibiti kuenea na kusambaa kwa ugonjwa wa kichaa cha Mbwa sheria inasema kila mfuga mbwa au paka kumchanja ili kuzuia kichaa cha mbwa na endapo hatozingatia basi adhabu yake ni faini ya kati ya Shilingi 500,000 hadi Shilingi milioni 10 au kifungo cha mwaka mmoja jela.
Mkurugenzi wa...
Asali ni mojawapo ya vyakula vinayofahamika kuwa na sifa ya kubeba vimela vya masalia ya bakteria wanaoitwa Clostridium botulinum.
Bakteria hawa ni hatari kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja kwa kuwa mfumo wao wa kinga za mwili hasa kwenye utumbo huwa bado ni dhaifu. Wanaweza kukaa humo...
Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan,
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu...
Mwanza. Mtoto Nassoro Rashid Nassoro (1) anapigania maisha yake katika wodi za Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na madhara ya kiafya ambayo wazazi wake wanadai ni uzembe wa madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Tanzanite Jijini Mwanza.
Matatizo ya mtoto Nassoro...
Ukiangalia bei za Petroli na Dizeli kwa kipindi cha mwaka mmoja. Yaani ukifananisha Agosti 2021 na Agosti 2022 utaona kuna percentage change ya takribani 50%.
Dizeli ndio imepanda kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ni zaidi ya 50% huku petroli imeongezeka kwa zaidi 45% kutegemea na bandari...
Leo hii baada mzee baba kuondoka na Mhandisi Mfugale kuondoka kwa utata wa mkubwa ambao ulishangaza dunia nzima. Leo hii Temesa wameanza fyongo. Maana kazi ndogo kama service sio ya kusababisha serikali kukodisha vivuko kwa gharama kubwa.
Hapa kutakuwa na namna.
Watanzania huu ndio wakati wa...
Habari zenu humu ndani?
si muandishi mzuri sana wa nyuzi humu jf ila leo nimejisikia kushare kitu kidogo na nyinyi juu ya biashara, nikiamini kwamba naweza kubadili fikira za baadhi ya vijana na wazee humu juu ya biashara.
Kwa taaluma mimi ni Civil Engineer na huwa napata vikazikazi ambavyo...
Rais Samia Suluhu ametaja changamoto tatu ambazo amekutana nazo tangu awe Rais wa Tanzania lakini ameonyesha nguvu ya Mwanamke kwa kuongoza Nchi vizuri na katika hali fulani amezidi hata kile kilichofanywa na Wanaume ndani ya mwaka mmoja.
Akizungumza wakati akishiriki Mdahalo wa Wakuu wa Nchi...
Mkurugenzi wa haki za Wanawake katika taasisi ya Wanawake laki moja Josephine Matiro amesema, Rais Samia kulidhia ongezeko la mshahara na kima cha chini 23.3% ni Ushindi Mkubwa kwa Wanawake. Kwa Miaka 7 saba, Wafanyakazi hawakuongezewa Mshahara, lakini Mwaka mmoja wa Rais Samia, Wafanyakazi wa...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, baada ya kusota kwamiaka sita tangu 2015 mpk 2021 bila ajira huku tukidanganywa kama watoto eti tuuzie biashara popote hata barabarani na kwenye round about za miji hatimaye 2021 march tulipata mkombozi wa vijana,
Ni ukweli usiopingika Samia umejaribu...
Nilikuwa maeneo ya Nzera jimboni kwa Msukuma uvuvi haramu umetamalaki. Makokoro na nyavu zilizopigwa marufuku maarufu kama Timba ndio zinatumika.
Nikaamua kuambaa ambaa mpaka mwambao wa ziwa wilaya Sengerema mwendo ni uleule.
Kumbe usimamizi wa sheria za nchi hutegemea na mkuu wa nchi aliepo...
Anza mikakati ya kutafuta wagombea makini kwa ajili ya udiwani, ubunge na urais. Pia chaguzi za serikali za mitaa.
Msisitizo ni kuwa hii ni wananchi kuikataa hii CCM ya wapiga madili hii ndio iwe hoja kuu.
Wewe binafsi usigombee maana haukubaliki. Tafuta watu makini.
2025 ushindi upo wazi kabisa.
Habari wakuu,
nina uhakika wa kupata shilingi 5,000/= - 10,000/= kwa kila siku.
Ni wapi hasa nitahifadhi shilingi hizi ndani ya miezi sita hadi mwaka na ziendelee kuwa salama?
Nimejaribu kufikiria kufungua "ka akaunti labda benki" lakini kikwazo sina kitambulisho chochote cha kuniwezesha...
MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUONGOZA IFTAR MAALUM YA MAYATIMA NA WAJANE KUADHIMISHA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA.
Leo Jumapili Aprili 03, 2022 Kuanzia Majira ya Saa 10:30 Jioni hii, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ataongoza Iftar Maalum ya Kuadhimisha...
Nikiwa natazama TBC kipindi mwaka mmoja wa awamu ya sita. Moja kati ya mafanikio ni kupatiwa suluhisho kwa kero za Muungano na kero hiyo ni " Ajira za Zanzibar kwenye taasisi na wizara za muungano" Hii kero ndani ya mwaka mmoja imeshapatiwa suluhisho.
Hii kero imepatiwa suluhisho ndani ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.