Makundi mbalimbali ya wanafunzi wa vyuo vikuu, wakufunzi, bodaboda, Machinga, viongozi na wananchi waelezea Nuru ya Mafanikio ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi kifupi cha Mwaka Mmoja.
Katika Kongamano lililofanyika leo Jumamosi 26 Machi 2022 na Seneti ya Vyuo na vyuo vikuu Kuu...
"Siku chache zilizopita, niliona Mhe. Nape anatoa leseni kwa magazeti manne, magazeti ambayo yalifungiwa kifungo ambacho hakijulikana kingeisha lini. Ndani ya siku 365, tuna kumbukumbu ya kufunguliwa kwa magazeti manne." - Nevile Meena
#MamaYukoKazini
#MwakaMmojaNaSamia
"Rais Mwinyi aliwahi kusema, kila zama na kitabu chake. Tumuombee Rais Samia Suluhu aandike kitabu chake, kurasa 365 amezimaliza, tunaamini ataendelea vizuri", - Nape Nnauye, Waziri wa Habari
#MamaYukoKazini
#mwakammojawamama
"Katika siku 365 za Rais Samia Suluhu, kitu cha kwanza tulichokifanya, ni kuhakikisha vyombo vya habari vinafanya kazi kwa Uhuru bila bugudha na kuhakikisha vyombo vya habari vinakua," - Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa
#MamaYukoKazini
#MwakaMmojaNaSamia
Jana niliuliza kuhusu majukumu ya Mhe. Waziri wa mambo ya nje, Leo naangazia utendaji wa Mhe. Waziri wa Fedha.
Naomba anayeweza kueleza Mhe. Waziri wa Fedha wa Tanzania amebuni mikakati Gani yakukuza uchumi? Tofauti na kukopa pamoja na kutoza wananchi tozo ni kipi kipya chenye tija alichofanya...
Moja ya maamuzi makubwa yaliyifanywa na Mhe. Rais wa JMT Samia Suluhu Hasan ni kutumia fedha za mkopo wa uviko 19 kujenga madarasa na majengo maalumu ya huduma za dharura nchini.
Hii ni kutoka sufuri hadi 150 .
Best achievment in one year!
CCM HOYEE!
Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato.
Maadhimisho hayo yatahudhuriwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Isdori Mpango...
• Legacy waliyopambana nayo kuifuta ndio kwanza inazidi kujidhihirisha. Hata mabeberu sasa wanaiga falsafa za Magufuli, angalia kwa mfano suala la Covid-19.
• Watanzania wengi wazalendo na wanyonge wanazidi kuumia na hivyo wanammisi kwa kasi.
• Kanisa Katoliki linaendelea kumuombea pumziko la...
MWAKA MMOJA BILA JPM;FALSAFA YA UTIMILIFU WA NYAKATI.
Leo 23:15pm 13/03/2022
Hayati Rais wa Tanzania John Magufuli alitoa ujumbe wa shukrani kwa viongozi wa dini na watanzania wote kwa kuitika wito wa kumuomba Mungu ili aliepushe taifa na janga la ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na...
Rais Samia Suluhu kuongoza kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha hayati Magufuli itakayofanyika kwenye uwanja vya Magufuli uliopo Chato, March 17 mwaka huu.
Naona ndugu kmbwembwe sasa atashiriki mwaka mmoja wa Samia..
========
Geita. Rais Samia Suluhu Hassan atashiriki na viongozi mbalimbali...
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli.
Misa hii takatifu itafanyika Jumapili ya Machi 20 katika...
Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais.
Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa.
Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege...
WATOTO wawili mkoani Lindi wamefariki dunia katika matukio tofauti, likiwamo la mama mzazi kudaiwa kumnywesha sumu ya kuua magugu kutokana na kinachodaiwa kuchukizwa na kitendo cha mkwe wake kukataa kumchukua mjukuu wake huyo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka wilayani Nachingwe na Ruangwa...
Mama Samia kama unajua ama haujui kuna jambo baya linafanyika kupitia utawala wako. Nimetembea ofisi za binafsi hasa mabenki kutokana na nature ya shughuli zangu za binafsi nimekutana na jambo la hofu sana.
Kuna barua zinazambazwa kuomba mchango wa kufanikisha sherehe za mwaka mmoja toka...
Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.
Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali...
Wakati maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha JP Magufuli yakikaribia, ni vyema tukaangazia miradi yake aliyotekeleza na inayoendelea kutekelezwa / kukwamishwa kwa sasa.
Ndivyo nilivyosoma kupitia ukurasa wa CNN asubuhi hii, Biden amevunja record ya ajira kwa 6.6 million added kuliko marais wote waliowahi kushika madaraka marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja toka aingie madarakani.
Kuna watu humu walijaribu kutaka kulinganisha utawala wake na aliyepita Bw Trump...
Anaandika, Robert Heriel
Taikon wa Fasihi.
Hii ni tathmini ya uongozi wa Mama Samia Suluhu tangu alipoingia madarakani mwaka Jana 2021 mwezi machi, zikiwa zimebaki siku chache kukamilika mwaka mmoja.
Tathmini hii ni kulingana na mtazamo wangu, Uelewa wangu, na vile mambo niyaonavyo.
Dondoo...
Picha ya Rais Samia Suuhu Hassan akihutubia Taifa usiku wa 31 Desemba 2021
Mheshmwa Rais Samia Suluhu Hassan,
Hotuba yako kwa Taifa wakati tunauaga mwaka 2021 na kuingia mwaka Mpya wa 2022 nimeisoma yote.
Ni nzuri, inaleta matumaini, kuondoa taharuki na kuonyesha ndoto yako kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.