Habari wakuu,
nina uhakika wa kupata shilingi 5,000/= - 10,000/= kwa kila siku.
Ni wapi hasa nitahifadhi shilingi hizi ndani ya miezi sita hadi mwaka na ziendelee kuwa salama?
Nimejaribu kufikiria kufungua "ka akaunti labda benki" lakini kikwazo sina kitambulisho chochote cha kuniwezesha...