Leo mimi na mke wangu mkubwa,tuliamua kuupokea mwaka 2025 kwenye baa moja hapa mwanza uswazi,kwakuwa hatukuwa na kipato cha kutosha.Tumekunywa bia za Tanzania na kuku wa kienyeji na tumefurahi sana,tukampigia simu mke wangu mdogo ambae yuko nje ya nchi na watoto wetu pia wote tukaongea...