Habari ya wikiend wadau..
Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida.
Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa.
Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) hivi karibuni liliamua kuorodhesha Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina kwenye mali za urithi za kiutamduni za bindamu. Uamuzi huo utasaidia kuhimiza ongezeko la ushawishi wa utamaduni wa jadi wa Kichina duniani.
Historia...
Ni hiyari sio lazima lakini ni muhimu sana, my friends ladies and gentlemen.
Wazo hili limenijia baada ya kuona mateso ambayo wengi tunayapitia tunapokumbwa na dhahama za maradhi mbalimbali, na kujikuta badala ya kwenda hospital kupata matibabu ya uhakika, tunajifungia majumbani na kujifariji...
Kesho tukijiandaa kupokea mwaka mpya wa Muharam 1446.
Nipende kuchukua nafasi hii kuwatakia wanaJF wenzangu mafanikio makubwa na baraka tele katika mwaka huu mpya.
Ambao hawajapata wenza basi wapate, waliopigwa ban wafunguliwe. Na wenye bodaboda basi wafanikiwe kupata magari.
Kila la kheri wakuu.
Tamasha la Mwaka Mpya wa jadi wa China (CCTV Gala) ama kwa jina jingine linajulikana kama Chunwan, ni tamasha maalum la Mwaka Mpya wa jadi wa China linalotayarishwa na Shirika Kuu la Utangazaji la China, (CMG). Tamasha hili ambalo hutangazwa kila mwaka katika mkesha wa Mwaka Mpya wa China sio tu...
Kuna maazimio mazito niliyaweka lakini wapi nishapoteza mengi tu. Nilisema sitakunywa soda na nimeshakunywa tano, nilisema sitatumia sukari na nishainywa.
Nilisema sigusi nje tayari kuna mmoja alijileta. Yaani tafrani tupu.
Maonesho ya Miaohui ya kuadhimisha Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina yaliyoandaliwa na Ubalozi wa China nchini Uganda pamoja na idara ya utamaduni ya Uganda yamefanyika hivi karibuni mjini Kampala, na kuwavutia maelfu ya watu waliotaka kushuhudia utamaduni maalumu wa Kichina.
Maelfu ya Waganda na...
Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja.
Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu...
I. Utangulizi
Tayari Muswada wa Bima ya afya kwa wote uliopitishwa bungeni mwezi Novemba umetiwa saini na Rais na kuwa sheria rasmi (imeambatanishwa). Bado tunasubiri kkwa hamu kanuni na taratibu za kuongoza utekelezwaji wake.
Sheria hii ni mkakati wa kuipunguzia serikali mzigo wa kugharimia...
Wazee wa maakuli, leo tunauanza mwaka mwaka mpya, naamini uko mzima wa afya.
Tumeuanza mwaka na msosi gani leo?
Mimi nimepiga ndizi bukoba na dagaahapa safii, utamu unafika hadi kisogoni.
Wengine mwaka mpya umetukuta hapa small New York, ni mwendo wa kujipongeza kwenda mbele.
Nawatakia mwaka mpy wenye mafanikio, baraka na maendeleo ya kweli ndugu mwanaJF mwenzangu.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kama ilivyo desturi tunapoelekea kufunga mwaka, kunakuwa na shamrashamra za Wananchi kufurahia kumaliza mwaka wakiwa salama na kuingia mwaka mpya.
Jeshi hilo limewataka Wananchi washerehekee kwa amani na utulivu sikukuu hiyo.
Akitoa taarifa hiyo Kamanda...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Napenda kutoa shukurani za dhati kwa mkurugenzi wa JF Ndugu Maxence Melo kwa mwaka huu wa 2023 ambao tumeumaliza salama!,Kiukweli nimeanza na Mkurugenzi kwasababu kwa Mwaka huu wa 2023 huyu jamaa kwangu ndiye mtu bora kwangu,kitendo cha kuanzisha...
Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka.
Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024.
Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka.
Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024.
Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2024 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo:
Hamjambo!
Ukali wa baridi umeanza kupungua na mwaka mpya kukaribia. Wakati mwaka 2024 umewadia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.