mwaka wa fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Ripoti ya mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali kuhusu ukaguzi wa Mashirika ya Umma kwa mwaka wa Fedha 2022/23

    Ripoti hii ya mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha 2022/23 imetolewa kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura 418. Ripoti hii imeangazia matokeo ya ukaguzi na mapendekezo ya hatua stahiki za...
  2. Ojuolegbha

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imewasilisha Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2024/25

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imewasilisha Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge, Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama, tarehe 25 Machi, 2024.
  3. D

    Natengeneza mfumo wa kukusanya kodi baada ya miaka 10 utakuwa na uwezo wa kukusanya usd billion 700+ kwa kila mwaka wa fedha

    Kama kisemacho kichwa cha habari kwa sahivi natengeneza mfumo wa kodi ambao ukiwa adopted baada ya miaka 10 utakua na uwezo wa kukusanya usd billion 700+. Nikimaliza ntawapa mrejesho.
  4. TRA Tanzania

    Makusanyo ya kodi ya nusu mwaka wa fedha 2023/2024

  5. Stephano Mgendanyi

    Prof. Sospeter Muhongo: Mapendekezo ya Mpango wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    LEO BUNGENI: MAPENDEKEZO YA MPANGO WA TAIFA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 - Mchango wa Prof Muhongo Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ameshauri yafuatayo: *Mipango yetu ya maendeleo ilenge kupunguza umaskini kwa kasi kubwa *Uwekezaji wetu ulenge kupunguza umaskini kwa...
  6. Roving Journalist

    Waziri January Makamba akishiriki katika Uzinduzi wa Taarifa ya TANESCO kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linazindua taarifa ya mwaka 2023/2024 na Mpango Mkakati wa miaka 10 utakaoanza kutekelezwa katika mwaka wa fedha wa 2024/2025. Omary Issa aeleza sababu kuwajengea uwezo watumishi Tanesco Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania...
  7. TRA Tanzania

    Ripoti ya makusanyo ya mapato kwa mwaka wa fedha 2022/23

  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akichangia Hotuba ya Bajeti Mwaka wa Fedha 2023/2024

    "Naipongeza Wizara ya Fedha na Mipango, Waziri wa Fedha na Mipango na Timu nzima ya Wizara ya Fedha na Mipango, Kamati ya Bajeti, NBS na CAG kwa namna ambavyo wametuletea taarifa muhimu kutuwezesha kujadili hotuba ya bajeti ya mwaka 2023-2024" - Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa...
  9. Lady Whistledown

    Raila amkosoa Ruto kwa kukopa Tsh. Trilioni 3.6 siku chache kabla ya kuisha kwa mwaka wa fedha

    Kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga ameishutumu Serikali ya Rais William Ruto kwa kukopa kupita kiasi wakati ambapo nchi inakabiliana na ongezeko la deni la Serikali, na kuonya kuwa Hazina ya Kitaifa na Wizara zote zinazohusika katika kukopa hazitaepuka uwajibikaji Akiongea na Waandishi...
  10. Stephano Mgendanyi

    Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2023-2024

    MHDANIEL SILLO - TAARIFA YA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MWAKA WA FEDHA 2023-2024 Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge Mhe. Daniel Barani Sillo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini akiwasilisha taarifa ya bajeti kuhusu hali ya Uchumi kwa mwaka 2022; Mpango wa maendeleo ya Taifa kwa...
  11. benzemah

    Mambo tarajiwa bajeti ya serikali mwaka wa fedha 2023/24

    Serikali inasoma baieti vake ya mwaka wa fedha 2023/2024 leo. Bajeti hivo ni ya majumuisho itaonyesha makadirio ya jumla ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha ujao. Majumuisho yanatokana bajeti za kisekta ambazo kwa kiasi kikubwa ndiyo zinabeba mipan-go inayotaraiiwa kutekelezwa na Serikali...
  12. Roving Journalist

    Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24 kugharimu Tsh. Trilioni 44.39

    Fuatilia Mjadala wa Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24, leo Juni 15, 2023 itakayosomwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa kwa bei za mwaka 2015...
  13. Roving Journalist

    Waziri wa Madini akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024

    Hotuba ya Dkt. Doto Mashaka Biteko (MB), Waziri wa Madini akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
  14. Roving Journalist

    Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (mb), akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2023/2024
  15. Roving Journalist

    Bajeti ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha wa 2023/24

    Hotuba ya waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Jasmine Kairuki akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha wa 2023/24
  16. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kukamilisha Barabara kwa Kiwango cha Lami Mpanda, Uvinza na Inyonga katika Mwaka wa Fedha 2023-2024

    SERIKALI KUKAMILISHA BARABARA KWA KIWANGO CHA LAMI MPANDA, UVINZA NA INYONGA KATIKA MWAKA WA FEDHA 2023-2024 Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amejibu maswali Bungeni jijini Dodoma aliyoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki juu ya ujenzi...
  17. Stephano Mgendanyi

    Skimu ya Umwagiliaji ya Mwamapuli Iliyopo Mpimbwe, Katavi Kujengwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

    MBUNGE MARTHA FESTO AHOJI UJENZI WA SKIMU YA MWAMAPULI HALMASHAURI YA MPIMBWE Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma Martha Festo alielekeza swali Wizara ya Kilimo kutaka kujua ni lini Skimu ya Umwagiliaji ya Mwamapuli itaanza kujengwa katika Halmashauri ya Mpimbwe "Je, ni...
  18. Stephano Mgendanyi

    Bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

    BAJETI YA WIZARA YA UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb,) amesema ndani ya mwaka mmoja, mifuko na programu za uwezeshaji wananchi kiuchumi imetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 713.8. Dkt...
  19. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bajeti ni Bilioni 295.9 Mwaka wa Fedha 2023/2024

    WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAOMBA BILIONI 295.9 BAJETI MWAKA MPYA WA FEDHA 2023/2024 Waziri wa Wizara Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Hamis Ulega ameliomba Bunge likubali kupitisha Makadirio ya Matumizi na mapato katika mwaka 2023/2024 ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ya jumla ya Shilingi...
  20. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Madini Yaomba Shilingi Bilioni 89.3 kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

    WIZARA YA MADINI YAOMBA SHILINGI BILIONI 89.3 Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko ameliomba Bunge liridhie na kupitisha makadirio ya shilingi 89,357,491,000.00 kwa ajili ya matumizi ya Wizara na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Akizungumza Bungeni Aprili 27,2023 Waziri wa Madini Mhe...
Back
Top Bottom