Nimefuatilia uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Madini uliofanywa leo 27 April 2023 na Waziri Dotto Biteko Bungeni na nimevutiwa na maendeleo makubwa yaliyofikiwa na sekta hiyo hasa katika uendelezaji wa sekta unaofanywa na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan...
MHE. DAMAS NDUMBARO - BAJETI WIZARA YA KATIBA NA SHERIA NI TSH. BILIONI 383.6 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), leo Bungeni Jijini Dodoma amewasilisha bajeti ya mpango wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara kwa mwaka wa Fedha 2023/2024...
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 15.99 kwa ajili ya mfuko wa jimbo kwa majimbo 214 ya Tanzania Bara katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24.
Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi Bungeni, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala...
Tangu mwaka 2017 tumekuwa tuki-export bidhaa zetu kwenda South Africa na India zaidi ambapo ilikuwa zaidi ya 10% ya exports zilienda katika nchi hizo. Huku nchi za falme za kiarabu zikipata chini ya 10. Kwa mwaka 2017 asilimia ya exports zilizoenda UAE zilikuwa 2.5 na mwaka 2018 ilikuwa 2.3...
Kiasi cha shilingi Trilioni 7.3, katika mwaka wa fedha 2022/2023, kimekusanywa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii, (NSSF) ambapo fedha hiyo inatokana na michango ya wanachama wa mfuko huo.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw.Masha Mshomba wakati akitoa...
Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi akimkaribisha Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ili afungue Kikao cha Baraza la Wafanyakazi kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing).
Waziri wa Ulinzi na...
Kwa namna siasa zetu zilivyo tutarajie kwamba .
Kama Samia atapita 2025 basi mambo yatabakia hivi hivi nikimaanisha kwamba ripoti ya fedha kwa mwaka 2025/2026 ya CAG itakua safi sana.
Ila kama mambo yakiwa tofauti basi isikilizie kwani lazima itaukandia mno awamu ya sita.
Lakini kwa uhakika...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kuwa Shirika la Ndege (ATCL) lilipata hasara ya Sh60.24 bilioni kwa mwaka wa fedha 2019 /2020.
Mwenyekiti wa PAC, Naghenjwa Kaboyoka ameyasema hayo leo Alhamis Februari 17, 2022 wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za kamati kwa kipindi...
Akishiriki mjadala wa Mizani ya Wiki inayorushwa na Azam TV via Channel ya UTV Kuhusu hotuba ya Rais Samia,amesema bajeti inayotekelezeka sasa ilikuwa tayari imeshapangwa hapo kabla.
Kwa muktadha huo basi akasema wananchi wasubirie bajeti ya kwanza ya Rais Samia ya mwaka 2022/2023..
Wale watoa...
📍🇹🇿NEEMA KWA WAKULIMA WA MAZAO YA NAFAKA
"CPB na NFRA zinanuanua nafaka 'CASH' bila kuwakopa wakulima Nchini, kwa Mwaka wa fedha 2021/2022 serikali imetumia jumla ya Bilioni 119 katika manunuzi ya mazao ya Nafaka kutoka kwa wakulima na vikundi vya wakulima. Mazao hayo yatauzwa katika Masoko ya...
Ripoti ya Uwajibikaji iliyoandaliwa na Taasisi ya Wajibu imebainisha, kushindwa kutekeleza mipango kwa mujibu wa bajeti kunaongeza uwezekano wa ubadhirifu na vitendo vya rushwa
Imezitaja taasisi 6 ambazo zilitumia fedha Tsh. Bilioni 23.4 nje ya bajeti kwa mwaka 2019/20 ambacho ni kinyume cha...
Mbali na sheria kutaka mapato ya serikali kuwasilisha katika Mfuko Mkuu wa Serikali, Mwaka wa Fedha 2019/20 kiasi cha Tsh. Bilioni 132.08 kilitumika bila kuripotiwa
Kiasi hicho kimepungua kwa 76% ambapo mwaka wa fedha 2018/19 kiasi cha Tsh. Billioni 553.38 kilitumika bila kuripotiwa
Aidha...
Hawa watu wanajua uchaguzi bado uko mbali na ndio maana wanafanya yote haya licha ya kelele zote zinazopigwa na msitarajie watabadili chochote katika kipindi hiki(wakibadili, basi ni kidogo sana).
Watachofanya ni kusubiri Bajeti ya kuelekea mwaka wa uchaguzi(Bsjeti ya 2024/2025) ndio watakuja...
Ndivyo ilivyo kila mwaka. Mwaka wa Fedha unapoanza Hazina huanza kutoa mifedha hiyo Agosti mwishoni - yaani miezi miwili mbele baada ya Bajeti kupitishwa.
Madhara yake sasa inapofika mwezi wa mwisho wa Mwaka unakuta Ofisi inahitajika kufanya Zaidi ya 60% ya kazi za Mwaka wa Fedha.
Mwisho wa...
Ninavyojua Mimi Ni kwamba majina yanatakiwa yatoke kabla ya week sita au nane ili muajiriwa akajiandae kabla hajareport kituo chake Cha kazi.
Sasa kama inavyosemekana kuwa ajira mikataba mipya itaanza Mosi Julai na leo zimebaki week tano tu kufikia tarehe moja mwezi wa saba ili mwaka mpya wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.