mwakinyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Mwakinyo anasulubiwa na watesi wake

    Nampa pole Mwakinyo hapa ndo Tanzania Mwakinyo amekuwa bondia mwanaharakati, ametetea maslahi ya bondia, ni kijana anajielewa Mwakinyo amekuwa akigomea malambano ya kinyonyaji hadi viongozi wakubwa wa serikali walimfata akagoma Mwakinyo alikataa kupigana Kwa ajiro ya gari CROWN akidai ina...
  2. Lady Whistledown

    Mussa: Mwakinyo alifungulia Mbwa wakanishambulia kwa zaidi ya Saa 1, nilikataa tamaa nikisubiri kufa

    Kijana Mussa Ally (21), Mvuvi na Mkazi wa Sahare Jijini Tanga anaendelea na matibabu Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na kwa sasa amepata nafuu baada ya kushambuliwa nyumbani kwa Bondia Hassan Mwakinyo alfajiri March 04,2025 na kufikishwa Hospitali akiwa mahututi na majeraha mwilini. Akiongea...
  3. Magical power

    Mwakinyo na Alikiba ni watu wa maana sana

    Mwakinyo na Alikiba ni watu wa maana sana kiufup mimi kama Mimi nawapongeza sana wanajitoa sana kwenye matukio kuna wale wavaa Heren na wanabana pua wakat wa kuongea wanaogopa vumbi. jamaa mwakinyo katoa ushilikiano sana mpka akatoboa ukuta na kuzama ndani ya shimo na Alikiba alivunja ukuta...
  4. dr namugari

    Bondia Hassan Mwakinyo anauharibu mchezo ngumi

    Kila pambno lake anaweka vigisu ninwasi Sasa njama zinatumika kumdidimiza mwakinyo kwa kile kitendo chake Cha kujifanya don care kwa vile ndugu yake anaweza kumkingiwa kifuwaa na naibu waziri wa michezo mh hamis mwinjuma Jana tulikaa had saa Tisa kwenye mabaar na kusababisha mm kupata hasra za...
  5. Analogia Malenga

    Je, kuna mkubwa anambania Mwakinyo?

    Suala la kusema kuwa Rais wa WBO hajalipwa haiingii akilini maana mtu hawezi kutoka alipotoka hadi Tanzania kwa ajili ya mechi halafu awe hajalipwa. Baadhi ya wadau walisema Hassan Mwakinyo ana-ugomvi na watu wengi kwa hiyo wanambania kwa kumfanyia figisu figisu kama hizi. Je, unadhani ni nani...
  6. Analogia Malenga

    Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania mtatuambia nini kuhusu pambano la Mwakinyo?

    Pambano la Mwakinyo na bondia kutoka Ghana limeshindwa kufanyika kwa kuwa Rais wa WBO, Samir Captan hakuwepo uwanjani kuleta mkanda. Maelezo ya Hassan Mwakinyo ni kuwa jamaa hajalipwa hela za mchezo huo. Kwa kushindwa kuwepo kwa mkanda uliokuwa unashindaniwa pambano limeshindwa kuchezwa. Fedha...
  7. Analogia Malenga

    Pambano la Mwakinyo laahirishwa, mkanda uliokuwa unapiganiwa haukuletwa ulingoni

    Usiku wa vitasa wa leo utakuwa na mapambano nane, huku main card ikiwa ni Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo akizichapa na bondia Kutoka Ghana, Patrick Allotey ambalo ni pambano la kupambania ubingwa wa WBO, Litakuwa la Round 10 Mapambano ya utangulizi ni 1. Jamal Kunoga VS Abdallah Mahumba...
  8. Suley2019

    Pambano la Mwakinyo lafutwa

    Kaminsheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBRC limesitisha pambano la ngumi baina ya bondia Mtanzania Hassani Mwakinyo dhidi Pactick Allotey kutoka Ghana kutokana na promota kushindwa kukidhi vigezo, moja ikiwa ni malipo kwa mabondia hao na pili ni ukumbi ambao utachezwa pambano hilo kutofikia...
  9. Accumen Mo

    UCHAMBUZI: Kutaka kupigana kati ya Harmonize na Mwakinyo katika mazingira yake waliyokutana hamna logic!

    salamu wanandugu, Kama kichwa cha uzi . Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale hakuna ngumi labda ni kick , hawakuwa serious. Tuangalie kwanza mazingira waliyokutana. kama...
  10. JanguKamaJangu

    Bondia Hassan Mwakinyo amepata pigo la kwanza katika kesi aliyofunguliwa na Promota

    Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo amepata pigo la kwanza katika kesi yake ya madai inayomkabili kufuatia pingamizi lake aliloliweka katika kesi hiyo dhidi ya mdai Kampuni ya PAF Promotion kutupiliwa mbali katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na kukosa mashiko kwa...
  11. L

    Bondia anayeweza kuleta heshima hapa nchini ni Hassan Mwakinyo tu

    Jana nilikesha kumcheki Jini Makata akidhalilika kwa msouth, kiukweli wote tuliocheki ile gemu tunakubali kuwa Nusu Mtu Nusu jini alipigwa, kibaya zaidi ni pale Raundi ya mwisho ilipobakia sekunde 17 gemu iishe kengele ilipigwa kuashiria mchezo umekwisha, zile sekunde msouth alikuwa anammaliza...
  12. Mjanja M1

    Mwakinyo na Kiduku hawaruhusiwi kisheria kupigana

    Katibu mkuu wa kamisheni ya ngumi TPBRC, George Silasi amesema kuwa kwa sasa kamisheni ya ngumi haiwezi kuwaruhusu Mwakinyo na Twaha kiduku wapigane. George Silasi amesema utofauti wa uzito ndio sababu ya mabondia hao kutokubaliwa kupigana na TPBRC.
  13. Hance Mtanashati

    Kati ya Ibrahim Class (King Class Mawe) na Hassan Mwakinyo Champez (Colorado King/Tornado) nani anafaa kuwa Pound for Pound namba 1 hapa nchini?

    Ibrahim Class anacheza uzito wa super feather wakati Hassan Mwakinyo anacheza uzito wa light middle weight. Je kama wangekuwa kwenye uzito sawa unahisi nani angeshinda pambano? Kwa upande wangu mimi binafsi naona Ibrahim angeshinda pambano ,na kwangu ndio Pound for Pound namba 1 hapa bongo na...
  14. sinza pazuri

    Mwakinyo anataka apewe milioni 500 ili apambane na Kiduku

    Baada ya watanzania kuonesha shauku ya kumuona bondia namba moja Africa, Hassan Mwankinyo akipanda ulingoni na local boxer Twaha Kiduku. Mwakinyo ametoa bei yake ya kupanda ulingoni sh million 500 za kitanzania na hana maelekezo mapya. Waliomfata kulialia kawarudisha na mil 200 zao. Champez...
  15. Mwande na Mndewa

    Hassan Mwakinyo ashinda kwa KO round ya 7

    Bingwa Mtata Mtatuzi Hassan Mwakinyo amefanikiwa kunyakua Mkanda wa WBO baada ya kumtwanga Bondia kutoka nchini Ghana Elvis Ahorgah kwa KO raundi ya 7 katika pambano lililofanyika visiwani Zanzibar. Bingwa huyo mtata Mtatuzi Champez Hassan Mwakinyo amewadhihirishia watu kuwa yuko fit na ana...
  16. Suley2019

    Mwakinyo athibitisha ubora wake. Amchapa Mjeda wa Ghana raundi ya saba

    Bondia Hassan Mwakinyo wa Tanzania athibitisha ubora wake baada ya kumchapa Mjeda wa Ghana raundi ya saba katika pambano la ubingwa wa WBO. --- Bondia Hassan Mwakinyo ameshinda pambano usiku huu kwa kumpiga Bondia wa Ghana Elvis kwa KO katika round ya 7 ya pambano hilo la kuwania ubingwa wa WBO...
  17. MSAGA SUMU

    Mwakinyo kupigana na bondia wawili ndani ya usiku mmoja

    Huyu jamaa ni habari nyingine, baada ya kupigana na kuchakaza mabondia kadhaa ndani na nje ya nchi. Jamaa ameamua tarehe 27 apigane na mabondia wawili siku moja.
  18. JanguKamaJangu

    Bondia Fadhili Majiha avunja rekodi ya Mwakinyo kwa kufikisha nyota 4.5

    Bingwa wa ndondi Mkanda wa WBC Afrika, Fadhili Majiha na bondia namba moja Tanzania 'Kiepe Nyani' ameweka rekodi ya kuwa bondia wa kwanza kupata hadhi ya nyota nne na nusu tangu nchi ipate uhuru huku akivunja rekodi ya Hassan Mwanyiko na Tony Rashid katika mtandao wa Boxrec. Majiha ameweka...
  19. JanguKamaJangu

    Kampuni ya PAF Promotion yampeleka Mahakamani Mwakinyo, yamdai fidia ya mamilioni

    Kesi dhidi ya bondia wa ngumi za kulipwa Nchini, Hassan Mwakinyo ambayo imefunguliwa na Kampuni ya PAF Promotion inatarajia kutajwa kwa mara ya kwanza Novemba 13, 2023 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, A.H. Msumi ikiwa na jumla ya madai 8 ya msingi. Kampuni hiyo imewasilisha...
  20. Eli Cohen

    Sio roho mbaya kwa Mwakinyo ila kinachomfaa ni burudani na maonesho

    Mzungu anasema, "Put your money where your mouth is". Sasa jamaa anaongea sana zaidi ya anavyofanya boxing. Seems like kuburudisha watu na maneno yake ya ujuaji na uvaaji ndio anachokiweza zaidi kwa sasa.
Back
Top Bottom