Wote tunajua kwenye mchezo wa boxing hajawai kutokea bondia mwenye uwezo wa kupigana ngumi hapa bongo kama Mwakinyo.
Dunia nzima inajua Hassan ndio alama ya boxing hapa Tanzania. Ndio biashara kubwa ya ngumi East Africa ukitaka kufanya biashara ya ngumi na upate hela isiyo na longolongo basi...
Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) imemfungia Bondia Hassan Mwakinyo kujihusisha na mchezo wa ngumi nje na ndani ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya shilingi milioni 1
Hatua hiyo imekuja kutokana na kugomea pambano lake lililokuwa lifanyike septemba 29.2023, Dar es...
Nina mada mbili leo acha niziseme tu maana binafsi zinanikwaza sana na kunifanya nione dunia imejaa maadui na watu wabaya.
Tumekuwa na kawaida ya kutoa lawama na kashfa kwa serikali, lakini Watanzania naomba tukumbuke kuwa waliokaa kwenye uwongozi ni sisi hao hao Watanzania
Tamaa ya fedha...
"Ooh nimeshindwa kumpiga knockout sababu bukta yangu ilikuwa imenibama"
"Ooh viatu vyangu vilipotea airport"
Na mengine mengi mnayoyajua.
Jamaa hata ongea yake na media ni mtu wa lawama sana, kujiweka katika njia ya kutupokea lawama yoyote ya jambo huku akitengeneza maneno ya kuomba...
Mimi sio mtu wa mchezo wa masumbwi ila nimelazimika kufuatilia huu mzozo kati ya Mwakinyo na mapromota na kujikuta nimejua mambo kadhaa kuhusu mchezo huo. Na baada ya wengi wenu kunisihi nitoe maoni yangu kuhusu hili sakata nimeona acha nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni. Na...
Akizungumzia pambano lake dhidi ya Bondia Julius Indongo wa Namibia katika kuwania Mkanda wa IBA Intercontinetal, Bondia Hassan Mwakinyo amesema tatizo limeanzia kwa promota ambaye ameenda kinyume na makubaliano yao.
Promota ana rekodi tata
Mwanzoni nilisikia taarifa juu ya Promota, kwamba wana...
Bondia Hassan Mwakinyo amesema kesho hatapanda Ulingoni kupigana dhidi ya Bondia Julius Indonga kwenye pambano la kuwania mkanda wa IBA International. Amesema hatapigana kutogana na Uwongo na Udanganyifu wa Ma Promota.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa "Binafsi!! Napenda sana...
Nimeona Dogo Mwakinyo anamcheka jamaa Kiduku, baada ya kupigwa na dogo kutoka south, je yeyey mwakinyo angeweza kumsimamisha huyu msauzi.
Kwa maana tukumbuke huyu Mwakinyo alipigwa na Mlevi Shambani kaoneka mbabe wa Mandonga.
Pambano lile nililicheki, Kiduku alizidiwa na Suala sio kwamba labda...
Tunaharibu sana kuwa na upendeleo usiofaa hata kidogo.
Mtu anapelekewa mwanzo mwisho halafu anapewa ushindi wa mchongo.
Wapi amempiga huyu jamaa? Ile moja tu ya kubahatisha?
Dah huyu Mwakinyo.
====
"Kuna mtu ninayemuheshimu aliongea maneno mabaya sana kwangu, nilisema Mwenyezi Mungu anipe ujasiri ili nisiseme maneno mabaya kwasababu yeye ni mtu anayesifika kwa maneno mabaya, lakini hawezi kuwa na maneno mabaya kuliko sisi watu wa uswahilini na wa pwani, kuna...
Yaani kwenda kucheza pambano moja kisha kurudi zake Tanga
Wazanzibar wamejaa choyo husuda nongwa hadi kuandika barua kupinga mtanganyika kucheza pambano lake Huko Zanzibar
Wanasema hiyo ni fursa ya Wazanzibar pekee sio watanganyika!!!
Tukiwaambia Zanzibar hakuna MUUNGANO muwe mnaelewa.
Kwa...
Mandonga Mtu Kazi baada ya kumfumua ndoige Saidi Mbelwa ametangaza kumtaka Hassan Mwakinyo.
Akihojiwa baada ya pambano amesema anaenda Qatar kupimzika, akirudi anamtaka Mwakinyo huku akimuita bondia wa mchongo.
Mtandao wa Ndoni wa Boxrec umebainisha kuwa mpiganaji kutoka Uingereza Liam Smith ambaye pambano lake la mwisho alipamabana na Bondia wa Tanzania, mwenye maskani yake nchini Marekani Hassan Mwakinyo, amefungiwa na Tume ya Michezo ya Jimbo la New York.
Sababu ya kuwekewa zuio hilo haijabainisha...
Habari za ndani kabisa nimepenyezewa kutoka kwa mdau wa masumbwi huko Uingereza!
Uchunguzi uliofanywa na bodi ya ngumi kutoka Uingereza umebaini kwamba;
1. Mwakinyo Alidanganya "cheat" . uchunguzi umebaini kwamba kiatu alichopewa hakikuwa na madhara yoyote, hata hivyo alipatiwa kabla ya siku...
Bondia Hassan Mwakinyo amefungiwa kucheza nchini Uingereza, ikiwa ni siku kadhaa tangu alipozichapa na Liam Smith nchini humo na kupigwa kwa TKO, raundi ya nne.
Kwa mujibu wa Mtandao wa ngumi za Kulipwa wa dunia (Boxrec), bondia huyo amefungiwa na Bodi ya Ngumi za Kulipwa Uingereza (BBBC)...
Huyu mtoto anajeuri sana, mimi nimeshindwa kuvumilia.
Namuomba mwakinyo kubali kupigana na twaha Ili ujiweke fiti zaidi pambano lako na twaha litakupa nguvu zaidi Kwa mapambano yajayo njoo umpasue huyo tumechoka na madharau yake.
Maandiko matakatifu yanasema "Mpumbavu huamini kila neno bali mwenye hekima huchunguza sana".
Haya Mwakinyo nijibu haya maswali;
1. Ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza?
2. Promoter wako hakuweza kufanya mchakato wa kukutafutia vifaa kazi baada ya kupoteza vifaa vyako?
3. Hivyo viatu...
Kumbuka ukiwa una insult inteligence ya watu kwa kujiona we mjanja kuna wajanja zaidi yako , utaooongea yooote lakini hii issue wazee wa kazi waseme waingilie kati wafatilie hata bettings za nchi mbalimbali kuna aibu nyuma yake
sasa hata bondia aliyekupiga kabaki na butwaa..he
Liam Smith left...
Niliona Tangu round ya Kwanza, Mwakinyo aliteleza, nikajiuliza inawekanaje avae viatu vinavyoteleza Tena Kwa big match kama hii? Same thing happened kwa round ya pili na ya tatu. Kumbe walijenga mazingira ya kumpotezea bag lake la vifaa vya mchezo na Hivyo last minute kupewa viatu vingine, pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.