Nampa pole Mwakinyo hapa ndo Tanzania
Mwakinyo amekuwa bondia mwanaharakati, ametetea maslahi ya bondia, ni kijana anajielewa
Mwakinyo amekuwa akigomea malambano ya kinyonyaji hadi viongozi wakubwa wa serikali walimfata akagoma
Mwakinyo alikataa kupigana Kwa ajiro ya gari CROWN akidai ina...