Ni kweli kwamba kama pambano lile lingemalizika kwenye round ile , bila shaka Mwakinyo angeshinda kwa points , maana alipeleka ngumi nyingi za maana kwa mpinzani wake.
Lakini kilichonishangaza ni kitendo cha mwamuzi kumaliza pambano wakati bado Indongo yuko imara, hii kwa mnaojua ngumi...